Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 2,069
- 3,516
Nimeongea na mtoto wa Mona aliyepo Ukraine amesema Urusi imewachukua na wapo salama kabisa. Kwa sasa wapo kwenye kambi ya jeshi la Urusi na hawabaguliwi.
Arudi aje kusoma alipopadharau sasa hakuna cha Ukraine tena