Uko kote alipopigana ni miles fmkutoka kwao, nyie apo tu pemben mmeshindwaKila siku tuna wahoji, hivi: USA ilichukua masaa mangapi kupigana na WavietCong huko VietNam na kumbuka VietNam ni Taifa dogo kieneo ukiliganisha na Ukraine, ebu tujuze nani alishinda vita.
Haya tuje sasa Afghanistani Uncle SAM katumia 20X365X24=175,200hrs, just imagine a whooping 175,200 hours wasted chasing shadows in Afghanistan - at the end of the day Gringos ended up achieving nothing - why pick on Putin/Russians??
Ujerumani naambiwa viwanda vimesimama sababu ya power shortage , hawatakubali na mrusi ndio kafunga koki . Vita itakuwa kubwa sana baada ya gas kukatwa West hawatakubali kuwa kimya . Watatumia all resources availableMkuu, hali siyo nzuri kusema kweli, lililopo ni kumuomba Mungu atunusuru dhidi ya genge hatarishi la Anglo-Saxon breed, hawana utu hawa, akili zao zote zimezama katika kutaka kuitwala Dunia nzima - suala la Ukraine na pengine Taiwan hizo ni geresha/maigizo tu ya kutafuta kisingizio cha kuanzisha WW3 walengwa wakuu wakiwa ni Urusi na China ambao wanawachukulia kama ni kikwazo kikubwa kinacho wakwamisha kufikia malengo yao ya kuitawala Dunia kiuchumi na kijeshi wako dead serious wanataka Urusi na Uchina ziwe destroyed completly by making sure they will never to rise again kuwa tishio kwa Amerika na Uingereza hao ndio vinara wa ujinga huu, nchi za Ulaya ni bendera fuata upepo tu hawana kauli mbele ya Merikani - twende kushoto sawa mkuu, twende kulia sawa bwana wanapelekeshwa tu na Merikani kama robots/zezeta - inashangaza sana.
Pro Russia mmeishiwa pumzi kama magenerali ndo wapiganaji Kuna shida hapoUliwahi kupita hata mgambo mbona unauliza maswali yasiyoeleweka? unadhani field za vita ni kama kuny. tu,
huwezi kumuweka askari katika operation kuwa kama hiyo kwa muda mrefu ni lazima ubadili ili kuongeza morality kwa
wapiganaji na ukumbuke Hao mageneral ndio wapiganishaji.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
US on verge of becoming party to Ukrainian conflict, Moscow warns
WORLD HAL TURNER 19 AUGUST 2022
Washington’s continued support for Kiev during Moscow’s military operation has put the US on the verge of becoming party to the Ukrainian conflict, Russia’s deputy Foreign Minister, Sergey Ryabkov has said.
“We don't want escalation. We’d like to avoid a situation, in which the US becomes a party to the conflict, but so far we don’t see any readiness of the other side to take these warnings seriously,” Ryabkov told Rossiya 1 TV channel on Friday.
Moscow rejects Washington's explanation, that providing Ukraine with weapons and other aid is justified by Kiev’s right to self-defense, he pointed out.
“Excuse me, what kind of self-defense is it if they are already openly talking about the possibility of attacking targets deep in the Russian territory, in Crimea?” the deputy FM wondered.
According to Ryabkov, such statements are being made by the Ukrainian side “not just under the blind eye of the US and NATO, but with the encouragement of this kind of sentiment, approaches, plans and ideas directly from Washington,” Ryabkov insisted.
The ever more obvious and deeper involvement in Ukraine in terms of countering our military operation, in fact, puts this country, the US, on the verge of turning into a party to the conflict,” he reiterated.
The US has been the strongest supporter of Kiev amid its conflict with Russia, providing Kiev with billions of dollars in military and financial aid, as well as intelligence data. Washington’s deliveries to the Ukrainian military have included such sophisticated hardware as HIMARS multiple rocket launchers, M777 howitzers and combat drones.
Reuters reported on Friday that US President Joe Biden is about to announce another lethal aid package for Kiev of around $800 million.
An unnamed official from the Biden administration told Politico on Thursday that the White House had no problem with Ukraine attacking Crimea, which became part of Russia after a 2014 referendum staged in response to a violent coup. The US believes that Kiev can strike any target on its territory, and “Crimea is Ukraine,” the American official insisted.
