nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
Hatuna shaka na mshirika wetu China, huko kukaa kimya ni ishara ya kupinga hoja ya kuilaani Russia iliyokuwa yapigiwa yatafuta uungwaji mkono. Zipo nchi nyingi tu zimefanya hivyo.
![]()
Russia Ukraine Crisis: India, Pakistan, China among 35 nations to abstain from voting on anti-Russia resolution | World News - Times of India
Europe News: India, along with China and Pakistan, was among the 35 countries that abstained from voting on Wednesday on a resolution deploring in the strongest tetimesofindia.indiatimes.com
BTW twaendelea kufanya biashara na China
ofcoz hutegemei statement tofauti na hiyo ingawa china nae anajua tu recent russian moves in ukraine and belarus pamoja na yale maandamano ya kazakhstan yalimlenga yy kwa namna flan kufuatia ile project yake ya BRI ambayo ni km inamreplace russia as a dominant power kwe eneo la EURASIA....russia is not happy na kwa miaka mingi yy amekua dominant power eneo lile but now there is china ambae anaanza kudominate economic issues energy issues na sasa ht kuwauzia wale jamaa wa central asia silaha bidhaa ambayo wamekuwa wakinunua russia tu miaka yote, pamoja na huo urafiki ambao unaongelewa sana but hawa jamaa wapo kwe game kali kati ya wao kwa wao hasa central asia, dunia imechangamka