Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) is combat-proven and ready for any mission at a moment’s notice. Made possible by the hard work of Lockheed Martin team in Camden, Arkansas, this launcher is a critical capability supporting the U.S. Army and Marine Corps, and international partners.
 
Nasikia mnapanga kuuwa wanafunzi kule Garissa university tena? Hivi hiyo dini yenu ndio inafundisha huu upuuzi?

Yule Mpare wenu aliacha migomba Upareni akajiunga uislamu na kwenda kuua wanafunzi garissa, sema kawa mwoga alipotakiwa ajilipue bomu, ila hata hivyo alifanyiwa vituko gerezani mpaka kajifia humo.

Muone hapa alivyotupia kofia la bendera ya Tanzania, nahisi muda huu anagegeda mabikira
 
Leo warusi wa buza wamepooza kweli..,wapo wanaugulia maumivu ya kipigo Cha Crimea

Tukiwaambia kuwa dikiteta Putin na maandunje wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine muwe mnatuelewa jamani [emoji1787][emoji1787]
NASIKIA UKRAINE KAKOMBOA MAENEO YAKE SAIVI URUSI NDO INASHAMBULIWA MAENEO YA CRIMEA MDA SIO MREFU MAJESHI YA UKRAINE YANAINGIA MOSCOW
 
Leo warusi wa buza wamepooza kweli..,wapo wanaugulia maumivu ya kipigo Cha Crimea

Tukiwaambia kuwa dikiteta Putin na maandunje wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine muwe mnatuelewa jamani [emoji1787][emoji1787]
Duh....comment zako duh....maandunje.???!!!? By saying or rather shouting Andunje ..Maandunje will that change the fate of Ukraine?!?! I don't think so...Ukraine as a country, nation and state is doomed....
 
Ukraine bhana. Mmelipua Crimea ka eneo ka 1 tu na kafa 1 tu. Russia imetungua ndege 3 leo tu na zaidi ya Wanajeshi wa Ukraine 300 wamekufa.

Ila Pro-West mnasherekea Propaganda za West eti Air base[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vip mna mpango gani na Ile "" jugement Day"" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuliaminishwa humu kuwa Crimea ingeshambuliwa basi ingekuja Ile """ jugement Day""" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ina maana dikiteta Putin hajaona kilichofanyika Crimea [emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani ungeachana na huyo jamaa...nimefuatilia comments zake nyingi humu na kubaini kuwa ana ushabiki wa Simba na Yanga..
 
Vip mna mpango gani na Ile "" jugement Day"" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadhi ya wenzetu humu wamekusahihisha kuwa ni 'judgement' na siyo 'jugement'....uwe msikivu na mwenye heshima kwenye mijadala....haitoshi tu kuropoka sijui ' Andunje' Mara 'jugement' Mara sijui nini'...Leta Mambo ya maana ili wenzio nao waelemike kwa hoja zako....Don't shout, Argue...
 
Poleni sana pro-Russia kwa msiba mzito uliowakuta .., kushambuliwa Kambi yenu huko crimea..,mola awape moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
""jugement "".., unaelewa maana ya Alama za funga na fungua semi katika neno lolote?? .., tuanzie hapo kwanza [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…