Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Usiku wa leo ammunition depot imeshambuliwa huko Oblast Russia wanasingizia hot weather[emoji1787][emoji1787].Kipigo cha mbwa koko bado kinaendelea tutaelewana tu.

Screenshot_20220824-061019_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220824-061624_Samsung Internet.jpg
 
Tazama hii ammunition depot imeshambuliwa tena usiku huu huko Donetsk kazi ya Himars.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea source za kutosha hatuleti story za vijiweni ni matukio ya uhakika

Screenshot_20220824-062245_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20220824-062423_Samsung Internet.jpg
 
Galip Vrl vp?Naona umekuwa mzee wa kutoa likes tu,hutii neno kabisaaa!
😂 hapana mkuu em kwanza msikilize kwanza Afande Sele kidogo uianze siku yako kwa burudan kiduchu. Jamaa nilikua namchukulia poa kumbe ni Simba asiye mwoga inapokuja issue ya kuzungumza ukweli.



Hiki kideo kina'deserve masikio ya millions if not billions of people.
 
Kwamba "Qsiby" 😎😎😎.... Bro bn ha ha!

Huh binafs yangu nipo wala sijatoroka uzi labda kwa wengine. Kilichopo ni vile tu huwa sijadiliani na hao ambao text zao zimetamalaki kwa wingi hivi sasa hapa kwenye uzi huu of course hata mda huo pia sina.

Mfano kama hapo umejionea mtu kitu kidogo tu kama mamlaka ya malkia wa uingereza hayajui, utajadiliana nae nini wa namna hiyo kuhusu geopolitics? Ok kutokujua sio dhambi, but swali... Yuko tayari kujifunza?

Kitendo cha kumpiga chizi sio ushujaa bali unaonekana chizi pia hata kama ugonvi kauanzisha yeye kwasababu wote wanajua opponent wako hana akili timamu. Kwenda battle nae ni kujitoa utimamu vile vile.

The best someone can offers kwa asiejielewa ni ukimya kwa kukupuuza kwani huezi shindana na mjinga kufanya ujinga. NEVER ever, hapa tunaweza tumia hata century kubishana (yes kubishana coz sio majadiliano tena hayo) uhalali au uharam wa Russia kumchapa Ukraine as long as emotions zinahusika kufikiri na kufanya au kutoa maamuzi.

For that case watu tunaamua kua wasomaji tu au kuzungumza kidogo inapobidi.

Kwangu haipiti siku huwa nahudhuria hapa kusoma yaliyojiri kama yanayovyoletwa na wadau wetu wa nguvu to mention but few kama Sikirimimimasikini, green rajab Champagnee manning Nkuba25 Daemushin na wengineo.

That's why hujan-tag/mention ila text yako nimeiona kwenye msururu wa post nyinginezo.

Ila tupo pa1 bro!
😀😀😀
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani bado hamchoki kutupia video zenu izo za kuongeza views.kwenye uwanja wa vita URUSI 4- UKRAINE 0
Tazama hii ammunition depot imeshambuliwa tena usiku huu huko Donetsk kazi ya Himars.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea source za kutosha hatuleti story za vijiweni ni matukio ya uhakika

View attachment 2333097View attachment 2333098
 
Huyu Kijana wa CHADEMA ni debe tupu panapo uelewa wa siasa za Kimataifa/Geopolitics, pia ni jasusi uchwara aliyeandika kitabu kwa kuokoteza story nyingi za kutunga/fictions za mitandaoni.
Apuuzwe.
C&P From Yerricko Nyerere fb page. Mwandishi wa kitabu cha Ujasusi.


Katika video ni Jenerali Alexander Dugin akitoa hotuba katika hafla ya kuaga mwili wa bintie Daria Dugina asubuhi ya 23/08/2022. Mwandishi wa Habari Daria Dugin, bintiye Jenerali Alexander Dugin aliuawa tarehe 21 August 2022. Gari lake lililipuliwa alipokuwa akiendesha Jiji Moscow. Moscow inaamini kuwa haya yalikuwa mauaji ya kupangwa. Aleksandr Gelyevich Dugin ni Mshauri wa kisiasa wa Kremlin na ni mwanafalsafa wa kisiasa wa Urusi aliyebobea, mchambuzi wa kijasusi, na mtaalamu wa mikakati, anayejulikana kwa maoni yake ya na msimamo wa ki Lenin. Alizaliwa katika familia ya kijeshi.

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni Bi Maria Zakharova alinukuliwa na Chaneli ya Shirika la Ujasusi la Urusi ya Intel Slavia Z, akisema kuwa, "Kamati ya Uchunguzi ya Shirikisho la Urusi kwa kuzingatia data zilizopokelewa, uchunguzi unaamini kwamba uhalifu ambao ulipelekea kifo cha Daria Dugina ulipangwa mapema.

Mwakilishi huyo rasmi wa Wizara ya Mambo ya nje ya Urusi, Maria Zakharova, alisema kwamba matokeo ya uchunguzi wa awali yanathibitisha kuwa tukio hilo limetendwa na Ukraine katika mauaji ya Daria Dugina, akaongeza kuwa "uchunguzi umethibitishwa na watu wenye uwezo wa juu wa uchunguzi na kwamba hili ni tukio la kigaidi, "basi tunapaswa kuzungumza juu ya sera ya ugaidi wa serikali huko Kiev na tutalishughulikia kwa sheria zetu za kigaidi".

Kwaupande mwingine, Shirika la Ujasusi la Urusi la FSB Jumanne ya 23/8/2022, lilifanikiwa kupata vielelezo vya ushahidi wa mauaji ya mwandishi wa habari wa Urusi Daria Dugina. Uhalifu huo uliandaliwa na kufanywa na Idara ya huduma maalum ya kijasusu ya Kiukreni. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo la Ujasusi kupitia Chanel ya Intel Slavia Z. Inabainisha zaidi juu ya tukio hili.

