Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama live wanajeshi wa Russia walivyodondoshewa bomu wakiwa wamebeba mwenzao kwenye machela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh!! Hii kiboko,huyo jamaa aliyewekwa machera kaachwa peke yake njiani[emoji1787][emoji1787]
 
Hizo silaha tunaziongelea tuu mitandaon ,hicho Chuma kimefumuliwa ,je binadamu ikikupata utaonekana kweli?javelin siyo aisee
1661265521835.png
 
Bomu la mchongo Hilo,yaani linatua halafu haliui au kujeruhi hata mwanajeshi mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huoni huyo aliyewekwa kwenye machela alivyoachwa kwenye mataa,wajeda wa urusi wamekimbia mithiri ya chura usiku akitafuta shimo la kujificha baada ya kusikia kishindo,..,huyo majerui waliyemuacha hapo sidhani kama kapona,bila shaka drone ilirudi ikamlenga na kumalizana naye[emoji2][emoji2][emoji2]
 
C&P From Yerricko Nyerere fb page. Mwandishi wa kitabu cha Ujasusi.


Katika video ni Jenerali Alexander Dugin akitoa hotuba katika hafla ya kuaga mwili wa bintie Daria Dugina asubuhi ya 23/08/2022. Mwandishi wa Habari Daria Dugin, bintiye Jenerali Alexander Dugin aliuawa tarehe 21 August 2022. Gari lake lililipuliwa alipokuwa akiendesha Jiji Moscow. Moscow inaamini kuwa haya yalikuwa mauaji ya kupangwa. Aleksandr Gelyevich Dugin ni Mshauri wa kisiasa wa Kremlin na ni mwanafalsafa wa kisiasa wa Urusi aliyebobea, mchambuzi wa kijasusi, na mtaalamu wa mikakati, anayejulikana kwa maoni yake ya na msimamo wa ki Lenin. Alizaliwa katika familia ya kijeshi.

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni Bi Maria Zakharova alinukuliwa na Chaneli ya Shirika la Ujasusi la Urusi ya Intel Slavia Z, akisema kuwa, "Kamati ya Uchunguzi ya Shirikisho la Urusi kwa kuzingatia data zilizopokelewa, uchunguzi unaamini kwamba uhalifu ambao ulipelekea kifo cha Daria Dugina ulipangwa mapema.

Mwakilishi huyo rasmi wa Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi, Maria Zakharova, alisema kwamba matokeo ya uchunguzi wa awali yanathibitisha kuwa tukio hilo limetendwa na Ukraine katika mauaji ya Daria Dugina, akaongeza kuwa "uchunguzi umethibitishwa na watu wenye uwezo wa juu wa uchunguzi na kwamba hili ni tukio la kigaidi, "basi tunapaswa kuzungumza juu ya sera ya ugaidi wa serikali huko Kiev na tutalishughulikia kwa sheria zetu za kigaidi".

Kwaupande mwingine, Shirika la Ujasusi la Urusi la FSB Jumanne ya 23/8/2022, lilifanikiwa kupata vielelezo vya ushahidi wa mauaji ya mwandishi wa habari wa Urusi Daria Dugina. Uhalifu huo uliandaliwa na kufanywa na Idara ya huduma maalum ya kijasusu ya Kiukreni. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo la Ujasusi kupitia Chanel ya Intel Slavia Z. Inabainisha zaidi juu ya tukio hili.

Aliyehusika kutekelezakatika mauaji hayo ni raia wa Ukraine Vovk Natalya Pavlovna, aliyezaliwa mnamo 1979, ambaye alifika Urusi mnamo Julai 23, 2022. Ili kupanga mauaji ya Bi Dugina na kupata habari juu ya mtindo wake wa maisha, Idara ya Ujasusi Ukraine walikodisha nyumba huko Moscow katika nyumba ambayo marehemu aliishi.

Katika kufuatilia nyendo za mwandishi huyo wa habari ambaye ni mtoto wa Mshauri wa Kremlin Jenerali Alexander Dugina, wahalifu walitumia gari aina Mini Cooper, wakati wa kuingia Urusi walitumia nambari za DPR - E982XH DPR, huko Moscow - nambari za Kazakh - 172AJD02, na wakati wa kuondoka - nambari za Kiukreni - AH7771IP.

PRO-NATO SOMA KUANZIA HAPA[emoji1787][emoji1787]

Moscow imechukua hatua muhimu na kwamba tukio hili imelieleza kuwa ni la kigaidi na imeanza kulishughulikia kigaidi, Baada ya ripoti hiyo, Siku hiyohiyo ya 23/08/2022 Moscow imeendesha Oparesheni ya kuwasaka na kuwaua washirika wa misheni hiyo, hadi kufika majira ya jioni tayari ilifanikiwa kuwaua majasusi muhimu 8 akiwemo Mkuu wa idara ya Ujasusi ya Ukraine SBU katika eneo la Kirovograd, Luteni Kanali Alexander Nakonechny, Huyu ndie aliongoza misheni hiyo.

