Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Kwenye Military planning... Kuna short & Long term Military planning. Vilevile Kuna resources calculations depend on circumstances.Nikuulize tu ndugu yangu. Hivi katika vita ya Sasa inahitaji makuruta waingie vitani na wawe mstar wa mbele kabisa. Wanajeshi waliotraniwa ndan ya mwezi mmoja waingie vitan. Na hapo utegemee wakapambane kabisa. Si watakufa kama sisimizi.
Kwenye hiyo makala ya BBC Swahili Kuna ushahidi kua walichukuliwa wakafundishwa tu namna ya kutumia silaha wakaingia mzigon. Kilichowakuta walikufa wote..
Tunapokuwa vitani, contingencies models zinakuwa nyingi Sana.
Sasa, kuna uwezekano kabisa, huku kuajiri Hawa Askari ni by contingent. Ni Kama vile NATO walivyo increase number of solders in Eastern flank.