Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Makamanda wengi wa NATO wa ukweli Wamekwlsha toa maoni Yao juu ya SMO hii.,na wekua wakiiona Ukraine Haina Cha kuishinda Urusi licha ya maelfu ya silaha za misaada.
Lkini makamnda wa NATO wa hapa jf na WA nyakasungwa wanaiona Ukraine itaishinda Urusi.
MKUU hata makamanda wa hapa jf wanajua kitachoikumba KIEV
Ila wanatamani iwe kinyume na wanavyojua wao ila haiwezekaniki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasumbufu ni watu msioweza kujikita katika uzi badala yake mnafanya "Whataboutism"
Huu ndio ujinga wanaotumia watu wa west ili kufanya watu wenye mrengo wa east wasitumie makosa ya Marekani katika kujenga hoja yao kwa kutumia hilo neno whataboutism.

Waambie Dunia ya leo imetokana na historia ya jana, bila Jana hakuna leo.

Hatuwezi zungumzia Operation ya kirusi kule Ukirene halafu tukaacha Jana ambayo ni Nato eastward expansion.

Hatuwezi kumlaani leo Mrusi halafu Jana walifunga vinywa Kisa ni Marekani?

Mijitu inajisahaulisha hata Marekani alichukua maeneo yaliyokuwa sehemu ya Mexico baada ya vita yao.

Utakapo laani Urusi tu, ujue wewe ni mbaguzi au uko brainwashed na west kiasi Cha kutoona unyama wao.

Niongezee bombardment ya Serbia, je waliheshimu Territory integrity ya Serbia, au Kosovo ni special case?

Kwa nini Dunia haijapinga?
Kwa sababu ya double standard na unafiki wa west.

Mwambie Yoda ajadili bila kuweka mahaba.
 
Hakuna mkataba wa Minsk, kuna makubaliano kadhaa yanayoitwa ya Minsk.

Pia makubaliano ya Minsk hayana uhusiano wowote na NATO au USA.
Makubaliano ya Minsk yalikuwa yanahusu machafuko na vita vya waasi wanaofadhiliwa na Russia mashariki mwa Ukraine.
Minsk Agreement ilitengeneza foundation ili Ukraine as a territory ibakie.

Je , Ukraine aliheshimu na kuufuata ule mkataba?
 
Russia katengeneza mtambo wa hatari na maangamizi makubwa (ndege isiyokuwa na rubani) enye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita elfu SITA na kuchukua bomu lenye uzito wa Tani mbili na kg mia nane. Dude Hilo jipya linauwezo wa speed wa km elfu moja kwa saa

Ministry of Defense of Russiahttps://www.aerotime.aero/upload/files/the_s-70_okhotnik_hunter_attack_drone.jpg

DEFENSE

Russian S-70 Okhotnik attack drone completes precision strike test: report​


Clement CharpentreauCLEMENT CHARPENTREAU



The Russian S-70 Okhotnik (‘Hunter’) attack drone developed by Sukhoi successfully conducted a first precision strike test.
During the test campaign, the drone employed a variety of air-to-surface missiles used by the fifth-generation Su-57 fighter to strike small-sized camouflaged targets at different times of the day in any weather conditions, an industry source told Russian agency RIA Novosti. Tests were reportedly deemed successful.
Weapon testing of the S-70 began in December 2020. Since then, the drone has demonstrated its capacity to use air-to-air missiles and unguided bombs. This last test was particularly important as the S-70 is expected to eventually operate in collaboration with the Su-57 to extend the latter’s radar field and strike capabilities.

The S-70 Okhotnik drone is powered by an AL-31 turbojet engine and is expected to fly at a speed of 1,000 kilometers per hour, with a range of 6,000 km. According to the Russian Defense Ministry, it is equipped with electro-optical targeting, radio, and “other types of reconnaissance equipment”. Its two internal bays can carry up to 2.8 tons of weapons.
Serial production and delivery of the S-70 Okhotnik is due to begin in 2023
Kwa hili, lazima tu Marekani afanye urafiki na Putin safari hii. Nashauri Putin afanye dili la kumpa moja Mmarekani ili turudishiwe Alaska yetu (but on condition that operators wake wote wawe maafisa wa Kremlin).
 
Russia katengeneza mtambo wa hatari na maangamizi makubwa (ndege isiyokuwa na rubani) enye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita elfu SITA na kuchukua bomu lenye uzito wa Tani mbili na kg mia nane. Dude Hilo jipya linauwezo wa speed wa km elfu moja kwa saa

Ministry of Defense of Russiahttps://www.aerotime.aero/upload/files/the_s-70_okhotnik_hunter_attack_drone.jpg

DEFENSE

Russian S-70 Okhotnik attack drone completes precision strike test: report​


Clement CharpentreauCLEMENT CHARPENTREAU



The Russian S-70 Okhotnik (‘Hunter’) attack drone developed by Sukhoi successfully conducted a first precision strike test.
During the test campaign, the drone employed a variety of air-to-surface missiles used by the fifth-generation Su-57 fighter to strike small-sized camouflaged targets at different times of the day in any weather conditions, an industry source told Russian agency RIA Novosti. Tests were reportedly deemed successful.
Weapon testing of the S-70 began in December 2020. Since then, the drone has demonstrated its capacity to use air-to-air missiles and unguided bombs. This last test was particularly important as the S-70 is expected to eventually operate in collaboration with the Su-57 to extend the latter’s radar field and strike capabilities.

