HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Wanajifanya hawaoniJamaani amkeni Crimea inawaka moto muda huu super power anakufaa.Cheki video
Wanajifanya hawaoniJamaani amkeni Crimea inawaka moto muda huu super power anakufaa.Cheki video
Wanamsemo wao.Wazee wa air defence system vipi tena leo hii pale Dzhankoy, Crimea kwenye ammunition depot yenu. Au na leo tutasema ni aacident
View attachment 2325284
Angalia kias alichotumia US pale Ukraine toka 2014 ni pesa mingi sanaKama Ukraine kwa uwezo wa Kijeshi iliokua nao nchi Pekee kwa upande wa NATO ambayo ingeweza ikawashinda Ni Turkey na USA tu lkn bado umeona Ukraine ilikua Ni nchi ndogo ya Kijeshi.
Hakika Kuna Muda kazi ya fuvu hua Ni kushikilia magego ya meno tu.
Na zimeishiwa silaha kwenye maghala Ila Dume anaendelea kuchukua maeneo [emoji1787][emoji1787][emoji123][emoji635]
Acha mahaba, mbona russia ameinjinia vita kule syria dhidi ya hawa hawa nato waliotaka kumtoa asad na akashinda!?
Hapo watakaushaaaa,kama hakuna chochote kilichotokea,Hawa jamaa wasikie tuInamaana pro Russia hamajona ghala la silaha za mrusi na kituo cha tranfomers zaumeme crimea zinawaka moto.
[emoji1255][emoji123]Ukraine kwa sasa hapambani kukomboa vijiji ila anapiga supply ya silaha kwanza ndio maana wiki tatu mfululizo anapiga maghala ya silaha na madaraja na train zinazoleta silaha akimaliza hapo ndio waliobaki wanawekwa mtu kati hakuna kutoka labda watumie virungu.
Wanasema ukiinanga sana Russia na kusapot west ni rahisi sana kupata viza kwa sabab jamaa ukishawapa data zako wakat wa maomb wanafatilia sehem zote ulizotumia email,namba ya sim km kiunganish.
Na ndio maana jamaa wanahaha kusapot hata yale ambayo wao wenyew hawayaelew ili mrad wapate wepes wakat wa kujilipua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hutawaona,watjifanya vipofu[emoji848]Wazee wa air defence system vipi tena leo hii pale Dzhankoy, Crimea kwenye ammunition depot yenu. Au na leo tutasema ni aacident
View attachment 2325284
Duh! Urusi anapata tabu sanaWanajifanya hawaoni
[emoji1787]Wanamsemo wao.
Imejikipua yenyewe
[emoji41]Tunangoja kwanza uthibitisho wa MoD wetu kp kipanya44
Huyo jamaa ukiona anaanza kuandika andika yasiyo na mashiko ujue katoka kupiga nyetoUnapoteza muda kubishana na mpiga nyeto save your energy brother
Kwani uongo?!ISIS na wenzake sio wor
Yani hata wanaopeleka helmets na madawa nao inaita wako vitani. Aah uzuri visingizio vishapatikana, tumetoka kwenye kushinda Ukraine kwa siku tatu tumekuja kwa Russia inapigana na nchi 30
Nani alosema kama vikwazo havina madhara kwa RUSSIAPoint ni kupungua kwa sababu zote. Kwanza, kuna waliosema sanctions hazina madhara. Pili, kuna wanaosema Russia ina washirika na itaendelea kufanya biashara kawaida. Tatu, kuna wanaosema silaha za Russia zina ubora mkubwa, tumeziona kwenye vita kama zina ubora tutaona kama zitaagizwa kwa wingi. Turkey ishapokea order za kutosha za Bayraktar TBT na MAM munitions, US ishaanza kupokea maombi ya HIMARS
Ukishiba mahaba unakuwa mpumbavu, again ukishiba chuki unakua mpumbavu zaidi. Ukiongeza mihemko unakuwa mpumbavu to infinity. Hii ndio changamoto inayo wakumba walio wengi.Ingawa hayanihusu...
We jamaa hapa ndio huwa unatuchosha kinyama. Kama hazina ubora wanashinda vipi huko field? Kama bayraktar na Himars ni game changer hadi leo warusi wanafanya nini uko Ukraine? Tangu 24th Feb Misaada yote ya silaha imeisaidia nini Ukraine kuikomboa dhidi ya Russia?
Hivi kweli na ww umefikia hatua ya kusifia casualties kama kigezo cha ubora wa silaha? Kwa hiyo unataka kutushawishi na sie tuamini wale watalebani walikua na silaha bora kwasababu walileta casualties kwa jeshi la US na shost zake?
Kama kweli uwezo wa kufikria uko sawa, tangu hizo Bayraktar Himars na silaha zingine zote ziingie Ukraine zimemrudisha nyuma mrusi hadi wapi?
Jana sijui juzi tu hapa Pisky, Udy, Borschova, Vershyna vijiji vyote hivi vimesepa. So hizo bayraktar zilishindwa nini kutoa msaada kuzuia jambo hilo?
