Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama Ukraine kwa uwezo wa Kijeshi iliokua nao nchi Pekee kwa upande wa NATO ambayo ingeweza ikawashinda Ni Turkey na USA tu lkn bado umeona Ukraine ilikua Ni nchi ndogo ya Kijeshi.

Hakika Kuna Muda kazi ya fuvu hua Ni kushikilia magego ya meno tu.
Angalia kias alichotumia US pale Ukraine toka 2014 ni pesa mingi sana
 

Attachments

  • 9E1ABFB4-4868-42B5-A935-6BB7B1D66454.jpeg
    206.2 KB · Views: 20
[emoji1255][emoji123]
 

Ndomana wanaambiwa wakubali kupakwa wese na wanachekelea kisa visa[emoji23][emoji1316][emoji1316]
 
Nani alosema kama vikwazo havina madhara kwa RUSSIA
Kila leo tunasema vikwazo havina ama havijawa nanatokeo tarajiwa kwa RUSSIA maana vinauma huku kwa muekewaji ambae ni RUSSIA nakule kwa wawekaji ambao ni western nashost zao
Nimpuuzi na mjinga pekee anaesema ama ataesema kwamba vikwazo alivyoekewa RUSSIA 10+K Useme havina madhara
Ila hakuna alietegemea kama vitakua namatokeo haya yanayoonekana leo hii mana RUSSIA anaendelea kama hajaekewa vikwazo 10k
Kuhusiana na ubora wa silaha za RUSSIA huu haupingiki maana RUSSIA ipo wazi anapata maendeleo yakutosha licha ya jamaa kupewa misaada namataifa zaidi ya 30+
Hizo Drones za mturuki linganisha zilivyopigana kule nagorno karabakh na hapo UKRAINE linganisha tu
Hata hao viongozi wa UKRAINE walishawahi kukiri kama hizo drone wameingia chakike
Mwisho mauzo ya silaha za RUSSIA kama yanaweza kupungua badi yatapungua sababu ya vikwazo nawala sio sababu yakua silaha zake hazina ubora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishiba mahaba unakuwa mpumbavu, again ukishiba chuki unakua mpumbavu zaidi. Ukiongeza mihemko unakuwa mpumbavu to infinity. Hii ndio changamoto inayo wakumba walio wengi.


NAKAZIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KREMLIN kila goti litapigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…