Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii nord stream 2 ilitakiwa ikamilike toka muda ila USA ndiye alieikwanisha ili Uerope wasipate gesi ya russia kwa 80% kwa kifupi hii Nord stream ingepeleka gesi karibia nchi zote za ulaya kwa 80% yani adi ulaya vijijini uko[emoji23][emoji23] wangepata gesi ya russia USA alivyoona ivyo akawatisha kuwa mara hoooo kiulinzi mnatutegemea sisi tuwalinde dhidi ya russia alafu gesi mnataka yote muwe mnachukua kwake wakati na sisi tunayo mamb ndio yslipoanza kuvurugika alivyoanza kuwatishatisha wenzake
 
Biden anazidi kutibua kashaingia kwenye conflict na Russia, North Korea, Iran na sasa China. Anguko la US litakua ni la AIBU.
 
Wakuu

Naomba kujua habari kuhusu wale jamaa wa Azovsteel plant waliojisalimisha.

Maana Ni muda Sana umepita.
Wengine wapatao 40 wameuawa leo huko Donetsk kwenye gereza kwa kile Russia imesema Rocket la Ukraine lilipiga gereza na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa...wengine wako kwenye magereza mengine kwenye Jamhuri za LPR na DPR...lakini vigogo wale wa AZOV walipelekwa huko Moscow kli 'kuwasaidia' polisi na FSB wa Russia...wengine nahisi watakuwa wanakufa kimya kimya kwenye magereza waliyomo...lakini wanaokufa sidhani kuwa ni wengi ukiacha hao wapatao 40 waliolipuliwa leo...
Taarifa za 'kiintelenjia' zinasema Waukraine walioko magerezani (ukiacha hao AZov waliokuwa zaidi ya 2000 kwa idadi)wako zaidi ya 18,000....kazi ipo....lakini ikumbukwe kuwa Warusi nao wako kwenye magereza huko Ukraine, idadi yao sidhani Kama wanazidi 200.
 
Chinese army leadership warns its soldiers of impending conflict

On the eve of Nancy Pelosi's alleged visit to Taiwan, a short phrase appeared on the PLA 80th Army's Weibo account: "Prepare for war!"

The Speaker of the House of Representatives today embarked on a tour of US allies in Asia. Pelosi was also expected to fly to Taiwan, but it is still not clear if the visit will take place.

Earlier, Xi Jinping shared Eastern wisdom with Biden: he who plays with fire will definitely get burned. Whether the President of the United States understood the idiom is hard to say.
 
Mbona prince iyo tano kama Ina abuse flan iv
 
Russia's withdrawal from the ISS project will take place in accordance with all international obligations and will take up to two years

Yuri Borisov announced this. Other statements of the new head of Roscosmos:

▫️Russia seriously thought about the future of manned cosmonautics and the creation of its own orbital station two years ago.
▫️Roskosmos predicts an increase in breakdowns on the ISS after 2024.
▫️In Russia, they missed the transition to an industrial model for the production of satellites, a radical restructuring of processes is needed, moreover, under sanctions.
▫️Gradually, Roscosmos will switch to the commercial provision of services.
▫️Roscosmos plans to reorganize its work in such a way as to produce satellites in a different quantity and quality and return the "debt" to the economy.
 
Tusubiri majibu,,,,, na mara zote majibu yanakuwa magumu pia kutoka Russia
 
what you guys don't understand about alshaabab is that they are guerillas ata russia au america mbele ya wanamgambo wanaojichanganya na raia ni vingumu sana kuwadhibiti
Sasa hao Kenya wangekuwa warusi wangeweza kuchukua hata jimbo moja kweli maana Askari wanajichanya na RAIA kushambulia urusi na ndio hivyo kwa alshabab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…