Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa yeye alifikiri ikitokea vita ya 3 silaha za nyuklia hazitatumika na uharibifu hautotokea mbona anaongea kitu ambacho ni wazi kabisa ndivyo itakavyokuwa. russia akomae na kujenga uchumi wake maana unapumulia mipira kwa sasa.#UPDATES:Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov ameonya kwamba iwapo vita ya tatu ya dunia itatokea, silaha za nyuklia zitatumika na kutakuwa na uharibifu mkubwa.
#Aljazeera
#Russia_Ukraine https://t.co/tiDX1nZASQ
Serbia watakunywa acha wasusie ila wataikumbuka wenyewe.Ahh subutuu,mmeingia cha kike,safari mtawapa hadi watoto wenu vodka wanywe,hakuna pa kuiuza tena.
Weka link au account iliyotoa hiyo taarifa tukaoneF-35 isha fanya mambo uko Belarus kimbieni twitter mka jionee wakubwa waki kwambia ujui uko mbele kuna nini jiongeze
Tena kwa South Africa ni kichekesho kikubwa,Uchumi wote unamilikiwa na Makaburu na ndiyo wanatekeleza hivyo vikwazo,huku wakiwaacha kina ANC wakifanya Siasa huko UN.wanasema hivyo lkn kampuni zao zinacomply na sanctions hapa ndio shida inapokuja, mda huu russia haiihitaji support tu ya kauli bali na actions pia, wakati china ikitangaza kuendelea biashara na urusi licha ya vikwazo benki zao mbili kubwa za biashara zinasitisha financing kwe imports toka russia hadi zitapotathmini athari za sanctions kwa upande wao, nchi nyingi zinasapoti urusi kisiasa huku zikicomply na economic war(sanctions) against it, uturuki imegoma kuweka sanctions but haina maana sana coz kampuni za kituruki zinacomply na sanctions anyway,
F-35 hizi zinazoanguka zenyewe?F-35 isha fanya mambo uko Belarus kimbieni twitter mka jionee wakubwa waki kwambia ujui uko mbele kuna nini jiongeze
#kivujivu🚀🚀Weka hapa mubashara,tufurahi na kusikitika pamoja.
#istandwithUkraine😢
Tangu jana siwaoni tenaHivi RT kwa Azam haionyeshi tena?
Sweden haihitaji kujulishwa na western countries kuwa Russia ni tishio kwao.ni jambo zuri hasa ukizingatia NATO nia yao ni kuwaaminisha watu wa sweden kuwa russia ni tishio then wanasikia ukraine imevamiwa mara anga yao imekuwa violated na the same guys hii wanaitumia kubadilisha public opinions,
Hizo movie za akina Van dame.F-35 isha fanya mambo uko Belarus kimbieni twitter mka jionee wakubwa waki kwambia ujui uko mbele kuna nini jiongeze
mkuu serbia anahangaika miaka mingi sasa kujiunga EU, pia walitoa statement ya kutotambua uhuru wa yale majimbo yaliyotambuliwa na urusiSerbia watakunywa acha wasusie ila wataikumbuka wenyewe.
JPM was right from the very beginningKusema vya ukweli Corona tulipigwa ni mazingaobwe kama mazingaobwe mengine
Mkuu wewe unaona kuna ukweli hata wa mbali kwa ile comment ya majeshi 10,000 ndani ya Finland na Sweden kutoka Russia 🤣[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
yeah pamoja na hilo but public opinion haikuwa in favor ya kujoin NATO km political establishment inavotaka but issue ya ukraine inabadili public opinion sweden ht finland, ingawa haimaanish kuwa watachkua maamuz hayoSweden haihitaji kujulishwa na western countries kuwa Russia ni tishio kwao.
Hata mswidi wa kawaida tu hilo analijua.
Ukizingatia ina historia ya kupigana vita na Russia.
![]()
Explained: Why Sweden is afraid of Russian aggression in the Baltic Sea
Sweden has responded swiftly and decisively after noticing a number of Russian ships in the Baltic Sea and particularly large drones flying above its nuclear plants. Why are the Swedes afraid?indianexpress.com
Mchina kajenga uchumi wake kwa jasho machozi na damu hayuko tayar kuona ukiporomoka kizembezembe mchana atasema yupo na putin ila usiku ukifika anatafakari kwa kina hivi akikumbatia huyo urusi na akaachana na western countries anapata nini cha maana sana. Mchina wa sasa ni bepari tu naye anaangali kesho ya wananchi wake nchi ina watu kama mchanga wa bahari halaf aharibu kwa western wataishije ndiyo maana hata kura za jana kaabstain sasa si angemuunga urusi kivitendo kwa kuwa against chezea tumbo njaa noma. Kwa kifupi mchina yupo pote pote kwa urusi yupo mchana (maana anataka gesi na mafuta ya kubwa jinga russia) ikifika usiku anamng'ong'a kubwa jinga russia anakaa na western mpaka asubuhi na jioni maana ndipo soko la maana la bidhaa zake lilipo na hayupo tayari kulipoteza hilo.Katika nchi zinazotrade na china kumi za kwanza urusi hayupo. Kwa kifupi boss hanuniwi.wanasema hivyo lkn kampuni zao zinacomply na sanctions hapa ndio shida inapokuja, mda huu russia haiihitaji support tu ya kauli bali na actions pia, wakati china ikitangaza kuendelea biashara na urusi licha ya vikwazo benki zao mbili kubwa za biashara zinasitisha financing kwe imports toka russia hadi zitapotathmini athari za sanctions kwa upande wao, nchi nyingi zinasapoti urusi kisiasa huku zikicomply na economic war(sanctions) against it, uturuki imegoma kuweka sanctions but haina maana sana coz kampuni za kituruki zinacomply na sanctions anyway,
Atapata kazi sehemu nyingine,ndiyo maisha,huwezi mlazimisha wote wawe na msimamo mmoja.Urusi watu wanapoteza ajira huko kujitia vimbelembeleView attachment 2137172
Tume mpinpoint Serbia na hawezi kwenda huko. Urusi ndiye anayetawala dunia hiimkuu serbia anahangaika miaka mingi sasa kujiunga EU, pia walitoa statement ya kutotambua uhuru wa yale majimbo yaliyotambuliwa na urusi