LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nyamizi mbona wakata tamaa mapema hivyo na kukubali uhalisia wa mambo kuwa kichapo chatembezwa na majeshi ya Russia Ukraine?
Habari ya Russia kuipiga Ukraine wala siyo habari,habari ni jinsi Ukraine (under Dog) alivyojitetea kwa siku zote hizi kwenye Battle Field mbele ya the so called Super Power kwenye maswala ya Kivita. Haya malizeni mbwembwe zenu mkahangaike na Vita ya akili mliyopigwa huko,mtabeba hayo madafu yenu hadi migongoni kwenda kununua mkate.
 
Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.

Hzo ni biti tu russia maisha yataendelea kama kawaida na vikwazo vitalegezwa uzuri sahv mataifa mengi yameanza muunga mkono russia.
 
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Hiyo inaitwa Electronic jaming system wamezijam afu wakazizamisha rubani hawakua na uwezo wa kuzicontrol ndege zao
 
Nchi 17 za Afrika zimeamua kuwa nyutro, hazikupiga kura kuidhinisha Umoja wa Mataifa kuilaani Russia

Screenshot_20220303-134236_Chrome.jpg
 
Hzo ni biti tu russia maisha yataendelea kama kawaida na vikwazo vitalegezwa uzuri sahv mataifa mengi yameanza muunga mkono russia.
Hata akiungwa mkono na mataifa yote Duniani bila uwepo wa USA na Nchi za Ulaya zenye nguvu kiuchumi ambazo anazitegemea zaidi kibiashara ni kazi bure kwake,hilo analijua vizuri sana Russia,huoni hadi rafiki yake kipenzi amemute kupiga kura kaishia ku abstain kama Tanzania,kwa nini hakupiga kura ya moja kwa moja kupinga pale UN?
 
Upepo unabadilika kwa kasi sana. 90% of Asia inamsapoti Putin, 80% of Africa ipo kwa Putin. Wakenya ndio wanajikomba komba.

Mataifa mengi yamejua tatizo lipo wapi na chanzo ni nani wa mgogoro. Even European wamesema they need russia kwenye uchumi. Katika nchi zote za NATO nimekubali rais wa france hyu jamaa hajaongea shit yyte
 
Wanachofanya russia ni fair kabisa tuseme hapa Tanzania anaingia dar afu anamwambia makalla asurenda kwa ajili ya usalama wa mji na watu wake ukigoma ndo kichapo heavy. Hawa jamaa wanabusara ndomana unaskia wanakufa sana kiukweli wangetumi force tungekua tunasema mengine
Kuna waliozingirwa na wananchi ikabidi wasimame,
 
Na China kwanini haikuweka wazi msimamo wake kwa Russia?
Hatuna shaka na mshirika wetu China, huko kukaa kimya ni ishara ya kupinga hoja ya kuilaani Russia iliyokuwa yapigiwa yatafuta uungwaji mkono. Zipo nchi nyingi tu zimefanya hivyo.


BTW twaendelea kufanya biashara na China

 
Hata akiungwa mkono na mataifa yote Duniani bila uwepo wa USA na Nchi za Ulaya zenye nguvu kiuchumi ambazo anazitegemea zaidi kibiashara ni kazi bure kwake,hilo analijua vizuri sana Russia,huoni hadi rafiki yake kipenzi amemute kupiga kura kaishia ku abstain kama Tanzania,kwa nini hakupiga kura ya moja kwa moja kupinga pale UN?
Apinge kwani inamuhusu nini?
 
Back
Top Bottom