Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

@T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha maneno, si ulisema wazi kwamba atakayeingilia vita ya Ukraine atakiona kilicho mnyonyoa kanga manyoya.......haya sasa rusha kitu Washington akutane nacho angani..shida ni nini? si unazo Global missiles ..!! unagonga hadi km hadi 10,000 na zaidi.


Putin accuses US of trying to ‘drag out’ war in Ukraine​

The Russian leader says Washington is ‘using the people of Ukraine as cannon fodder’ as he lashed out at the US for supplying weapons to Kyiv.
 
Haya kwa wale pro urusi ambao hamjui nini leo boss wenu kimemtokea huko crimea tazameni video hii

🇷🇺 In Crimea, a fire at an electrical substation

In the Dzhankoy region of Crimea, a transformer caught fire at a substation. The cause of the fire is being specified.

Ukrainian channels started hysteria about the destroyed ammunition depot.
 
Toa gazeti lako halina source umekaa hapo kwalulenge na kutunga story lete picha na video tuone.
 
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]The losses of the Ukrainian troops and the territorial defense are huge, the Kiev leadership hides the real numbers[emoji91][emoji91][emoji91]
Toa kihabari chako cha kutunga leo update za frontline
 
Ni ukweli kuwa patakuwa pamepigwa wala si ajali. Lakini aiondoi akili kuwa Russia ni bora kuliko NATo na wenzake
Ukweli ni huu mkuu

🇷🇺 In Crimea, a fire at an electrical substation

In the Dzhankoy region of Crimea, a transformer caught fire at a substation. The cause of the fire is being specified.

Ukrainian channels started hysteria about the destroyed ammunition depot.
 
Imepigwa ghala la silaha na substation ya umeme ni kipigo cha mbwa koko na bado
 
Toa gazeti lako halina source umekaa hapo kwalulenge na kutunga story lete picha na video tuone.
Hata picha tuu huwezi ona kuwa ni transform ngoja nikuwekee video ya karibu mkuu. Ghala gani Hilo 😂😂😂‼️ acheni kujifariji kipigo kipo palepale. Karibu mkuu T14 Armata
Your browser is not able to display this video.
 
Hebu sikilizeni boss wenu U.S anasemaje kuhusu SMO

🇺🇲 Analysis of the situation in Ukraine from enemies: Russian troops are advancing in 4 directions

The main conclusions of the American Institute for the Study of War:

▪️Russian forces launched several limited ground attacks northwest of Slovyansk.
▪️Russian troops conducted several offensive operations east and southeast of Seversk, as well as northeast and southeast of Bakhmut.
▪️Russian troops continued to conduct offensive operations to the northwest, west and southwest of Donetsk.
▪️Russian forces conducted a limited ground assault north of Kharkov.
▪️Russian and Ukrainian forces continued to exchange accusations of shelling the Zaporozhye nuclear power plant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…