Vipi Himars zenu zimepiga stop advancement za urusi, if not why? Lel say ana silaha mbovu ukraine kapewa silaha bora. So Ukraine ana panga la chuma Russia ana panga la plastic inakuaje mwenye panga la chuma analalamika kuonewa na mwenye panga la plastic?
Simple logic kama hiyo hata mtoto wa chekechea akisikia anaelewa.
Tangu mzozo uanze, collective west wenye budget ya zaidi ya trillion dollars wanalalamika stock zao kuisha kisa Ukraine dhidi ya taifa maskini na dhaifu kwa mujibu wenu. Inakuingia kabisa akilini unasimama mbele za watu kutoa hoja kua Russia si chochote?
Kule Libya, hawa NATO si walifunga anga? Si waliingia vitani dhidi ya Libya? Kwani Libya ni NATO? wanashindwa nini kwenda hapo Ukraine dhidi ya Russia mwenye silaha goi goi wakamchakaze chap life liendelee?
Unajua kama msaada wa kifedha plus military aid zote zilizotolewa kwa Ukraine kutoka colllective west ni kiasi gani? Kilichotangazwa na kisichotangazwa? In term of number ni Almost zaidi ya budget ya military ya mwaka anayoiweka Russia. Je uliwahi kumsikia analalamika kuishiwa?
Hold on!
Majuzi hapo system za LM, ambae ni main manufacture wa silaha za collective west zimedukuliwa na wahuni wachache tu wa Killnet. Hackers wa kawaida tu wa Russia wakawavua nguo, Je umejiuliza FSB wanajua mangapi kuwahusu?
Uje kwenye mbinu za upiganaji na intelligence.
Collective west kuanzia Pentagon, CIA, Mi6, Mossad, BND to mention but few wako bega kwa bega na Ukraine dhidi ya FSB. Makampuni binafs mengi tu yanatoa locations na picha za satellites kwa Ukraine. Huo umoja wote wa intelligence unapigwa chini bado unawaita wadhaifu, kwamba sio bora? Are you nuts?
Sikia mdau, rekebisha feelings zako hizo huenda utaanza kuzungumza critically other wise utaendelea kuonekana kituko tu.
Being intelligent it's not about how much unaweza kuzungumza. Kua intelligent kuna-anza na uwezo wa kuhimili na ku'control chuki na mahaba katika ufikiri. Uwezo wa ku-control emotions. Kwani hivi vyote vina play part katika mwelekeo wa mtu wa kufikiri.
Ukishiba mahaba unakuwa mpumbavu, again ukishiba chuki unakua mpumbavu zaidi. Ukiongeza mihemko unakuwa mpumbavu to infinity. Hii ndio changamoto inayo wakumba walio wengi. In turn akizungumza au akitafuta sababu basi anatafuta za kushibisha either of the two, mahaba yake au chuki zake.
Pale wamekupa option uchukue inayoendana na utetezi wako bado umeyavurunda. Moja ya screenshot inasema wana ogopa "sanctions".
Hivyo vitisho kwako huoni kama ni tatizo na hope yote ni kwasababu ya mahaba niue uliyo nayo. Hivyo vitisho ni signal moja kwa mwenye akili kujua kua soko la silaha lenyewe tu haliko fair, blackmailing on actions. Ajabu Silaha sio bora ila zikinunuliwa yule mwenye silaha bora kwa mujibu wako analalama. Anachukiaaaaaaaa ha ha ha.
Piga moyo konde, Utayashinda... Vumilia [emoji23][emoji23][emoji23] Gospel song ya Paul Mwazembe. Ukiipata isikilize inatia faraja kiasi.
Kwenye halmashauri ya fikra zako silaha za Urusi ni kumchuzi ila walioko huko field wanaelewa wapo kwenye kajahanam kadogo.
Mind you, hiyo ni just SMO.
Hata wewe umeandika upumbavu tu...Ukishiba mahaba unakuwa mpumbavu, again ukishiba chuki unakua mpumbavu zaidi. Ukiongeza mihemko unakuwa mpumbavu to infinity. Hii ndio changamoto inayo wakumba walio wengi.
NAKAZIA
Sent using Jamii Forums mobile app
KREMLIN kila goti litapigwaBreaking News: Ma benki makubwa zaidi Marekani JPMorgan na Bank of America zimerudi Russia [emoji635] . Hizi ni Bank namba 1 na 2 kwa ukubwa (assets) Marekani [emoji631].
Hii ni kutokana na ongezeko la watu wengi huko Wall Street kutaka kununua bonds (Hati fungani) za Russia.
Benki hizi ni miongoni mwa benki 6 kurudi kwenye soko la Russia ikiwa baada ya Treasury Department ya US kupiga marufuku investors kununua hati fungani au hisa zozote kutoka Russia mwezi wa 6 mwaka huu.
US Treasury Department wametoa muongozo mpya unao ruhusu benki hizi kurudi kwenye soko hilo.
Barclays, Citigroup, Deutsche Bank na Jeffries Financial Group pia wamerudi.
Taratibu, kimya kimya na kwa kunong'onezana ili kuficha aibu sunctions za mchongo zinamegwa.