The S-70 Okhotnik drone is powered by an AL-31 turbojet engine and is expected to fly at a speed of 1,000 kilometers per hour, with a range of 6,000 km. According to the Russian Defense Ministry, it is equipped with electro-optical targeting, radio, and “other types of reconnaissance equipment”. Its two internal bays can carry up to 2.8 tons of weapons.
Serial production and delivery of the S-70 Okhotnik is due to begin in 2023

Kujiingiza vita na Russia ni sawa na kujitumbukiza kwenye karai la kukaangia maandazi.
 
Zile zinaoneka ziko vizuri kama us[emoji631] anapigana na nchi kama libya, zimbabwe n.k maana hizo nchi hazina silaha za kisasa...ila kama unapigana na taifa lenye tech nzuri kijeshi kama russia china iran n.korea n.k hizo aircraft carrier ni floating mass coffin
Eti Iran,north korea,ushabiki bhana!
 
DBA2FEE0-FBC8-4A10-AB04-C2A34BC0EECE.png
 
Habari za vita kwa ufupi usiku huu
🇷🇺🇺🇦 Breaking news from the front. The soldiers of the Mining Division of the DPR army, with the support of units of the RF Armed Forces, broke through the defenses of the Armed Forces of Ukraine and seriously advanced in the Ugledar direction. The Armed Forces of Ukraine suffered heavy losses in equipment and manpower. There have been no significant advances on this sector of the front in recent months until today.

Great job brothers! Remember that you are the best people in the country!
 
Humu habari nyingi source mbina ni za website uchwara hakuna source za kueleweka wala video na picha za frontline tuone maeneo yanavyochukuliwa zinatumwa taarifa Himmars imeharibiwa lakini hakuna hata picha kama zamani mlivyokuwa mnalipua drone za uturuki picha zilikuwa za kutosha.Ushahidi ni muhimu sio story za website ambazo yoyote anaweza kutunga na kupublish zikaletwa humu.
 
#YURI BRIEFING The Russians resume activity near Barvenkovo, in apparent preparation to threaten with a closure of an encirclement ring around Slaviansk and Kramatorsk once Bakhmut and Soledar are taken. Fights around Kodema and Zaitsevo near Bakhmut continue, none taken so far. Maryinka - the mine waste hill, controlling the area about of around 10 km around the town, is finally taken. One day after Yuri's news, Russian MoD confirms the full control of Peski, clashes move toward Pervomayskoye and Vodianoye - once these two are taken, the supply line of Adveevka group would become heavily threatened to the point of operational encirlement. State of the fronts as of Aug 14 19:00 CEST

Subscribe: @war_subtitled_en
or in Spanish @rpd_es
 
Humu habari nyingi source mbina ni za website uchwara hakuna source za kueleweka wala video na picha za frontline tuone maeneo yanavyochukuliwa zinatumwa taarifa Himmars imeharibiwa lakini hakuna hata picha kama zamani mlivyokuwa mnalipua drone za uturuki picha zilikuwa za kutosha.Ushahidi ni muhimu sio story za website ambazo yoyote anaweza kutunga na kupublish zikaletwa humu.
Lete zako ambazo si uchwara. Video na picha zipo , angalia unavyoelekezwa nawe upate kazi kidogo siyo uwe spoonfade , Kuna video Zina mpaka 250 mb.
 
Tunahitaji video na picha namna hii 2hours ago

Yesterday some idiot (military reporter) wrote a post how he visited the Wagner PMC headquarters in Popasnaya and was welcomed warmly.
Today Ukrainians stroke it with HiMARS. Several dead.
Wagner head Prigozhin reportedly didn't suffer (was there shortly before the strike), but his location is unknown according to another well-known reporter.
Russian nonchalance is incurable.
 
Jukwaa limekuwa la hovyoo utafikiri club ya pombe. Maana Kilabuni nikubishana bila hata kujua mnabishana nini. Ni kama kumpa ofa ya pombe mlevi wa kilabuni atakupamba kwa wenzake kuwa ULISHAWAHI KURUKA KWENYE NDEGE UKAANGUKIA BAHARINI JUU YA MGONGO WA PAPA UKADUNDA HADI NCHI KAVU.

Ndio fix tunazopigana hapa jukwaani kwasasa kwa hisani ya propaganda za media za wazungu
 
Back
Top Bottom