Taarifa kutoka Ukraine zinasema Luteni Kanali Alexander Nakonechny alijiua, kulingana na vyombo vya habari vya Ukraine, alilijipua kichwa chake kwakutumia silaha yake. Ukraine hawajasema nini kilipelekea kujilipua huko, hali inayofanya Habari za upande wa Moscow kuwa na nguvu zaidi kwamba hicho ni kifo cha kisasi cha mauaji ya Bi. Daria Dugina, Moscow inasherehesha habari ya kisasi kwa ushahidi wa picha, video na nyaraka.

Katika mwendelezo wa kampeni ya kujitanua zaidi eneo la Ukombozi, Tarehe 23/08/2022, Vikosi vya Urusi vilifika mpaka wa kiutawala wa mkoa wa Nikolaev, vitengo vya brigade ya 28 ya Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine katika mwelekeo wa Kherson-Nikolaev viliangamizwa kabisa na kuhitimishwa kwa Mkoa wa Nikolaev kukombolewa.

Wizara ya Ulinzi ya Shirikisho la Urusi imethibitsha ukombozi huo mpya.
 
Kama ndio hivyo,basi hao US wainge kumsaidia Ukraine kama alivyofanya Kosovo na kwingineko!
Nasisitiza,hao hao west ndio wamemrank Russia,sio sisi wanaJF!
Hivi Unajua ni kwanini mpaka Leo US ameshindwa kumwangusha Assad huko Syria?Ukijua Hilo basi utamuheshimu Russia!

Hahaha akikujibu ni-tag sio syria tu na kule Venezuela? Sio kama US anapenda sema ndo hana uwezo[emoji23][emoji23]
 
Hii ya leo tazama ammunition depot ilivyochakazwa live hii ni distribution center ya silaha na equipment za vita.Yani hawana defence kabisa kambi zinapigwa kizembe mno.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Kazi iendelee

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️As a result of an offensive in Kherson-Nikolaev direction near Aleksandrovka, the Allied Forces have eliminated units of 28th Mechanized Brigade of AFU and reached the administrative border of Nikolaev Region. 36 square kilometres of Kherson Region have been liberated.

▫️Komsomolskoye has been liberated, advancing 3 kilometres into the enemy defence in this direction. Territory of 12 square kilometres of Nikolaev Region has been liberated.

▫️In addition, 35th Marine Brigade and 46th Aeromobile Brigade of AFU suffered significant losses near Andreevka. The enemy is dislodged from Blagodatovka and neighbouring populated areas.

▫️The offensive in Donetsk direction is developing well.

▫️The liberation of Mar'inka, more than 75 per cent of which has already been liberated by Allied Forces, is nearing completion.

▫️Encirclement of AFU grouping near Avdeevka continues. 214th OPFOR Battalion - elite AFU unit is blockaded on three sides near Kodema and is being routinely destroyed.

▫️In Artemovsk area, as a result of successful Allied Forces offensive,

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces near Slavyansk and Konstantinovka in Donetsk People's Republic have hit the temporary deployment points of 81st Aeromobile and 95th Airborne Assault Brigades. Up to 200 nationalists and 18 pieces of military equipment have been destroyed.

💥2nd Mechanized Battalion of 66th Mechanized Brigade of AFU has lost its combat effectiveness as a result of heavy losses near Novomikhailovka. The unit's soldiers abandoned their positions and fled in an unknown direction.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️12 AFU command posts near Yakovlevka, Soledar, Podgornoye, Artemovsk, Kodema, Georgiyevka, Romanovka, Dobrovol'e, Vodyanoye and Pavlovka in Donetsk People's Republic, Dorozhnyanka and Kamenskoye in Zaporozhye Region, as well as 164 areas of AFU manpower and military equipment have been hit.

▫️7 missile and artillery ammunition depots near Bereznevatoye in Nikolaev Region, and Soledar in Donetsk People's Republic, as well as 4 fuel depots for military equipment near Kharkov and Chuguyiv in Kharkov Region, and Markovo and Podgornoye in Donetsk People's Republic have been destroyed.

▫️In addition, 1 Buk-M1 self-propelled anti-aircraft missile launcher near Gornyak in Donetsk People's Republic, 1 low-altitude target detection radar near Dymovskoye in Nikolaev Region, and 1 US-made counter-battery radar system near Rogan' in Kharkov Region have been also destroyed.