Aliyehusika kutekelezakatika mauaji hayo ni raia wa Ukraine Vovk Natalya Pavlovna, aliyezaliwa mnamo 1979, ambaye alifika Urusi mnamo Julai 23, 2022. Ili kupanga mauaji ya Bi Dugina na kupata habari juu ya mtindo wake wa maisha, Idara ya Ujasusi Ukraine walikodisha nyumba huko Moscow katika nyumba ambayo marehemu aliishi.

Katika kufuatilia nyendo za mwandishi huyo wa habari ambaye ni mtoto wa Mshauri wa Kremlin Jenerali Alexander Dugina, wahalifu walitumia gari aina Mini Cooper, wakati wa kuingia Urusi walitumia nambari za DPR - E982XH DPR, huko Moscow - nambari za Kazakh - 172AJD02, na wakati wa kuondoka - nambari za Kiukreni - AH7771IP.

PRO-NATO SOMA KUANZIA HAPA[emoji1787][emoji1787]

Moscow imechukua hatua muhimu na kwamba tukio hili imelieleza kuwa ni la kigaidi na imeanza kulishughulikia kigaidi, Baada ya ripoti hiyo, Siku hiyohiyo ya 23/08/2022 Moscow imeendesha Oparesheni ya kuwasaka na kuwaua washirika wa misheni hiyo, hadi kufika majira ya jioni tayari ilifanikiwa kuwaua majasusi muhimu 8 akiwemo Mkuu wa idara ya Ujasusi ya Ukraine SBU katika eneo la Kirovograd, Luteni Kanali Alexander Nakonechny, Huyu ndie aliongoza misheni hiyo.

Taarifa kutoka Ukraine zinasema Luteni Kanali Alexander Nakonechny alijiua, kulingana na vyombo vya habari vya Ukraine, alilijipua kichwa chake kwakutumia silaha yake. Ukraine hawajasema nini kilipelekea kujilipua huko, hali inayofanya Habari za upande wa Moscow kuwa na nguvu zaidi kwamba hicho ni kifo cha kisasi cha mauaji ya Bi. Daria Dugina, Moscow inasherehesha habari ya kisasi kwa ushahidi wa picha, video na nyaraka.

Katika mwendelezo wa kampeni ya kujitanua zaidi eneo la Ukombozi, Tarehe 23/08/2022, Vikosi vya Urusi vilifika mpaka wa kiutawala wa mkoa wa Nikolaev, vitengo vya brigade ya 28 ya Kikosi cha Wanajeshi wa Ukraine katika mwelekeo wa Kherson-Nikolaev viliangamizwa kabisa na kuhitimishwa kwa Mkoa wa Nikolaev kukombolewa.

Wizara ya Ulinzi ya Shirikisho la Urusi imethibitsha ukombozi huo mpya.
 
Hakuna maarifa zaidi ya conspiracy utazipata huko, hakuna mambo yoyote yaliyojificha gizani. Porojo zote za conspiracy ambazo huwa wanakuletea hapa zipo zimezagaa huko mtandaoni, kama na wewe unazihitaji jifunze lugha ya Malkia hata kwa kuunga unga.

Maarifa yapo kwenye vitabu vilivyoandikiwa na waandishi nguli kwenye field zao, yatafute huko.
Jasmon,tsh,qsiby,mathauza,morogoro. Umelikimbia jukwaa tupo wengi tnawahitaj tunajfunza vingi kupitia ninyi yaleteni maarifayenu tupat kujifunza yaliojficha gizan
n.b darasa lazima liwe na vilaza pro nato bnafsi nmewaweka ktk kundi hli kwa saabu ya ubishi
na kutokutaka maarifa
 
Tazama kifaru kilivyopigwa na Javelin mojawapo ya silaha iliyomkimbiza mrusi Kyiv kifaru kimewaka moto operator kashuka ngoma ikalipuka wanatia huruma sana.

 
CRIMEA lazima irudi dadadeq....... Putin kayakanyaga !!

Ukraine’s President Volodymyr Zelenskyy, in an address to the Crimea Platform summit, has promised to do all he can to win back the Crimean peninsula, annexed by Russia eight years ago, and urged international allies to support the effort.
 
Usiku wa leo ammunition depot imeshambuliwa huko Oblast Russia wanasingizia hot weather[emoji1787][emoji1787].Kipigo cha mbwa koko bado kinaendelea tutaelewana tu.

View attachment 2333094View attachment 2333095
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tazama hii ammunition depot imeshambuliwa tena usiku huu huko Donetsk kazi ya Himars.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea source za kutosha hatuleti story za vijiweni ni matukio ya uhakika

View attachment 2333097View attachment 2333098
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji106][emoji106][emoji1255][emoji1255][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tazama kifaru kilivyopigwa na Javelin mojawapo ya silaha iliyomkimbiza mrusi Kyiv kifaru kimewaka moto operator kashuka ngoma ikalipuka wanatia huruma sana.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 

Russia: ‘No mercy’ for Dugina killers​

Russia’s Foreign Minister Sergei Lavrov vows “no mercy” for the killers of Daria Dugina, the daughter of an ultranationalist intellectual, as hundreds gather for her funeral following her death in a car bomb blast over the weekend.
Moscow says Ukrainian intelligence is behind the attack, a claim dismissed by Kyiv.
Alexander Dugin, a vocal supporter of the Kremlin’s military campaign who has claimed to be close to Russian President Vladimir Putin, may have been the intended target of the attack that killed his 29-year-old daughter.
Yale Yale ya ""judgement day ""[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom