Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Wakat wewe unamashaka nayo TURKEY ambae nimwanachama wa NATO kaagiza hio s400Sure mkuu ile patriot ya U.S tangu miaka 1980s hadi saiv wanaifanyia upgrade tu ila Russia tangu mwaka 2005s washa toa air difence zaidi ya mbili S400, nilkuwa na Mashaka sana mkuu Kwa ile Kasi..
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tazama video leo asubuhi ammunition depot huko Horlivka imewaka moto.Kipigo cha mbwa koko bado kinaendelea.[emoji38][emoji38][emoji38]
View attachment 2330443View attachment 2330444
Nani hao waliosema Ukraine inaweza piga nchi zote za NATO kasoro US na Turkey.Wakati huo huo wanaoijua UKRAINE huko EUROPE kwenyewe
wanakwambia kwa EUROPE na NATO ukiitoa US na TURKEY hakuna taifa lolote lingeweza kubeto na UKRAINE na likashinda kwenye vita halaf wewe unatutajia cjui nani
Maneno sio yetu nimaneno yao huko EU sio sisi
Nb:-UKRAINE kuna vita kwaupande wao ila kwa RUSSIA hapo UKRAINE hawapo vitani ufahamu
Mwisho kabisa SMO inaenda vyema sana kama ilivyopangwa hayo madogo madogo yanayotokea huko hayatabadili malengo ya SMO
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiitoa USA hakuna inchi inayoweza kuipiga Ukraine katika muungano wa nato walichemka Afghanistan katika ground battle. Unadhani ujerumani kwa sasa inamsuri hata wa kuipiga serbia? Nato ni USA wengine hamna kituNani hao waliosema Ukraine inaweza piga nchi zote za NATO kasoro US na Turkey.
Germany ipigwe na Ukraine?
UK ipigwe na Ukraine?
Italy ipigwe na Ukraine?
France je, Canada nayo?
Yani Ukraine hii hii ambayo imepokea mafunzo kutoka Ulaya na Marekani, inapewa silaha na hata Bulgaria ndio ipigane na giants wa NATO. Uwingi wa wanajeshi sio kitu, Russia mbona ina wanajeshi wengi ila poor trained na silaha mbovu. China mbona ina wanajeshi wengi ila Taiwan kisiwa kidogo hakiiogopi.
Sasa kumbe mmehamisha magoli leo hii Ukraine ingekuwa kwenye coalition ni the third best military in NATO? Failures za Russia haziifanyi Ukraine iwe bora. Ukraine ina jeshi la kawaida, hata determination waliyonayo Ukraine ni ya kawaida. Russia ingeivamia Poland ambayo ndio ilifanyiwa massacre ya watu zaidi ya 200,000 kwenye WW2 au ingevamiwa Finland ambayo ilipambana na USSR kwenye Winter war ndio ungejua Russia ina jeshi bovu mno.
Kama umeanza kusoma vita mwaka huu nakukumbusha Russia mwaka 1995 ilikuwa na performance mbaya sana kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Chechen. Ikawa na rekodi mbaya kwenye second Chechen war, ikawa na rekodi mbaya kupindukia kwenye vita ya Georgia mwaka 2008 na baada ya hapo ikafanya military reforms. Kwa sasa hizi ndio reforms zimefanyika ila performance sio nzuri.
Ukraine hii mwaka 2014 ilivamiwa pale Crimea wanajeshi wakaondoka bila kurusha hata risasi. Miaka saba baadae imevamiwa na adui yuleyule ambaye anapigana nayo kwa kujificha. Ndani ya NATO humo ni utoto kulinganisha nchi nilizokutajia dhidi ya nchi iliyokimbia eneo lake miaka saba iliyopita
Urusi haina uwezo wa kupigana na drones zinazonunuliwa Alibaba. Drones ambazo hazina teknolojia ngumu na mbaya zaidi zinashambulia makao makuu ya kikosi cha jeshi kinacholindwa na mifumo yao wanayodai mikali. Sio hivyo tu, zimeshambulia makao mara mbili. Bado drone kama hiyo ilishambulia air baseSure mkuu ile patriot ya U.S tangu miaka 1980s hadi saiv wanaifanyia upgrade tu ila Russia tangu mwaka 2005s washa toa air difence zaidi ya mbili S400, nilkuwa na Mashaka sana mkuu Kwa ile Kasi..
