Hizo Brahmos ziko kwenye matengenezo wa ushirika wa Russia na India..Muhindi lini akatengeneza silaha ndugu yangu?? muhindi zake ni biashara za kimagumashi.... 😀 😀 😀 yaani sawa na mchina tu, Putin hawajawajua hawa watu wa Asia...
Na Wala sio makombora ya MLRS Kama HIMARS.