Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RUSSIA save the world
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kherson hamjaikomboa tu ama Hamaya zimeisha nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udini upo ndani ya damu yenu, hamuwezi kujitoa, mlidanganywa eti mnamkomoa Marekani, leo mnahangaika na hasira...ha ha ha
Sasa kama hii ndio michango unayoitoa ukibishana wa Warusi halisi huko Quora, naanza kuelewa sio kwamba wamekushindwa ila wamekuignore.

Kama kwenye uzi huu hamna cha maana umeandika hata quora naamini hamna cha maana unaandika itakua unasemea mambo haya haya ya wanaosapoti Russia kwamba wote ni watu wa dini flani.

Ukiona wamekukalia kimya jua wameku ignore sio kwamba wamekushindwa maana hauna contents za maana zaidi ya kungelea udini na msafara wa km 64 wa Russia.

Weka link ya quora hapa ambapo umechangia kitu cha maana mpaka warusi halisi wakakushindwa
 

Huku hamna hoja mumeshikiliwa kwa mitazamo ya kidinj, mumeaminishwa kuichukia Marekani mpaka mnadiriki kumuabudu Putin mkidhani mnakomoa Marekani.
 
Ndege nyingine 2 Su-24 za Ukraine zatunguliwa. Moja maeneo ya Solntsevo, Kirovograd na nyingine karibu na Radgosnoye, Kherson Region.

Idadi ya ndege za Ukraine zilizo tunguliwa sasa kufikia 263.

Pia Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema imetungua drones 8. Sasa jumla ya drone zilizo tunguliwa kufikia 1,693.

Wametungua pia HIMARS nyingine 1 maeneo ya Pyatigorskoye, Kharkov.
 
Mhurumie tu maana alikuwa yumo usingizini. Pengine nimuulize anadhani why Marekani ilikuwa VERY SHOCKED & CONCERNED baada ya Russia kutangaza inaelekea kujiondoa kwenye joint space exploration?
 
Wale waliosema Urusi ilishindwa kuingia Kiev,sasa wajiandae kujificha.
 
HIMARS vipi tena?🤣🤣🤣
 
Usimchukulie poa MK254 . Nimepewa dokezo 🙂 hapa kwamba ana digrii tatu za political science & regional intergration kutoka chuo kikuu cha Nairobi na Frankfurt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…