I wondered if death was a better alternative to enduring the rest of my days without your sweet kisses to keep me aliveHivi unajua vizuri destructive power za thermonuclear weapons walizo nazo Warusi, USA,Uchina na Korea Kaskazini, je,umewahi kusikia kitu kinajulikana kama Tza La Bomba kilipuliwa na Urusi mwaka 1961 takribani miaka 61 imekwisha pita na hakuna Taifa lolote limewahi kuunda thermonuclear bomb lenye nguvu za kufikia au kuzidi kiwango hicho that was 61 years ago,je,hivi sasa Urusi ina surprises zipi za silaha za nuclear ambazo they are even scary - tusifanye utani Warusi hawasemi mengi lakini watu wenye akili timamu Duniani wanajua Urusi ni moto wa kuotea mbali wakihamua kufanya kweli, najua watu watajaribu kunibeza beza lakini ukweli ubabaki pale pale.
Labda niongezee kwa kusema kwamba nuclear scientists wana wakumbusha wana siasa mara kwa mara kwamba Nuclear war is not winnable na ukiwekea maanani formidable delivery systems owned by Russia and China - I am telling you USA won't dare trying Putin's patience - ukweli ndio huo take it or leave it up2U.
Labda nimalizie kwa kukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba tafuta kwenye mtandao kuhusu Russian TZar La Bomba kuna kitu utajifunza - tafuta kwenye Google au Utube - hutajuta.
Ujerumani inawauzia Israel aina fulani ya diesel electric submarines zenye AIP system zile Dolphin class. Hizo subs hazikaribiwi na poor subs za Russia zile Kilo class. Hiyo Israel ndio mwalimu wa Russia kwenye drones. Israel huyo ndio bingwa wa kuharibu na kukwepa air defence system za Urusi. Maeneo yote ambayo silaha za Mrusi na zinakutana na za Muisraeli silaha za Urusi zifiche tu. Tumeziona vizuri Nagorno Karabhak. Sasa Israel haijawahi nunua silaha mbovu au kwa mtu mjinga asiyejua.Ukiitoa USA hakuna inchi inayoweza kuipiga Ukraine katika muungano wa nato walichemka Afghanistan katika ground battle. Unadhani ujerumani kwa sasa inamsuri hata wa kuipiga serbia? Nato ni USA wengine hamna kitu
Ndo
Sasa ndo apo inakuja point "Russia is weak than most people though" anapigana kama mtoto, na hajui theme ya vitaMkuu, ebu jaribu kupitia nilicho andika, kuna kipengere nimesema hivi: "sisemi kwamba jeshi la Urusi halipati hasara" ila taarifa nyingi zinatiwa chumvi mno - mfano: huu msafara mnao usema ulikuwa zaidi ya 50KM, hivi kwa waelewa wa masuala ya kijeshi unaweza kuufuta kwa kutumia artillery na javelin kweli?? Airforce ndio njia pekee yenye uwezo wa kuangamiza msafara mzima bila matatizo na aiforce iwe inamiliki helicopter gunships (American Apache au Russian Mil-24) au tank busters kama American A-10 warthog au Russian SU-24, lakini sio mwanajeshi mmoja mmoja aliye shikilia Javelin au wanajeshi watatu/wanne wanao fire Artillery hao hawana uwezo wa kusababisha hasara kubwa kwa misafara ya kijeshi.
