kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kila iitwayo siku Wanaleta magazeti mareefu wakielezea mafanikio ya jeshi la urusi kwenye hii wanayoita "special epereshen"" laiti haya magazeti yangekuwa na habari za ukweli basi urusi angekuwa ameshamaliza hii vita zamani sana. ,Hawa jamaa kwa propaganda hawajambo ..watakuchosha na porojo zao,Toa gazeti lako halina source umekaa hapo kwalulenge na kutunga story lete picha na video tuone.
Kibabu kina mikwara hiki[emoji1787]Acha maneno, si ulisema wazi kwamba atakayeingilia vita ya Ukraine atakiona kilicho mnyonyoa kanga manyoya.......haya sasa rusha kitu Washington akutane nacho angani..shida ni nini? si unazo Global missiles ..!! unagonga hadi km hadi 10,000 na zaidi.
Putin accuses US of trying to ‘drag out’ war in Ukraine
The Russian leader says Washington is ‘using the people of Ukraine as cannon fodder’ as he lashed out at the US for supplying weapons to Kyiv.
Wasiishie kuzunguka tu Kama china Bali washambulie kabisa Ili tuone kama kweli ni wanaume [emoji12]Muda huu ndege za kivita za urusi zipo juu ya anga la Alaska huko marekani
Naona umekuwa na nidhamuWasiishie kuzunguka tu Kama china Bali washambulie kabisa Ili tuone kama kweli ni wanaume [emoji12]
Ingekuwa hvyo Russia ingeisha yote kwa siku2Aisee hivi nyie watu mkoje?! Propaganda gani hizi zilizopinda?! Eti Russia anapigana na dogo Ukraine?!?! Kwanini mnajitoa ufahamu?! Russia anapambana na zaidi ya nchi 30...anapambana na NATO, Europe, West yote Canada, EU, Australia, Japan na Ukraine yenyewe...Yaani nchi zote hizo zinapambana na Russia kiuchumi, kisiasa, kijamii na kijeshi...you can imagine hapo superpower ni Nani..
Hili suala lilisha tolewa ufafanuzi muda mrefu Sana. Kumbuka hii ni operation sio total war. Jamaa Hana shida na raia. Anajitahidi Sana kupunguza casualties. Lazima aende taratibuJua tu Ukraine ni taifa dogo na hakuna ambae alijua Russia ni dhaifu hvyo na adi Urusi inaingia nchi nyingi zikajua kabisa ndo mwisho wa Ukraine, na kama unakumbuka Zelensky mwenyewe alisema anaowapigia hawapokei maana kila mtu anaogopa, ila sasa baadae ndo wakaona kila mtu ni mchumba, mpaka Poland wanajiamini na kujipa moyo kuwa Russia walioiona sio walioidhania, na kujipa bichwa akijileta kafa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kifupi Ukraine hakuwa na la ajabu ata siraha aliokuwa nazo mwanzon ni za Wasoviet mpaka alipopewa siraha, ata mwanzon Zelensky alikuwa akisema wenyewe hawaogopi ila hawana siraha, hii ni tangu wiki ya kwanza, sasa kama tangu wiki ya kwanza wanalalamika hawana siraha maana yake hawakuwa na siraha, na ata Ndege vita walizokuwa nazo zote ni mig 29
Sa unavyosema kuwa walikuwa vizuri kijeshi ni hujui na mapenzi ndo yanakuharibu akili
Ata siku ya 3 tu majeshi ya Urusi yalienda mpaka Kiev, maana yake ni kuwa walijiamini na walijua Ukraine ni weak sana na mapambano yalianzia uko pamoja na Kharkiv
Adi siku ya kwanza tu ya Russia kuvamia Donetsk pamoja na Luhansk walijitoa wakijua apa tayari baba kashatupokea, badala yake baba mpaka leo anadharaulika
Huu mwezi wa6 bado ni mputempute na tunavyobishana ni kama Urusi anapigana na nchi ya Level yake, yani kama US na Urusi ndo wanapigana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ma pro-Russia ndo akili zenu zilivyo hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Wanasema ukiinanga sana Russia na kusapot west ni rahisi sana kupata viza kwa sabab jamaa ukishawapa data zako wakat wa maomb wanafatilia sehem zote ulizotumia email,namba ya sim km kiunganish.
Na ndio maana jamaa wanahaha kusapot hata yale ambayo wao wenyew hawayaelew ili mrad wapate wepes wakat wa kujilipua.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ISIS na wenzake sio wor
Yani hata wanaopeleka helmets na madawa nao inaita wako vitani. Aah uzuri visingizio vishapatikana, tumetoka kwenye kushinda Ukraine kwa siku tatu tumekuja kwa Russia inapigana na nchi 30
Hawaelewi maana ya Support(kusaidia) au mashabiki tuseme na kupiganaISIS na wenzake sio wor
Yani hata wanaopeleka helmets na madawa nao inaita wako vitani. Aah uzuri visingizio vishapatikana, tumetoka kwenye kushinda Ukraine kwa siku tatu tumekuja kwa Russia inapigana na nchi 30
Hii ilikuwa tangu day1 lknMkisikia urusi imeingia jiji la kharkiv msishangae aisee
Mtu yeyote anayejua uhalisia anajua Ukraine hatakiwi kushinda vita hii. Alitakiwa awe ameshindwa mapema kabisa ila hadi leo dalili za vita kuisha hamnaEx US Army Lieutenant Colonel Daniel Davis:
“There is no chance, no military way, that Ukraine can win this war. We have to be honest about this."
T14 Armata
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia video hiyo kaka makombora tamepiga kwenye ghala na kwenye tansoformers hii video ni ghala kama unajua English sikiliza.Weka video ya hilo ghala
Na hili commbola lingine limepiga kwenye tansoformers video ndio hii tofautisha wewe pro rusia leo ni kipigo cha mbwa koko tuNgoma inaingia uwanjani Sasa, mbona mwaka huu mtatema cheche
[emoji635][emoji298]The Ministry of Defense of the Russian Federation signed a contract for the supply of the latest S-500 air defense system to the troops