There have recently been a number of explosions near a Russian ammunition depot and at a military airfield in Crimea, which the Defense Ministry said were acts of “sabotage.” However, Ukrainian authorities haven’t officially confirmed involvement in the attacks.
Russia sent troops into Ukraine on February 24, citing Kiev’s failure to implement the Minsk agreements, designed to give the regions of Donetsk and Lugansk special status within the Ukrainian state. The protocols, brokered by Germany and France, were first signed in 2014. Former Ukrainian President Pyotr Poroshenko has since admitted that Kiev’s main goal was to use the ceasefire to buy time and “create powerful armed forces.”
In February 2022, the Kremlin recognized the Donbass republics as independent states and demanded that Ukraine officially declare itself a neutral country that will never join any Western military bloc. Kiev insists the Russian offensive was completely unprovoked
Kwa hiyo alichokifanya ni sahihi. Sababu hataki NATO ifike karbu. Kama ni kuzuia NATO isijitanue Leo ndo inakaribia Zaid make Finland na Swedwen na ambayo Ina mpaka mrefu ndo hizo zinajiunga na NATO na amepelekea kufika mlangon kabisa. Je ataanzisha Tena vita.Ukijua sababu kwanini yote haya yanatokea utajilaumu kwanini ulikuwa mjinga mwanzoni,nchi kubwa kama Russia haiwezi kukurupuka kuanzisha vita wakati inajua inaamadui makubwa Sana nchi strong kijeshi,kiitelingensia na kiuchumi haiwezi kukurupuka siku ukijua kwa undani kwanini yote haya yanaendelea utajua umuhimu wa maarifa na kutokushikiwa akili.
Unafikiri Putin anaweza mfanyaje USA. Tuache tu unafiki na tuongee ukweli kama rusia ameshindwa kuiteka Ukraine Hadi Leo. Je mziki wa USA atauweza tuseme tu ukweliSi ajabu USA ika-gross misinterpret kauli ya Russia kwamba ni dalili za weakness!!
Nimekwisha warn members kwamba Biden ni binadamu hatari sana Duniani, haoni mbali zaidi ya pua yake and what is even scary yuko determined kabisa kianzisha WW3 akijidanganya yeye na wapambe wake wakuu kwamba thermonuclear war is winnable hivyo kwa kuwa wana military bases chungu mzima Ulaya na mashariki ya mbali wanaweza ku-spring up a surprise attack kwa Urusi wakaishinda kirahisi - ndio mawazo yao ya kijinga/finyu yalivyo - repeat, anafikiri anaweza ku-evoke thermonuclear Xchange between Russia and the USA aka-wake up the morning after to tell the tale!! Biden ni mtu ajabu sana, watu hawajui tu - Putin amejaribu kumuonya mara nyingikistaarabu
Uko kote alipopigana ni miles fmkutoka kwao, nyie apo tu pemben mmeshindwa
Hii👉 Donald Trump alikuwa rais mwenye akili na maono hasingeweza kuruhusu upelekaji wa silaha nzito Ukraine wala kumu-encouraged Zelensky kuendeleza Vita angemshauri akubaliane kutekeleza makubaliano ya Minsk⏪ ndio sababu ya kumuondoa Trump mkuu,they new he wasn't easy to manipulate.On the other hand,Biden ni Zombie la NWO,so they do what they want.Huu ni wakati wa hatari sana kwa Dunia mkuu.Si ajabu USA ika-gross misinterpret kauli ya Russia kwamba ni dalili za weakness!!
Nimekwisha warn members kwamba Biden ni binadamu hatari sana Duniani, haoni mbali zaidi ya pua yake and what is even scary yuko determined kabisa kianzisha WW3 akijidanganya yeye na wapambe wake wakuu kwamba thermonuclear war is winnable hivyo kwa kuwa wana military bases chungu mzima Ulaya na mashariki ya mbali wanaweza ku-spring up a surprise attack kwa Urusi wakaishinda kirahisi - ndio mawazo yao ya kijinga/finyu yalivyo - repeat, anafikiri anaweza ku-evoke thermonuclear Xchange between Russia and the USA aka-wake up the morning after yeye na familia yake to tell the tale!!