[emoji2][emoji2] aisee inachekesha sana, wametoka vichakani mithiri ya sungura wa porini [emoji13][emoji13]Tazama bomu lilivyowatoa vichakani warusi walijificha humo aisee wana hali mbaya sana roho mkononi muda wowote wanadondoshewa kitu kizito.
Lete source acha kuleta habari za kitoto za kutunga yani mtu na akilizako unaandika ujinga hauna source peleka Facebook kule[emoji38][emoji38]Urusi inaoneka kuyarudisha nyuma majeshi ya Ukraine kwa kasi kubwa huko mykolaiv ni kama vile urusi inampango WA kuizingira mykolaiv ikitokea khersan. Kosa kubwa kufanywa na Ukraine ni kushindwa kuikomboa khersan
[emoji122][emoji122][emoji122]Ujerumani inawauzia Israel aina fulani ya diesel electric submarines zenye AIP system zile Dolphin class. Hizo subs hazikaribiwi na poor subs za Russia zile Kilo class. Hiyo Israel ndio mwalimu wa Russia kwenye drones. Israel huyo ndio bingwa wa kuharibu na kukwepa air defence system za Urusi. Maeneo yote ambayo silaha za Mrusi na zinakutana na za Muisraeli silaha za Urusi zifiche tu. Tumeziona vizuri Nagorno Karabhak. Sasa Israel haijawahi nunua silaha mbovu au kwa mtu mjinga asiyejua.
Ujerumani imetoa Gepard anti aircraft gun system kwa Ukraine. Hizo Gepard ilishaacha kuzitumia ikisema ni za zamani wala sio hadhi yake. Cha ajabu bado zinalitishia jeshi la Russia na Ukraine iliziomba.
Ujerumani imetoa Pz2000 ambayo ni the best howitzer waliyopokea Ukraine. Ogopa sana Ukraine wakipokea silaha kwa msaada kisha wakachangishana harambee kununua idadi nyingine ya silaha hiyo. Pz2000 ni bora kuliko French Caesar, Swedish Archer na yoyote aliyo nayo Marekani.
Imetoa silaha nyingi ndogo kama DM22 directional anti tank mines zenye uwezo wa kushangaza. Panzerfaust 3 ATGM ambazo ni nyepesi kuliko Javelin. Kuna mines nyingine, na silaha nyingi.
Rheinmetall kampuni ya Ujerumani ndio ilijenga Mulino, kituo kipya cha mafunzo ya jeshi cha Urusi. Hakuna yeyote pale Russia angejenga kituo kama hicho, Urusi walikuwa na vituo vya kizee ambavyo havina hata simulation capabilities.
Bado Rheinmetall inatengeneza silaha za uwezo mkubwa kama Leopard MBT.
Kulinganisha jeshi la Ukraine dhidi ya Ujerumani ni mchana na usiku. Ujerumani haiwezi tumia silaha yeyote made in Ukraine, ni silaha duni sana kwao. Vilevile haiwezi tumia silaha nyingi ambazo ziko deployed na Ukraine. Ukraine ina Su-27 na Mig-29 ambazo ni 3rd gen jets za miaka ya 70 uko wakati Ujerumani ina 4th gen Eurofighter Typhoon ambazo ndege ya kwanza imetengenezwa 2003.
Ukraine haina navy wakati Germany ina wargships na subs. East Germany ilikuwa na silaha ambazo ilizigawa kwa former Soviet block members miaka ya 80 na 90 uko. Mfano BMP-1 ilizipa modifications kubwa ikazipeleka Sweden kisha Czech Republic.View attachment 2330591 Vita hii Ukraine ikaziomba na Wajerumani wakatoa ruhusa hizo junks ziende Ukraine. Wao hawawezi tumia kazi mbovu vile katafute IFV na APC wanazotumia na wanazodevelop.
