NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Tatizo wanazitegemea hizo hizo Western Media kutuletea update,kwa sasa hawana cha kureport mpaka tena Western Media ziamue kuachia habari mpya.RT na ndungu zake watakuwa wamepigwa pin hawaonekani hata kwa Azam hawapo tena.Mbona halafu kupata update za huu mgogoro ni tatizo.. shida ipo wapi wakuu
Ndio lengo letu hilo, ww ulitakaje? Alafu leo kunahabari njema kwetu na mbaya kwenu juu ya Ukraine.Warusi wa Kinondoni Moscow ndiyo mlikuwa mnatuletea hizi hadithi za Kyiv kuwa majivu mkiongozwa na Morogoro kaskazini na ndunguye Frustration 😂
Hizi njemba ukikutana nazo sijui utafanyaje..Chechen wakiwasaidia Ukrainian na kuwapa njia nzuri.
Putin noma sana
wanasema hivyo lkn kampuni zao zinacomply na sanctions hapa ndio shida inapokuja, mda huu russia haiihitaji support tu ya kauli bali na actions pia, wakati china ikitangaza kuendelea biashara na urusi licha ya vikwazo benki zao mbili kubwa za biashara zinasitisha financing kwe imports toka russia hadi zitapotathmini athari za sanctions kwa upande wao, nchi nyingi zinasapoti urusi kisiasa huku zikicomply na economic war(sanctions) against it, uturuki imegoma kuweka sanctions but haina maana sana coz kampuni za kituruki zinacomply na sanctions anyway,Afrika kusini yasema hatutailaani Russia, hatufati mkumbo wa nchi nyinginezo.
SA won't condemn Russia, and is not fence-sitting over invasion, MPs told
"We are not going by what other counties are saying, we are going by what SA feels would be the better solution in this particular conflict," deputy Dirco minister Candith Mashego-Dlamini said.www.sowetanlive.co.za
Hivi RT kwa Azam haionyeshi tena?Tatizo wanazitegemea hizo hizo Western Media kutuletea update,kwa sasa hawana cha kureport mpaka tena Western Media ziamue kuachia habari mpya.RT na ndungu zake watakuwa wamepigwa pin hawaonekani hata kwa Azam hawapo tena.
Muogaazakhstan declared its neutrality.
“The conflict between Ukraine and Russia has nothing to do with Kazakhstan. We do not support either side,” Kazakh Vice Minister of Defense Sultan Kamaletdinov said.View attachment 2137148
Wameshapigwa pin kote kote,ngoja tuwasubirie kina CNN na nduguze waamue kutuletea habari zao.Ata kwa television bado ni shida akuna taarifa kamili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]rafiki yako general wa Russia[emoji119][emoji119]Tayari Jeshi la Russia limezunguka miji yote mikubwa ya Ukraine. Kuna rafiki yangu General ya jeshi la Russia tulikutana naye Syria. Kaniambia, kinachosubiriwa sasa hivi ni mazungumzo kati ya Russia na Ukraine yaliyopangwa leo asubuhi.
Urusi Sasa ita kuwa under control of water huko southern Ukraine.Kutoka kusini mwa Ukraine ambako moja ya miji ya UKRAINE (KHERSON) tayari upo mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mji huu wenye wakazi zaidi ya 300,000 umewekwa rasmi chini ya majishi ya Urusi huku ukifanya kuwa mafanikio makubwa kwasasa tangu vita ianze kwa upande wa Urusi.
Majeshi ya Urusi yameikamata bandari ya KHERSON na kituo Cha treni Cha mji huo hii ikimaanisha Urusi Sasa ita kuwa under control of water in let huko southern Ukraine.
Jamani muwe mnapunguza basi uwongo,hamuoni hata aibu kutudanganya kiasi hiki.Habar nyepesi nyepesi zinasema Putin keshamwaga vikosi zaidi ya elfu 10 ndani ya finnland na sweden kujipanga kupigana na NATO.
Na hapo anajaribu kuwaaamblinisha hawana ulazima wa kujiunga na NATO maana usalama wao atauhakikisha yeye mwnyw Putin.
HAPO barua inakuja baada ya vikosi kuingia. Putin Ni mtu smart Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahh subutuu,mmeingia cha kike,safari mtawapa hadi watoto wenu vodka wanywe,hakuna pa kuiuza tena.Kichapo kikiisha na kila kitu kitaisha.
Source; Niamini mimi
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Mrembo naomba no yako ya simu leo nikuone jioni.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamani muwe mnapunguza basi uwongo,hamuoni hata aibu kutudanganya kiasi hiki.
Kwa wenye ubongo wa alkasusi iwafikie na hiii. Yaani USA anajiona mzuri yy,malaika yy,mrembo yy na mwenye mvuto yy tu.Mass landing exercises have begun in China.
View attachment 2137160
ni jambo zuri hasa ukizingatia NATO nia yao ni kuwaaminisha watu wa sweden kuwa russia ni tishio then wanasikia ukraine imevamiwa mara anga yao imekuwa violated na the same guys hii wanaitumia kubadilisha public opinions,Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).
Swedish defense minister calls Russian violation of airspace 'unacceptable'
Four Russian fighter jets briefly entered Swedish territory over the Baltic Sea on Wednesday. Swedish Defense Minister Peter Hultqvist said. "The Russian violation of Swedish airspace is of course completely unacceptable."uk.news.yahoo.com
Weka hapa mubashara,tufurahi na kusikitika pamoja.Ndio lengo letu hilo, ww ulitakaje? Alafu leo kunahabari njema kwetu na mbaya kwenu juu ya Ukraine.
#kivujivu