Simsemi vibaya Biden lakini ukweli unabaki pale pale ni mtu hatari na wa ajabu sana, watu hawajui tu - Putin amejaribu kumuonya Biden mara nyingi tu kistaarabu lakini jamaa anampuuzia Putin na kuhamua kuweka pamba masikioni, hana habari kwamba ujeuri wake na dharau ndio utasababisha kutuletea mwisho wa Dunia na hiki ndicho kitakuja kutokea, labda Wamerika wenyewe wakimuwahi kumudhibiti - Donald Trump alikuwa rais mwenye akili na maono hasingeweza kuruhusu upelekaji wa silaha nzito Ukraine wala kumu-encouraged Zelensky kuendeleza Vita angemshauri akubaliane kutekeleza makubaliano ya Minsk.
Hivi target ya kutusha makombora ni nini mbona mnaua raia tu au mshalimaliza jeshi lote la Ukraine[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2328787
SABOTAGE OPERATIONS [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiku wa leo Himars imepiga ammunition depot nyingine huko Belbek Crimea hii base ni kubwa sana.Yani hakuna kupumzisha kabisa ni kipigo cha mbwa koko
Mao tse Tung once said: Hatari ya kutokea vita vya tatu vya dunia bado ingalipo, mataifa yote yawe tayari...Si ajabu USA ika-gross misinterpret kauli ya Russia kwamba ni dalili za weakness!!
Nimekwisha warn members kwamba Biden ni binadamu hatari sana Duniani, haoni mbali zaidi ya pua yake and what is even scary yuko determined kabisa kianzisha WW3 akijidanganya yeye na wapambe wake wakuu kwamba thermonuclear war is winnable hivyo kwa kuwa wana military bases chungu mzima Ulaya na mashariki ya mbali wanaweza ku-spring up a surprise attack kwa Urusi wakaishinda kirahisi - ndio mawazo yao ya kijinga/finyu yalivyo - repeat, anafikiri anaweza ku-evoke thermonuclear Xchange between Russia and the USA aka-wake up the morning after yeye na familia yake to tell the tale!!
Simsemi vibaya Biden lakini ukweli unabaki pale pale ni mtu hatari na wa ajabu sana, watu hawajui tu - Putin amejaribu kumuonya Biden mara nyingi tu kistaarabu lakini jamaa anampuuzia Putin na kuhamua kuweka pamba masikioni, hana habari kwamba ujeuri wake na dharau ndio utasababisha kutuletea mwisho wa Dunia na hiki ndicho kitakuja kutokea, labda Wamerika wenyewe wakimuwahi kumudhibiti - Donald Trump alikuwa rais mwenye akili na maono hasingeweza kuruhusu upelekaji wa silaha nzito Ukraine wala kumu-encouraged Zelensky kuendeleza Vita angemshauri akubaliane kutekeleza makubaliano ya Minsk.
Hiyo lugha ya 'mziki wa USA' inaonesha ni mtu wa Aina gani anayetoa hoja...Unafikiri Putin anaweza mfanyaje USA. Tuache tu unafiki na tuongee ukweli kama rusia ameshindwa kuiteka Ukraine Hadi Leo. Je mziki wa USA atauweza tuseme tu ukweli
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Umeambiwa na Nani kuwa wanaokufa ni raia tu?!....Ni Ukraine na West of course...Je ni lini Ukraine na West waliwahi kutangaza maafa kwa jeshi lao katika vita hivi?! Siku zote framing ya Ukraine, West katika vita huvi ni kuwa Russia inapiga majengo ya raia, hospitali, supermarkets, shule, vituo vya walemavu na kadhalika...hakuna siku BBC, Skynews, Aljazeera na News nyingine za West zimewahi kutangaza kuwa Russia imeua Askari wa Ukraine....lakini habari za huko field ni kuwa Ukraine has so far lost more than 65,000 soldiers..lakini habari hizi haziwezi kutangazwa na west..Hivi target ya kutusha makombora ni nini mbona mnaua raia tu au mshalimaliza jeshi lote la Ukraine
Hii👉 Donald Trump alikuwa rais mwenye akili na maono hasingeweza kuruhusu upelekaji wa silaha nzito Ukraine wala kumu-encouraged Zelensky kuendeleza Vita angemshauri akubaliane kutekeleza makubaliano ya Minsk⏪ ndio sababu ya kumuondoa Trump mkuu,they new he wasn't easy to manipulate.Biden ni Zombie la NWO,so they do what they want.Huu ni wakati wa hatari sana kwa Dunia mkuu.