LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
FIFA: WE BAN RUSSIA FROM THE WORLD CUP

PUTIN :THERE WONT BE ANY WORLD CUP THEN

Putin on possible World Cup ban "That's a primary trivial issue to talk of as of now but we have seen many countries performing in national sporting events whilst their military will be performing security duties,if Russia is banned then they maybe no World Cup"
 
.

gaza.png

gaza.jpeg
 
Tena kwa South Africa ni kichekesho kikubwa,Uchumi wote unamilikiwa na Makaburu na ndiyo wanatekeleza hivyo vikwazo,huku wakiwaacha kina ANC wakifanya Siasa huko UN.
huwa wako mstari wa mbele kulaumu uvamizi wa israeli kwe ardhi ya palestina ila kwe uvamizi huu wanasapoti urusi,
 
ukraine yawazidi urusi,urusi wakimbia kurudi nyuma walipotoka,mpka mda huu ukraine anazidi kuwaua na kupora siraha za warusi,pia yaelezwa urusi inapigwa kama watoto uwananja wa vita.
 
ukraine nae kaanza kuvunja mipaka ya urusi na kuanza kuingia moscow kwa kasi na nguvu,pia yaelezwa urusi anazidi kuomba msamaha wa chinichin huku akilia kwa maumivu wanayoyapata kwani wamepoteza wanajeshi wengi.
 
Nimeongea na mtoto wa Mona aliyepo Ukraine amesema Urusi imewachukua na wapo salama kabisa. Kwa sasa wapo kwenye kambi ya jeshi la Urusi na hawabaguliwi.
Ulikuwa kibo hill ja yeye alikuwa kwenye tower huko ukraine?
 
sasa yeye alifikiri ikitokea vita ya 3 silaha za nyuklia hazitatumika na uharibifu hautotokea mbona anaongea kitu ambacho ni wazi kabisa ndivyo itakavyokuwa. russia akomae na kujenga uchumi wake maana unapumulia mipira kwa sasa.
Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.
 
ukraine nae kaanza kuvunja mipaka ya urusi na kuanza kuingia moscow kwa kasi na nguvu,pia yaelezwa urusi anazidi kuomba msamaha wa chinichin huku akilia kwa maumivu wanayoyapata kwani wamepoteza wanajeshi wengi.
Bangi ya Arusha ikikupanda ndo unakuwa kama huyu.
Tumieni ya Moro iko poa kidogo

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Serbia watakunywa acha wasusie ila wataikumbuka wenyewe.
Serbia peke yao huoni kama ni hasara Mkuu,Nchi yenye watu 6.9M na watoto wakiwemo, hata kama wote watakunywa kuanzia asubuhi hadi usiku,bado ni hasara kubwa kwa Russia
 
Back
Top Bottom