LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
F-35 isha fanya mambo uko Belarus kimbieni twitter mka jionee wakubwa waki kwambia ujui uko mbele kuna nini jiongeze
 
#UPDATES:Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov ameonya kwamba iwapo vita ya tatu ya dunia itatokea, silaha za nyuklia zitatumika na kutakuwa na uharibifu mkubwa.

#Aljazeera
#Russia_Ukraine https://t.co/tiDX1nZASQ
sasa yeye alifikiri ikitokea vita ya 3 silaha za nyuklia hazitatumika na uharibifu hautotokea mbona anaongea kitu ambacho ni wazi kabisa ndivyo itakavyokuwa. russia akomae na kujenga uchumi wake maana unapumulia mipira kwa sasa.
 
Re:Store opened and updated prices 😐

Your browser is not able to display this video.
 
Tena kwa South Africa ni kichekesho kikubwa,Uchumi wote unamilikiwa na Makaburu na ndiyo wanatekeleza hivyo vikwazo,huku wakiwaacha kina ANC wakifanya Siasa huko UN.
 
ni jambo zuri hasa ukizingatia NATO nia yao ni kuwaaminisha watu wa sweden kuwa russia ni tishio then wanasikia ukraine imevamiwa mara anga yao imekuwa violated na the same guys hii wanaitumia kubadilisha public opinions,
Sweden haihitaji kujulishwa na western countries kuwa Russia ni tishio kwao.
Hata mswidi wa kawaida tu hilo analijua.
Ukizingatia ina historia ya kupigana vita na Russia.

 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu wewe unaona kuna ukweli hata wa mbali kwa ile comment ya majeshi 10,000 ndani ya Finland na Sweden kutoka Russia 🤣
 
yeah pamoja na hilo but public opinion haikuwa in favor ya kujoin NATO km political establishment inavotaka but issue ya ukraine inabadili public opinion sweden ht finland, ingawa haimaanish kuwa watachkua maamuz hayo
 
Mchina kajenga uchumi wake kwa jasho machozi na damu hayuko tayar kuona ukiporomoka kizembezembe mchana atasema yupo na putin ila usiku ukifika anatafakari kwa kina hivi akikumbatia huyo urusi na akaachana na western countries anapata nini cha maana sana. Mchina wa sasa ni bepari tu naye anaangali kesho ya wananchi wake nchi ina watu kama mchanga wa bahari halaf aharibu kwa western wataishije ndiyo maana hata kura za jana kaabstain sasa si angemuunga urusi kivitendo kwa kuwa against chezea tumbo njaa noma. Kwa kifupi mchina yupo pote pote kwa urusi yupo mchana (maana anataka gesi na mafuta ya kubwa jinga russia) ikifika usiku anamng'ong'a kubwa jinga russia anakaa na western mpaka asubuhi na jioni maana ndipo soko la maana la bidhaa zake lilipo na hayupo tayari kulipoteza hilo.Katika nchi zinazotrade na china kumi za kwanza urusi hayupo. Kwa kifupi boss hanuniwi.
 
mkuu serbia anahangaika miaka mingi sasa kujiunga EU, pia walitoa statement ya kutotambua uhuru wa yale majimbo yaliyotambuliwa na urusi
Tume mpinpoint Serbia na hawezi kwenda huko. Urusi ndiye anayetawala dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…