LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mama ake aje kukachukua poland border wakati huyo ni wa hapo hapo Ukraine ( LPR au DPR)?
 
Ukikutana na mtu anaitwa juma,Musa,mahmudu, Abdul, salum, hamadi, ommary, nk Hawa ni watu ambao huwezi ukawaambia chochote juu ya putin wakakuelewa maana wanamahaba nae yaani Kama unakazi nyingine za kufanya kazimalizie tu ... You will thank me letter.
 
ukimaanisha
 

Kuna sheikh mmoja mahubiri yake yanasmbazwa kwenye Whatsapp, anavyochambua hivi vita utadhani Putin ni mtume kabisa, halafu hawa hawa wamesahau huyo Putin aliua waislamu wengi sana kule Chechnya.
 
Mrusi alikwambia naanza na za zamani au wewe akili yako ndio imekutuma hivyo.
 
A Russian soldier surrendered.

Ukrainians gave him tea, food, and let him video call his mother. This is the Ukrainian spirit.

https://www.facebook.com/
Huoni hizo ni propaganda muzee!!??
wamemvisha m-ukraine gwanda za ki Russia alafu wanafanya maigizo!!???
Wabongo muwe mnachambua news msiwe mnameza kama chura?
 
Ministry of Defense of the Russian Federation:

- A headquarters for humanitarian response to the situation in Ukraine has been created, the main task is to provide humanitarian assistance to the population of the DPR, LPR and Ukraine.

— The safe evacuation of the relevant UN structures from Kyiv, as well as the employees of the Greek Embassy from Mariupol, was ensured.

“More than 140,000 people, including more than 39,000 children, have been evacuated from Ukraine to Russia.

- None of the inhabitants of Ukraine in the territory controlled by the Russian armed forces will be left without food, water and basic necessities.

- It is necessary to immediately provide humanitarian corridors for the exit of citizens in Ukraine to safe places. At the same time, nationalists prevent the exit of civilians from Kyiv, Kharkov and Mariupol.
 
Huoni hizo ni propaganda muzee!!??
wamemvisha m-ukraine gwanda za ki Russia alafu wanafanya maigizo!!???
Wabongo muwe mnachambua news msiwe mnameza kama chura?
Mbona unaleta ubishi wa vijiwe vya kahawa.
Sura ya huyo mwanajeshi imeonekana .
Inatakiwa Russia ndio waseme huyo sio mtu wao,sio wewe!
Tatizo Lenu mnaona Russians kama malaika;kwamba hawafi kwa risasi,hawakamatiki Wala vifaa vyao haviwezi haribiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…