D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Tusome uzuri hii vita inavyoenda, wengi wanabashiri Russia kuchukua hatua kali kujibu mapigo.The murder of Dugina is solved, the main thing ( source Ria news)
-Ukrainian special services are behind the murder -
Suspect - citizen of Ukraine Natalia Vovk, born in 1979 -
She arrived in Russia on July 23 with her daughter Sofia Shaban
Ukraine itafurahishwa siku hio.Tusome uzuri hii vita inavyoenda, wengi wanabashiri Russia kuchukua hatua kali kujibu mapigo.
Lakini Russia wanafahamu kuwa huu ni mpango wa majasusi wa Ukraine na wale "handlers" wao |(jina kapuni).
Hivyo hiii ni provocation au uchokozi uloandaliwa na Marekani ili Russia ajibu jambo ambalo Putin na majasusi wake bado walifikiria ila yasemwa kuwa dawa imepangwa igawiwe Jumatano.
Russia si wajinga wanafahamu nani amefanya hivyo na amesaidiwa na nani na sasa yupo Estonia nchi ambayo ni mwanachama wa NATO.
Russia imetaka extradition lakini Estonia haiwezi kutekeleza hilo na Russia haiwezi kuchukua maamuzi ya haraka.
Tusubiri jumatano kwenye sherehe za uhuru wa Ukraine.
Atafurahishwa kwelikweli.Ukraine itafurahishwa siku hio.
Watakuja vipi, mzee baba umeina mnavyopelekewa moto na michuma yenu ya HIMARS
Hapo utajijibu mwenyewe.Asante mkuu, tajiri mkuu , meneja kitambi. Kumbuka fedha haziongea na debe tupu zake kelele.
Hii Zaporozhye Nuclear Power Plant ina Supply 50% ya Electricity needs ya Ukraine yote pamoja na baadhi ya nchi za ulaya.The American side last week turned to Russian Ambassador to Washington Anatoly Antonov with a request to transfer full control over the Zaporozhye nuclear power plant to Ukraine, EFE reports with reference to the US State Department
In the next decade lazima tu amshambulie TaiwanKuhusu China sio inawezekana bali ni uhakika. Kuna picha nimeona ni ya satellite China yuko anajenga destroyers tano kwa wakati mmoja kwenye shipyard moja. Hii sio hali ya kawaida kabisa, kuna vita inaandaliwa miaka michache ijayo
Da aisee,umeniambia kitu ambacho kweli sikukiwaza.Atsema nimaoni kama yawengine
Halaf yakwake yeye ndio fact eti
Jamaa hua ananiacha hoi kusema kwamba tunaikuza RUSSIA utadhani sie ndio tumei rank kuieka hapo ilipo nyuma ya huyo US
Hao wanao ama waliom rank RUSSIA hapo hawajui lolote ila bwana yule anajua vyote
Atapingana na huyo bwana acha tuone hem!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
🤝🏻 goodmorning sir🫡Freddie mziki bado
Mastress ya ewura yamemvurugaDa aisee,umeniambia kitu ambacho kweli sikukiwaza.
Ukweli ni kwamba Pro NATO wengi husema Russia is overrated,lkn kwa mujibu wa data za upendeleo za west huiweka Russia kama namba mbili nyuma ya USA.
Ingawa Mimi kijeshi Russia ni namba moja.
Wao wanaangalia bajeti.
Ukweli bajeti ya ulinzi ya USA ni kubwa,na sababu za ukubwa tumeshazitaja humu mara kadhaa.
Hebo ona hii,USA imetumia Hela nyingi mno kuisaidia Ukraine kuliko kiasi ilichotumia NATO kuipiga Yugoslavia.
Kama USA ni machampioni kweli kwa Nini hawaisaidii Ukraine kwa mtindo walioisaidia Kosovo?
Yaani waingize majeshi kabisa?
Kwa sababu kipigo wanachokitoa Warusi kwa Ukraine ni kikali na kikubwa kuliko wa Serbia walichowapa wakosovo.
Mwamba haya ya NATO kutoingiza majeshi hayaoni,lkn Syria na Libya Afghanistan,Iraq waliingiza.
Mwamba sio mchambuzi huru Tena,heri yetu sisi tuliochagua upande mapema.
Unamjua Putin vizuri wewe?Ila jamani tuache utani Zele kajazia kichiz, cheki mkifua,
View attachment 2331656
nimeshajua kwa nini alikuwa anataka meeting face to face na nduli Putin, manina angemsukumia, na kumbana kende na ile meza yake ndefu.
View attachment 2331661
Maagent njeee ya chumba cha mkutano wangesikia tu kubooom, DOSTOVANNYA.
Possible aisee.
Hawa jamaa toka tokea vita ianze kila week sherehe bado hawafirisiki inafikirisha sanaLeo ni siku ya State Flag of the Russian FederationView attachment 2331615