T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Huo ni moshi ya burning fuel. Russia hawajawahi kuwa na nuclear carrier, hilo dude linakunywa diesel na linalazimika kuwa na mission fupi au kusindikizwa na meli ya mafuta wakati Marekani wao carriers zao ni nuclear powered zinakaa miaka hata 10 bila refuering mpaka zipate mid life upgrade. Admiral Kuznetsov haiwezi hata kutoka Mediterranean sea mpaka Cape Town, gari la mkaa hilo. Tangu 2018 itoke Syria iko inakarabatiwa hadi leo na kabla ya hapo ilishakarabatiwa kabla ya kwenda, yani China kaanza kuiunda Type 003 kaimaliza ila Urusi hajamaliza ukarabati. Alafu watu wanakuja hapa wanadai eti Russia hapendi carriersHuo moshi vipi? Hapo imepigwa bomu au?
HIMARS zinasumbua kwa zile GMRLS zake ambazo ni ghali sana. Ila kuna Caesar (France) na Pz2000 (Germany) self propelled howitzer zina accuracy ingawa range yake sio kubwa sana. Ingetokea Marekani ikapeleka Excalibur shells za kutosha basi zingesumbua sana.Hizi HIMARS balaa lake sio dogo, naona hazikosei ktk kile kilichotumwa.
Picha sina wakitaka waseme propaganda waseme tu. Kuna taarifa zimetoka kwenye sources ndani ya Russia za na zenyewe watazikana. Ila ninavyojua hatutakaa masaa mengi kabla hatujapata picha za satellite walau kutoka Maxar au PlanetLab, picha za satellites nilizoona zilikuwa ni resolution ya 300m ambayo haina details nyingi ingawa moto ulionekana. Picha za 2m or 3 metres ndio uhakika. Ni deep within Russian front, zikipatikana picha za camera watakuwa wamepiga wao zimevujaWatakuja hapa waseme ni propaganda za NATO. Tunaomba na picha tujiridhishe mkuu T14 Armata
Huyo bwana anataka kusema France, UK, USA, China, India na Russia ni wajinga kuwa na carriers. Kama ni hasara kwanini Russia abaki na lile lichumachuma, si aachane naloNi hasara kwa wanaoziunda nakuzimiliki au kwa wasionazo?
Maana kama ni hasara walioziunda sijui kama kuna siku walizilalamikia.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Sio rahisi kihivyo kaka, usemayo ni kweli kuwa aircraft carriers lina asikari wengi ko ukiichapa yote umepoteza man power kubwaHuyo jamaa ana ubishi wa ajabu kabisa...ni zaidi ya ubishi wa kitoto..Yaani bado anadhani aircraft carriers ni deal....Fikiria Ndugu yangu li-Aircraft carrier kama Nimitz Lina Askari zaidi ya 4000 halafu linadunguliwa kiulaini na hypersonic missile moja..just imagine....hizo ni sitting ducks....hata zilindwe namna gani zinadunguliwa tu...
NASAMS zimeundwa kwa ushirikiano wa Kongsberg ya ya Norway na Raytheon ya Marekani. Ukitaka kununua NASAMS Marekani akakataa, huuziwi. Vilevile ikiwa Norway amekataa, huuziwi.Marekani anaogopa kupeleka machumachuma yake ya Patriot PAC-3 n.k. nchini Ukraine yakalipuliwe na Urusi, badala yake anaamua kununua mifumo ya Ulinzi wa anga ya Norway na kupeleka Ukraine ili hata ikibomolewa na Urusi, isiwe aibu na fedheha kwa Marekani na biashara yake ya machumachuma chakavu kwa waarabu wa mafuta
View attachment 2310875
Hakuna wanajeshi wa NATO waliopelekwa ukoSuper Power lazima afanye mambo mengi kwa wakati mmoja
Nchini Ukraine Russia yaendelea kuwapelekea moto mkali na kuwaua wanajeshi wa US+NATO+Ukraine wakati huo huo nchini Uturuki (mwanachama wa NATO) Urusi yapeleka mabilioni ya dola kujenga mtambo wa nyuklia.
Vita ya Ukraine haiathiri pesa za Urusi za miradi mingine...
View attachment 2310777
Ile treni yetu tuliyoona hivi karibuniView attachment 2310755
Hebu niondolee upumb2vu wako...Hakuna wanajeshi wa NATO waliopelekwa uko
Nchi za kidemocrasia huwezi kupeleka wanajeshi wako kihorela bila bunge kupitisha
Hao unaowaona uko ni wale raia wa kawaida waliojitolea, otherwise ni properganda
Hizo nchi ni Total democracy, hawafanyi mambo kihorela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ufupi; urusi ameshajua fika kuwa Ukraine ni mwanaume mwenzie, hivyo Sasa hivi anapigana kwa adabu,hatusikii Tena Ile mikwala yake ya kuyataka majeshi ya Ukraine kujisalimisha,ameacha kabisa kutoa vitisho kwa wanaotoa msaada kwa Ukraine..,Kuna wakati alisema Crimea ikishambuliwa basi itakuja Ile aliyoitangaza kama ""jugement day "" Sasa drone za Ukraine hizoo,ndo zimefanya yake huko Crimea, ngoja tusubir hiyo ""jugement day""
Hahaaaa hapo ndio Russia akili imemrudi kaogopa balaa, mpaka ikabidi akakae kikao maana hapo ndio utaona Marekani Teknolojia yake ipo juu na katoa kakifaa kadogo tu maana hataki wahuni waibe Teknolojia.Siraha kama
Juveline apo mwanzo, na hizi HIMARS wala sio tegemeo za jeshi la marekani afu zimekiwasha kule balaa, yani ni kama Siraha ambazo Marekani kafungulia kwa kuwa sio tegemezi ila kwa Mrusi ni Jini lililoachiwa, na zinachakaza hatari
Leo hii ndo useme Urusi apigane na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bna
Nilimpa ramani ya walivyozingirwaInamaanisha nin mnama
Hahaaa Russia kumbe nili mu overestimate kumbe ni kama pilipili hoho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jeshi lote limeenda kule ata meli zote ziko kule na ata Vacuum bombs zimeenda na pia Supersonic sijui su 57 na kila kitu, ila bado tu watu wanakata kamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa Hiyo judgement day yenyewe ipi sasa ndugu yangu
Hata vile vitisho vyake napiga Nucleur kasanda kimya kaufyata,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jeshi lote limeenda kule ata meli zote ziko kule na ata Vacuum bombs zimeenda na pia Supersonic sijui su 57 na kila kitu, ila bado tu watu wanakata kamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa Hiyo judgement day yenyewe ipi sasa ndugu yangu
Hii ni TACTICAL CONSOLIDATION.Mtu kawekwa mtu kati huko
⚡️Now we can say unequivocally: the grouping of the Armed Forces of Ukraine near Lisichansk (at least 5 thousand people) fell into the cauldron.
Centralized supply through Seversk (about 20 km) Is completely cut off. Fighting is already underway on the very approaches to Lisichansk.
Hahaaa Russia kumbe nili mu overestimate kumbe ni kama pilipili hoho.
Mmeanza kutuvimbia tena, siyo? Msituchukulie poa hata kidogo mjue. Tutawachomolea betri nyingine ya Nord Stream!Hata vile vitisho vyake napiga Nucleur kasanda kimya kaufyata,
Alipojua kumbe vitisho vyake hakuna mtu anae sumbuka nae