Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kunakitu kizito kitashushwa. Raia wa Ukraine wamepewa warning. Wanatakiwa waondoke eneo tajwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko watapata kazi?Atapata kazi sehemu nyingine,ndiyo maisha,huwezi mlazimisha wote wawe na msimamo mmoja.
huwa wako mstari wa mbele kulaumu uvamizi wa israeli kwe ardhi ya palestina ila kwe uvamizi huu wanasapoti urusi,Tena kwa South Africa ni kichekesho kikubwa,Uchumi wote unamilikiwa na Makaburu na ndiyo wanatekeleza hivyo vikwazo,huku wakiwaacha kina ANC wakifanya Siasa huko UN.
hahahaTume mpinpoint Serbia na hawezi kwenda huko. Urusi ndiye anayetawala dunia hii
Ukihitaji kupata vichekesho hivyo tuma neno VUNJAMBAVU kwenda namba 15051ukraine yawazidi urusi,urusi wakimbia kurudi nyuma walipotoka,mpka mda huu ukraine anazidi kuwaua na kupora siraha za warusi,pia yaelezwa urusi inapigwa kama watoto uwananja wa vita.
Unachanganya characters wa huku unamweka kule na wa kule umemweka hukuukraine nae kaanza kuvunja mipaka ya urusi na kuanza kuingia moscow kwa kasi na nguvu,pia yaelezwa urusi anazidi kuomba msamaha wa chinichin huku akilia kwa maumivu wanayoyapata kwani wamepoteza wanajeshi wengi.
Waendelee kuweka vikwazo vya kiuchumi, sir team Russia tunawalipua tu, at the end tunaichukua Ukraine iliyo tajiri wa natural resources,,, halafu tunawauzia hizo resources.
Ulikuwa kibo hill ja yeye alikuwa kwenye tower huko ukraine?Nimeongea na mtoto wa Mona aliyepo Ukraine amesema Urusi imewachukua na wapo salama kabisa. Kwa sasa wapo kwenye kambi ya jeshi la Urusi na hawabaguliwi.
Mijamaa imeshiba balaa,Hizi njemba ukikutana nazo sijui utafanyaje..
Ulikuwa kibo hill ja yeye alikuwa kwenye tower huko ukraine?Nimeongea na mtoto wa Mona aliyepo Ukraine amesema Urusi imewachukua na wapo salama kabisa. Kwa sasa wapo kwenye kambi ya jeshi la Urusi na hawabaguliwi.
Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.sasa yeye alifikiri ikitokea vita ya 3 silaha za nyuklia hazitatumika na uharibifu hautotokea mbona anaongea kitu ambacho ni wazi kabisa ndivyo itakavyokuwa. russia akomae na kujenga uchumi wake maana unapumulia mipira kwa sasa.
Bangi ya Arusha ikikupanda ndo unakuwa kama huyu.ukraine nae kaanza kuvunja mipaka ya urusi na kuanza kuingia moscow kwa kasi na nguvu,pia yaelezwa urusi anazidi kuomba msamaha wa chinichin huku akilia kwa maumivu wanayoyapata kwani wamepoteza wanajeshi wengi.
Serbia peke yao huoni kama ni hasara Mkuu,Nchi yenye watu 6.9M na watoto wakiwemo, hata kama wote watakunywa kuanzia asubuhi hadi usiku,bado ni hasara kubwa kwa RussiaSerbia watakunywa acha wasusie ila wataikumbuka wenyewe.