LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hatuna shaka na mshirika wetu China, huko kukaa kimya ni ishara ya kupinga hoja ya kuilaani Russia iliyokuwa yapigiwa yatafuta uungwaji mkono. Zipo nchi nyingi tu zimefanya hivyo.


BTW twaendelea kufanya biashara na China


ofcoz hutegemei statement tofauti na hiyo ingawa china nae anajua tu recent russian moves in ukraine and belarus pamoja na yale maandamano ya kazakhstan yalimlenga yy kwa namna flan kufuatia ile project yake ya BRI ambayo ni km inamreplace russia as a dominant power kwe eneo la EURASIA....russia is not happy na kwa miaka mingi yy amekua dominant power eneo lile but now there is china ambae anaanza kudominate economic issues energy issues na sasa ht kuwauzia wale jamaa wa central asia silaha bidhaa ambayo wamekuwa wakinunua russia tu miaka yote, pamoja na huo urafiki ambao unaongelewa sana but hawa jamaa wapo kwe game kali kati ya wao kwa wao hasa central asia, dunia imechangamka
 
Ila watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
 
hii miji ya pembeni karibu na blacksea kuilinda ni ngumu sio ajabu sn mji huo kuanguka mapema, issue ni kharkiv na kiev ingawa nayo itaanguka tu but atleast kuna mazingira ya kuresist
Acha porojo mkuu, Kharkiv ni mji mkubwa wa pili baada ya Kyiv. Na mpaka umeanguka majeshi ya serikali yamepambana mpaka dakika ya mwisho. Halafu wewe waleta ngonjera zako kwamba mji umeanguka kirahisi rahisi tu.

Si wangeuachia toka siku ya kwanza basi? Mpaka wamepewa mkong'oto wa maana kwa wiki nzima ndio wauachie!

Serikali yoyote duniani huwa haipo tayari kupoteza sio mji mkuu wa pili tu hata kijiji ktk ardhi yake.

 

Perhaps this is the first video from the Gostomel airport after the start of the fighting. Burning MRIYA in the hangar
 
Head of the National Defense Control Center of the Russian Federation Mikhail Mizintsev:

- The Russian Federation evacuated more than 142.5 thousand people from the special operation zone, including 39,661 children.

- The Russian side has created all the necessary conditions for a safe evacuation from Ukraine.

- Ukrainian nationalists are preventing the evacuation of more than six thousand citizens of India, Vietnam and China from Kharkov.

— At checkpoints in the Belgorod region, there are 130 buses ready to take Indian students and other foreigners out of Kharkiv and Sumy.

- A catastrophic situation in the humanitarian field is developing almost on the entire territory of Ukraine.

“More than 300 tons of essential items will be handed over today during 14 humanitarian actions in Kherson, Sumy and Kharkiv regions.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Mkuu wewe unaona kuna ukweli hata wa mbali kwa ile comment ya majeshi 10,000 ndani ya Finland na Sweden kutoka Russia [emoji1787]
Nyie mnahangaika kupinga huku jf SI muende Ukraine mkapewe silaha mkakutane na wa Chechens
 
Romania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:

romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea

Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja

Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Zilidunguliwa au zilikua znaanguka zenyewe
 
Acha porojo mkuu, Kharkiv ni mji mkubwa wa pili baada ya Kyiv. Na mpaka umeanguka majeshi ya serikali yamepambana mpaka dakika ya mwisho. Halafu wewe waleta ngonjera zako kwamba mji umeanguka kirahisi rahisi tu.

Si wangeuachia toka siku ya kwanza basi? Mpaka wamepewa mkong'oto wa maana kwa wiki nzima ndio wauachie!

Serikali yoyote duniani huwa haipo tayari kupoteza sio mji mkuu wa pili tu hata kijiji ktk ardhi yake.

ulioanguka ni kherson mkuu na si kharkiv, weka link ya kuangushwa kwa kharkiv, urusi imeripoti kudhibiti kherson ww hio habari ya kuanguka kwa kharkiv umeipata wapi?
 
Back
Top Bottom