LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
azakhstan declared its neutrality.

“The conflict between Ukraine and Russia has nothing to do with Kazakhstan. We do not support either side,” Kazakh Vice Minister of Defense Sultan Kamaletdinov said.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Mbona halafu kupata update za huu mgogoro ni tatizo.. shida ipo wapi wakuu
Tatizo wanazitegemea hizo hizo Western Media kutuletea update,kwa sasa hawana cha kureport mpaka tena Western Media ziamue kuachia habari mpya.RT na ndungu zake watakuwa wamepigwa pin hawaonekani hata kwa Azam hawapo tena.
 
Afrika kusini yasema hatutailaani Russia, hatufati mkumbo wa nchi nyinginezo.

wanasema hivyo lkn kampuni zao zinacomply na sanctions hapa ndio shida inapokuja, mda huu russia haiihitaji support tu ya kauli bali na actions pia, wakati china ikitangaza kuendelea biashara na urusi licha ya vikwazo benki zao mbili kubwa za biashara zinasitisha financing kwe imports toka russia hadi zitapotathmini athari za sanctions kwa upande wao, nchi nyingi zinasapoti urusi kisiasa huku zikicomply na economic war(sanctions) against it, uturuki imegoma kuweka sanctions but haina maana sana coz kampuni za kituruki zinacomply na sanctions anyway,
 
Tatizo wanazitegemea hizo hizo Western Media kutuletea update,kwa sasa hawana cha kureport mpaka tena Western Media ziamue kuachia habari mpya.RT na ndungu zake watakuwa wamepigwa pin hawaonekani hata kwa Azam hawapo tena.
Hivi RT kwa Azam haionyeshi tena?
 
US yasema Russia yapeleka majeshi yake kuuzingira mji wa Odesa, mji wa tatu kwa ukubwa Ukraine.

Meli nyingi za kivita zimeonekana zikiondoka Crimea kuelekea Odesa, ambapo maafisa wa Marekani wanasema huenda usiku wa leo mji huo ukaanza kushambuliwa vikali na majeshi ya Russia tokea baharini.

 
Tayari Jeshi la Russia limezunguka miji yote mikubwa ya Ukraine. Kuna rafiki yangu General ya jeshi la Russia tulikutana naye Syria. Kaniambia, kinachosubiriwa sasa hivi ni mazungumzo kati ya Russia na Ukraine yaliyopangwa leo asubuhi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]rafiki yako general wa Russia[emoji119][emoji119]
 
Kutoka kusini mwa Ukraine ambako moja ya miji ya UKRAINE (KHERSON) tayari upo mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mji huu wenye wakazi zaidi ya 300,000 umewekwa rasmi chini ya majishi ya Urusi huku ukifanya kuwa mafanikio makubwa kwasasa tangu vita ianze kwa upande wa Urusi.
Majeshi ya Urusi yameikamata bandari ya KHERSON na kituo Cha treni Cha mji huo hii ikimaanisha Urusi Sasa ita kuwa under control of water in let huko southern Ukraine.
Urusi Sasa ita kuwa under control of water huko southern Ukraine.
vs
Urusi Sasa itakuwa na control over water hiko southern Ukraine
 
Habar nyepesi nyepesi zinasema Putin keshamwaga vikosi zaidi ya elfu 10 ndani ya finnland na sweden kujipanga kupigana na NATO.

Na hapo anajaribu kuwaaamblinisha hawana ulazima wa kujiunga na NATO maana usalama wao atauhakikisha yeye mwnyw Putin.

HAPO barua inakuja baada ya vikosi kuingia. Putin Ni mtu smart Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani muwe mnapunguza basi uwongo,hamuoni hata aibu kutudanganya kiasi hiki.
 
Ndege vita nne za Russia zalaumiwa kuingia pasi na taarifa ktk anga la Sweden siku moja baada ya waziri mkuu wa Sweden kutangaza kuwa serikali yake itaimarisha zaidi nguvu za kijeshi za sweden kufuatia uvamizi wa Ukraine. Maafisa wa jeshi wa Sweden wamesema kuwa ndege hio ni SU-24 (mbili) na SU-27 (mbili).



ni jambo zuri hasa ukizingatia NATO nia yao ni kuwaaminisha watu wa sweden kuwa russia ni tishio then wanasikia ukraine imevamiwa mara anga yao imekuwa violated na the same guys hii wanaitumia kubadilisha public opinions,
 
Back
Top Bottom