Kuhusu morali ya kupigana na mwamko, hilo kajifunze kwanini Nazi Germany ilipozimavia Poland, France na USSR kwanini Britain na US zilikuja kuwasaidia. Huwezi linganisha Ujerumani na Ukraine. Huijui Ujerumani kwa kuwa haipigi kelele kama Russia. Unaamini kwenye kelele kuliko ukimya
Hakuna bomb kama Tsar bomba na ni rahis kutengeneza maana formular ni moja, kwenye atomic bomb kuna limit ambayo ukiongeza ujazo bomb haliwi na ukubwa zaidi, ila kwa hydrogen bomb ambayo ni nuclear za kisasa ni unaongeza ujazo tu na mlipuko unaongezeka, theoretically unaweza tengeneza hydrogen bomb moja linaloweza kulipua dunia nzima(though itabidi liwe kubwa kama nchi, which is hard, though possible) thats the denger of Hydrogen bomb, atomic bomb ni kama zile za Hiloshima na Nagasaki ambazo ni ndogo tuHivi unajua vizuri destructive power za thermonuclear weapons walizo nazo Warusi, USA,Uchina na Korea Kaskazini, je,umewahi kusikia kitu kinajulikana kama Tza La Bomba kilipuliwa na Urusi mwaka 1961 takribani miaka 61 imekwisha pita na hakuna Taifa lolote limewahi kuunda thermonuclear bomb lenye nguvu za kufikia au kuzidi kiwango hicho that was 61 years ago,je,hivi sasa Urusi ina surprises zipi za silaha za nuclear ambazo they are even scary - tusifanye utani Warusi hawasemi mengi lakini watu wenye akili timamu Duniani wanajua Urusi ni moto wa kuotea mbali wakihamua kufanya kweli, najua watu watajaribu kunibeza beza lakini ukweli ubabaki pale pale.
Labda niongezee kwa kusema kwamba nuclear scientists wana wakumbusha wana siasa mara kwa mara kwamba Nuclear war is not winnable na ukiwekea maanani formidable delivery systems owned by Russia and China - I am telling you USA won't dare trying Putin's patience - ukweli ndio huo take it or leave it up2U.
Labda nimalizie kwa kukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba tafuta kwenye mtandao kuhusu Russian TZar La Bomba kuna kitu utajifunza - tafuta kwenye Google au Utube - hutajuta.
Ingepigana na Nato ungeona f22, f35, eurofighter typhoon, ungeina carrier strike group, ungeona Abrams tanks, ungeona THAAD, Patroit airdefence system, ungeona A10 warhog, ungeona wanajeshi wa Nato uko, ungeona baba la vita B 52 na b2Ukweli ni kwamba,Urusi Ina nguvu zisizo za kawaida.
Kama utakubali ama utakataa lakini ukweli usiopongika ni kwamba Urusi inapigana na NATO Sasa hivi.
Hata NATO nao wameshachoka na wameishiwa pumzi.
Katika NATO amebaki USA peke yake ndie anaeisaidia Ukraine kwa Kila kitu,kuanzia pesa,silaha,mbinu za vita na taarifa za Kijasusi na ushauri.
Tulishuhudia nchi Wanachama wa NATO walianza kwa mbwembwe kuisaidia Ukraine,kama akina Poland,UK,Canada na wengineo,lkn mwisho wa siku kabakia Marekani TU ndie anaetoa misaada ya fedha na silaha Kila kukicha.wengine wote wamekata moto.
Nina msemo wangu,Nina sema hivi,kwa kawaida ukiona mtu anaongeza kitu Fulani ujue alichokua nacho au alichokua akitumia,hakimtoshi au hakijamtosha.
Kwa mfano mtu akila chakula ,asiposhiba maana yake hajashiba au hajatosheka.
Kama ana nguo moja akienda kuongeza nyingine,ujue hiyo moja haijakidhi haha yake ya kumiliki nguo,
Ukiona mtu anakunywa maji,akiongeza chupa moja nyingine ujue Ile chupa ya kwanza haijakata kiu yake.
