Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Za ndani kabisa,jamaa wameshtukiwa kuwa hiyo agency ni kichaka cha majasus na huwa wanauza taarifa kwa wamagharib.
Nafasi ya ngapi according to who!????
Some random youtube guy, right???
Vikosi vyake vilikuwa hatarini maana hana mifumo mizuri ya ulinzi, ata hayo madude ma s400 au s500 hayana uwezo tunaoaminishwa, otherwise yangewalinda
Snake island kama sio muhimu waliteka ya nini. Na mbona wakitandikwa hata hawakuondoka wenyewe, kwani Moskva ilipigwa ikiwa karibu na nini? Si ni hii hapa na machumachuma yao baada ya kupigwa helicopters, air defence system, Raptor boat na silaha nyingineSnake island ina faida gani Rusia aliona hakuna chochote pale zaidi ya kuviweka vikosi vyake hatarini ni kama vile unaleta mabishano ya watoto Kiev walirudi nyuma ili mazungumzo ya Amani yaendelee maana sharti moja wapo ni vikosi vya Rusia vitoke mbali na eneo la Kiev ili kufanya mazungumzo ya aman yaendelee Ila pro NATO mnakuja kujisifu uku kuwa Rusia alifurushwa Leo la Kwanza la Rusia ni kuchukua jimbo la donbase Ayo mengine yalikuwa kunogesha Sherehe tu
According to auto journalism.com, edudwar, American veterans.com na wengine military analystNan kasema Urusi ana mifumo ya kujilinda best, according to who!!??
Salute to Putin. He's such a gentleman indeed. Kudos!Wale waliokuwa wanasema Urusi ilishindwa kuingia Kiev, ukweli huu hapa, Zelensky alimillia Putin kupitia Erdogan aache kuizingira na kuchukua Kiev.
View attachment 2311450
Ukraine huwa anakataa masharti ambayo Russia huwa anampangia. Wapigane, mambo ya mazungumzo yashashindikana kwa sasa labda baadae.Wale waliokuwa wanasema Urusi ilishindwa kuingia Kiev, ukweli huu hapa, Zelensky alimillia Putin kupitia Erdogan aache kuizingira na kuchukua Kiev.
View attachment 2311450
Aseeee! Ujengewe lisanamu refuuuuSasa dunia inaelekeza macho Taiwan tukija kurudi Ukraine tutakuta imebaki robo tu.
Mkuu asante kwa kutukumbusha kuhusu umuhimu wa kutaja vyanzo vyetu. Nilinukuu makala ya Wikipedia kuhusu manowari hiyo (nimeweka link). Ila si sahihi kusema kwamba makala za Wikipedia kwa lazima zinaonyesha msimamo wa Kimarekani. Maana kila mtu anaweza kuchangia na wasomaji kote duniani wanaweza kusahihisha na kubadilisha michango. Pamoja na hayo, makala za wikipedia zinatakiwa kuonyesha ushahidi. Hapa unaweza kukagua mwenyewe kama matini inatumia vyanzo unavyokubali au la. Makala hiyo inatumia taarifa taarifa nyingi za Kirusi, pamoja na RIA Novosti.Uwe una andika Source. Ndio formula ya ku copy na ku paste. Kama ni Wikipidea au Google tujue ni USA. Hawa wana style yao tofauti ya kuripoti habar za washindani wao.
Haitakua na madhara itaifanya US izidi kuinarika zaidiAtapiga US ila hilo pigo litakuwa na impact yoyote!???
Wenzako wanaona kutungua bomb ni kama kutungua Ndege, angalia Irone dome ya israel inavyofanya kazi ndo utajua vita ya sikuizi sio unayodhani
Kama US alivyoichukua SYRIAAngekuwa hatari kivita angemshinda Ukraine na kuchukua nchi hatari
Kwanza utuambie wewe pro Nato au Pro East ili tujue umesimama na upande gani?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jamani habarini, nimeshiriki uandishi wa stories of change heading yangu inakwenda kama "NANI ATAWAFUTA MACHOZI WASOMI TANZANIA?"Naomba kura zenu,asanteni
Hiyo ni International politics, unafikili anaweza kufanya disarmament ya nukilia zake, kama hiyo ndo imani yake, kasha soma muelekeo wa vita kwamba Urusi inashinda na Marikani amesha ogopa nakuona hana uwezo wa kupambana naye, kwahiyo anasafisha jina la Urusi tuPutin anakataa vita ya nyuklia
Wakuu vita hii na mauaji hayo pande zote ni kitu kibaya mno. Leo nimefarijiwa kiasi nilipoona tamko la Rais Putin aliyesema ni muhimu kuepukana na vita ya kinyuklia maana hakuna atakayeshinda.
Nimeona hapa marafiki kadhaa wa upande wake wanaopenda kuonyesha roketi kubwa na kujigamba na uwezo wa uharibifu wa silaha hizo. Nafarijiwa kwamba rais wa Urusi anaelewa ambacho wengine wa wafuasi wake hawaelewi.
"
Russia-Ukraine live news: Putin warns against nuclear war
By David Child and Hamza Mohamed
Published On 1 Aug 20221 Aug 2022
- Russian President Vladimir Putin has said nuclear war “should never be unleashed” and warned any such conflict would have “no winners”.
- (Chanzo: AlJazeera leo )
Huyo atakuwa NAMKwanza utuambie wewe pro Nato au Pro East ili tujue umesimama na upande gani?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
😂😂😂Kwanza utuambie wewe pro Nato au Pro East ili tujue umesimama na upande gani?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwahiyo Ukraine ina shinda??Snake island kama sio muhimu waliteka ya nini. Na mbona wakitandikwa hata hawakuondoka wenyewe, kwani Moskva ilipigwa ikiwa karibu na nini? Si ni hii hapa na machumachuma yao baada ya kupigwa helicopters, air defence system, Raptor boat na silaha nyingineView attachment 2311452
Kyiv walitandikwa vilevile. Huku ndio kufanya mazungumzo? Na kama Kyiv ni kunogesha sherehe mbwembwe zote za misururu ya silaha zilikuwa za nini, kutalii amaView attachment 2311454
Nashukuru kwa kukiri ni Wikipidea. Ila siyo kuwa taarifa zao ni sahihi by 100%. Hata ww ukiandika mada zako Facebook yenye ukweli kuhusu America lazima fb waanze ku kutumia Warnings za kukufungia Account. Hivyo hivyo pages za vyombo mbalimbali fb kama RT, China News, nk link zake uki fungua fb wana kupa angalizo. USA controlled media wana propaganda hata ktk maudhui ya Habari mitandaoni ndio maana hivi Karibuni Google, Youtube, zime pigwa faini nyingi na nchi mbalimbali. Hata habari za BBC na vyombo vyote vya magharibi kwa sasa havina mizania.Mkuu asante kwa kutukumbusha kuhusu umuhimu wa kutaja vyanzo vyetu. Nilinukuu makala ya Wikipedia kuhusu manowari hiyo (nimeweka link). Ila si sahihi kusema kwamba makala za Wikipedia kwa lazima zinaonyesha msimamo wa Kimarekani. Maana kila mtu anaweza kuchangia na wasomaji kote duniani wanaweza kusahihisha na kubadilisha michango. Pamoja na hayo, makala za wikipedia zinatakiwa kuonyesha ushahidi. Hapa unaweza kukagua mwenyewe kama matini inatumia vyanzo unavyokubali au la. Makala hiyo inatumia taarifa taarifa nyingi za Kirusi, pamoja na RIA Novosti.