Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.

Tunafukua makaburi [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wasiwasi na kiwewe kimewakumba Ubalozi wa Marekani huko Kiev baada ya kuhisi mashambulio ya kimyakimya toka Russia [emoji635][emoji1787]
The security situation may change “without warning,” the embassy in Kiev says

The US diplomatic mission in Ukraine’s capital has advised Americans to leave the country, warning that the security situation could deteriorate rapidly.

“The US Embassy urges US citizens to depart Ukraine now using privately available ground transportation options if it is safe to do so,” the embassy said on its website on Tuesday.

“The Department of State has information that Russia is stepping up efforts to launch strikes against Ukraine’s civilian infrastructure…

Continue Reading


News Source: https://www.rt.com/russia/561351-am...tm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=RSS
 
👏👏👏👏👏👏👏👏
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
Mambo ya Defence na security ni mambo magumu sana kuyaelewa.
Hata Mimi nilikua najua hivyo,na Kuna sehemu niliandika kuwa inawezekana Urusi inajua sababu zaidi ya hizi tunazojua sisi juu ya kuipiga Ukraine.
Ukweli Uncle Sum aka Yankees walikua wanaiandaa Ukraine kuja kuipunguza nguvu Urusi,nadhani hapa majasusi wa Urusi waliusoma vizuri sana mchezo.
Pia niliwahi kuandika humu pia kuwa Ukraine ilikua ina nguvu Sana kijeshi na zana nyingi mno,maana Warusi walikua wanazi bomoa Kila siku,haziishi,kumbe mabeberu wamewekeza.
Safi sana Urusi.
Bila wewe saa hizi tungekua tunalazimishwa kuona wanaume kwa wanaume.
 
Hii sijaielewa⏩Bila wewe saa hizi tungekua tunalazimishwa kuona wanaume kwa wanaume⏪,naomba msaada!
 
Hata Mimi nimeisikia kwenye BBC...ukiona BBC wanatangaza ujue Hali ni mbaya....
 
Hajui kama Putin ana black belt
Humu vijana wengi sana wameingia kishabiki TU.
Putin ni jasusi by professional,
Ni Lt colonel katika Ujasusi,
Amejifunza martial arts kadhaa lkn ana black belt ya judo.
Anajua kutumia silaha ndogondogo za aina zote.
Aliishi ujerumani mashariki kwa miaka zaidi ya Nane,lkn Hadi Leo majasusi wa NATO wameshindwa kujua alikua anafanya mission Gani huko.
Alipotoka huko akaja kua Mkuu wa KGB kabla haikabadilishwa na kuwa FSB.
Hivi unafikiri mtu mwenye CV ya hivyo kweli ukampambanishe na ZELENSKY kweli!
Kwa wenzetu jasusi wa level ya Putin hasa kuifanyia Ujasusi wake nje ya nchi yake kumkuta hajui kupigana ni aghalabu sana.
 
  • Russia has carried out artillery and air raids in the Zaporizhia region, Ukraine’s General Staff said. Attacks near the nuclear power plant in the region have led to calls for the area to be demilitarised.
  • The US embassy in Kyiv has warned of Russian plans to intensify attacks on civilian and government infrastructure in the coming days.
SOURCE: Al Jazeera
 
Nikuulize tu ndugu yangu. Hivi katika vita ya Sasa inahitaji makuruta waingie vitani na wawe mstar wa mbele kabisa. Wanajeshi waliotraniwa ndan ya mwezi mmoja waingie vitan. Na hapo utegemee wakapambane kabisa. Si watakufa kama sisimizi.

Kwenye hiyo makala ya BBC Swahili Kuna ushahidi kua walichukuliwa wakafundishwa tu namna ya kutumia silaha wakaingia mzigon. Kilichowakuta walikufa wote..
 

Russia conducts artillery, air raids on Zaporizhia​

Ukraine said Russia fired artillery and conducted air attacks in several towns in the Zaporizhia region.
The two sides have traded blame over frequent shelling at the Zaporizhzhia nuclear plant, where Kyiv accuses Moscow of basing troops and storing military hardware.
Russia, which captured the nuclear power plant shortly after it launched the war on its neighbour on February 24, denies this and has accused Ukraine of targeting the nuclear plant with drones
 
Na nilichokugundua kwenye nchi za kidemicracy Zina uchungu sana na naisha ya raia wake. Ila kwa upande wa nchi za kiimla kama Russia. N Korea china raia wake hawana thamani hata wakifa wote sawa tu. Na kua kwao ni kawaida kabisa bila shida.

Ukitaka kujua hili Kuna siku kiduku alikua kwenye mkutano kiongozi mmoja akasinzia alikatwa kichwa. Ila kwa upande wa nchi kama USA Wala. Kuna picha inamuonesha Obama anapigwa na barafu na Kijana mmoja lakni kama anatoa kitambaa anajifuta.
 
Wewe bana hebu acha maneno Yako ya shobo.
Marekani ni Super power aisee.
Kwenye ukweli lazima tuseme ukweli na penye uongo tuseme kuwa hapa sio kweli.

Marekani ni Super power kwa Iraq,Libya na Panama.
Lkn Marekani sio Superpower kwa Somalia,watalaban na Iran.

Lakini Marekani huwezi kumlinganisha na Urusi,wa kumlinganisha na Urusi ni NATO.
Maana yake nchi 28 za ulaya ukiongeza na USA Hawa Sasa ndio wanaweza kujaribu kusimama na Mrusi,narudia Tena kujaribu.
Maana yake hapa ni kwamba Hali ikiwa mbaya itabidi TU waingie vitani na Urusi maana hamna namna Tena,yaani liwalo na liwe.
 
Tazama hiki kipigo muda mfupi uluopita ammunition depot taarifa zaidi inakuja

Huu ni udhalishaji wa wazi kwa super pawer wa mchongo, comedian itabidi achukuliwe hatua za kisheria [emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…