Sasa Iko hivi,Marekani toka siku ya kwanza alikua akitoa misaada ya silaha na fedha kwa Ukraine,Urusi wakazimaliza zote.Marekani wakaongeza nyingine,Urusi wakazila kama moto ulao,
Marekani wakaongeza Tena natena,Urusi wakaendelea kuzila TU.
Kwa Hali ya kawaida n Hali halisi kama silaha anazotoa ama alizotoa Marekani kama zingesaidia siku za kwanza TU,basi asingefoa Tena,maana yake zingekua zimeweza kufanya kile alichokua anakitaka.
Hapa ndipo nakuja kuamini kua kumbe Urusi sio nchi ya mchezo.
Niwendawazimu TU,asiejua kuwa Urusi inakabiliana na NATO, na kinara wa NATO USA akiwa ndio mtoa silaha mkubwa.
Ukiona Marekani inaongeza kutoa silaha kwa Ukraine,ujue zile za kwanza hazijagua dafu.sasa sio USA peke yake,Bali wapo na akina UK,France,German,Poland,Canada, Denmark, Australia,na utitiri wa vi nchi vimepeleka Silaha huko,lkn Urusi anazila.
Achilia mbali silaha,Kuna michango ya fedha,Ujasusi na hata askari wa nchi kamili na hata askari wa kukodiwa "mercenaries" kutoka Dunia nzima,lkn Hawa wote Urusi anawala.
Jamani vita ni gharama,hebu fikiria Urusi anapigana lkn kawekewa vikwazo vyote,hatukatai na wala wao hawakatai kuwa vikwazo vinawakwaza lkn mwamba anatoa dozi kama hayuko kwenye vikwazo.
Jamani eeeh tutake tusitake,tukubali tukatae Urusi anapigana na NATO na kiranja wao USA lkn Urusi Yuko peke yake na bado kawayumbisha vibaya sana.
Hii sio mara ya kwanza kwa Urusi kupigana na mataifa yenye Nguvu Sana hapa duniani.
Huko Afghanistan, Mujahedeen walikua wakisaidiwa na USA,UK,na NATO wote,China,Pakistan,Saudi Arabia,na utitiri wa vi nchi.
Urusi aliwamudu wote kwa miaka kumi na aliamua kutoka baada ya kuja na sera ya Mageuzi ya kiuchumi na kisiasa yaani Perestroika na Glasnost.
Mrusi hakushindwa Afghanistan kama USA alivyoshindwa Vietnam.
Hili ndo taifa la kesho, Vijana weupe Kabisa Kichwani, Kuunganisha Dots zero, Hoja Zero.Ukweli ni kwamba,Urusi Ina nguvu zisizo za kawaida.

Ujerumani Hao ndo walioipa Ukraine Irish air defense system na bado zimefeli pia ujerumani imetuma artillery za kisasa kwa Ukraine lakini wapi. Leo hii ujerumani tuipiganishe hata na serbia ujerumani haitoboi kwa strategy weapons hawana yaani kama wantegea tomahawk za USA basi wamefeli tomahawk zilipukutishwa nyingi na Syria. Hizo submarine za Israel alizo nunua kwa ujerumani zilishwai kukutana na mtiti wa underwater drone za hamas mpaka Israel ikazippeleka Cyprus. Urusi Ana underwater misseli yenyewe uwezo wa kunguzauka dunia hata mwaka mzima kisha ika hit targetUjerumani inawauzia Israel aina fulani ya diesel electric submarines zenye AIP system zile Dolphin class. Hizo subs hazikaribiwi na poor subs za Russia zile Kilo class. Hiyo Israel ndio mwalimu wa Russia kwenye drones. Israel huyo ndio bingwa wa kuharibu na kukwepa air defence system za Urusi. Maeneo yote ambayo silaha za Mrusi na zinakutana na za Muisraeli silaha za Urusi zifiche tu. Tumeziona vizuri Nagorno Karabhak. Sasa Israel haijawahi nunua silaha mbovu au kwa mtu mjinga asiyejua.