💥In course of counter-battery warfare, 3 Ukrainian platoons of Grad MLRS near Razdolovka and Opytnoye, 4 platoons of D-30 howitzers at firing positions near Petrovskoye, Krasnogorovka, Pervomaisk and Dzerzhinsk in Donetsk People's Republic, and 2 US M777 howitzers near Marganets in Dnepropetrovsk Region have been suppressed.

💥Russian air defence means have shot down 1 Su-27 aircraft near Barvenkovo in Kharkov Region and 6 unmanned aerial vehicles near Malye Prokhody, Kapitolovka, Kochubeyevka, Balakleya in Kharkov Region and Shyrokyi in Donetsk People's Republic.

▫️15 shells of Ukrainian multiple rocket launchers have been also intercepted near Vernopol'e in Kharkov Region, Antonovka, Dar'evka and Chornobayevka in Kherson Region.

📊 In total, 268 Ukrainian airplanes and 148 helicopters, 1,796 unmanned aerial vehicles, 369 anti-aircraft missile systems, 4,377 tanks and other armored combat vehicles, 818 multiple launch rocket systems, 3,335 field artillery and mortars, as well as 5,024 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Urusi imesema ndege vita zake mbili za kumwaga mabomu mazito (bomber) zimefanya doria kwenye bahari ya Japan na South Korea [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji16][emoji16][emoji16]
Aug 23 (Reuters) – Russia’s defence ministry said two Russian strategic bombers patrolled neutral waters over the Sea of Japan, Russian news agencies reported, while South Korea said they had entered its air defence identification zone on Tuesday.

The flight lasted about seven hours and the Russian planes were accompanied by South Korean F-16s at some stages of the route, Russian media cited the ministry as saying.

South Korea’s military said that Russian warplanes entered its air defence identification zone (ADIZ) and it had taken usual tactical measures in response. It did not elaborate.

Continue Reading


News Source: Russia says its bombers patrol over Sea of Japan - agencies
 
Russia anamiliki Zaporozhye NPP we both know what is next…
Hata leo UN walikuwa na kikao kujadili ishu ya hii Zaporozhye Nuclear Power Plant.

Katibu mkuu Antonio ameongea na kuomba Sana kwamba Russia wasifinye ku disconnect hii power plant supply kutoka Ukraine main grid.

Kwa hiyo, kinachojadiliwa hapa Ni "Humanitarian consequences" za kitakazowakuta Ukrainians wakati wa Winter, wakati ambao hawana Electricity heating.

Ninachoamini, huyu Katibu Mkuu wa UN, Ni lazima ataenda Tena Moscow, kuongea na Putin na kuhafikiana kuhusu ili janga la watu wa Ukraine kufa kwa baridi. Lazima tu ataenda kwa maana hiyo ndiyo kazi yake.
 
Ndege hatari za Wasoviet zinazotua na kuruka baharini za miaka ya 70 zimeonekana leo black sea [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220823-192642~2.jpg

Soviet navy Be-12s.

Soviet navy photo

A devastating Ukrainian strike on a Russian air base in occupied Crimea earlier this month destroyed potentially dozens of warplanes belonging to the Russian navy’s Black Sea Fleet.

But one old airplane apparently survived—a 1970s-vintage Beriev Be-12 seaplane. It’s either one of the Black Sea Fleet’s few remaining Be-12s, or a derelict former Ukrainian navy example.

Three of the twin-engine Berievs, none younger than 49 years, might still lumber around the Black Sea on patrol and rescue missions. Russian naval aviation…

Continue Reading


News Source: Incredibly, Russia’s 50-Year-Old Seaplanes Are Still Flying Around The Black Sea
 
Kelele za uwoga na zimesikika huko Korea Kusini baada ya Ndege za Kijeshi za Russia kuingia ndani ya mipaka ya Korea na Japan kimyakimya kufanya patrol ya kutambua target za kumwaga mabomu [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji16][emoji16][emoji16]
South Korea says it took unspecified “tactical action,” a term that usually refers to the scrambling of fighter jets to chase away foreign aircraft, after Russian warplanes entered its air buffer zone unannounced

SEOUL, South Korea — South Korea said Tuesday that Russian warplanes entered its air buffer zone unannounced, and that it responded with unspecified “tactical action,” a term that usually refers to the scrambling of fighter jets to chase away unauthorized foreign aircraft.

South Korea’s Joint Chiefs of Staff said in a statement that the move was aimed at preventing…

Continue Reading


News Source: South Korea says Russian aircraft entered air buffer zone
 
Back
Top Bottom