Tazama kifaru kilivyopigwa na Javelin mojawapo ya silaha iliyomkimbiza mrusi Kyiv kifaru kimewaka moto operator kashuka ngoma ikalipuka wanatia huruma sana.
warusi wa Dar watakwambia umeitengeneza hii.....
Tazama kifaru kilivyopigwa na Javelin mojawapo ya silaha iliyomkimbiza mrusi Kyiv kifaru kimewaka moto operator kashuka ngoma ikalipuka wanatia huruma sana.
Huyo mwamba tangu op ianze michango yake imekua kipusa jamvinpolitical monger senior ,MALCOM LUMUMBA ongezea hapo[emoji1787]
Ahaaa,nimekupata,ulikuwa na maana ya kuoana!👏👏👏👏👏👏👏👏
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
Mambo ya Defence na security ni mambo magumu sana kuyaelewa.
Hata Mimi nilikua najua hivyo,na Kuna sehemu niliandika kuwa inawezekana Urusi inajua sababu zaidi ya hizi tunazojua sisi juu ya kuipiga Ukraine.
Ukweli Uncle Sum aka Yankees walikua wanaiandaa Ukraine kuja kuipunguza nguvu Urusi,nadhani hapa majasusi wa Urusi waliusoma vizuri sana mchezo.
Pia niliwahi kuandika humu pia kuwa Ukraine ilikua ina nguvu Sana kijeshi na zana nyingi mno,maana Warusi walikua wanazi bomoa Kila siku,haziishi,kumbe mabeberu wamewekeza.
Safi sana Urusi.
Bila wewe saa hizi tungekua tunalazimishwa kuona wanaume kwa wanaume.
Ni mwendo wa kichapo Cha mbwa Koko tu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tazama hii ammunition depot imeshambuliwa tena usiku huu huko Donetsk kazi ya Himars.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea source za kutosha hatuleti story za vijiweni ni matukio ya uhakika
View attachment 2333097View attachment 2333098
Sisi kazi yetu na kulipua ammunition depot na zile sehemu za kimkamkati,au sio[emoji41][emoji41][emoji41]Tu22M , Tu 95 zote Jana zilkuwa zinafanya kazi kuanzia saa 00.00 View attachment 2333143View attachment 2333144
Sisi kazi yetu na kulipua ammunition depot na zile sehemu za kimkamkati,au sio[emoji41][emoji41][emoji41]
Urusi kusonga mbele Wala isikupe tabu comred,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama zinaripuliwa na bado tunaendelea kusonga mbele uwoni kuwa unalishwa matango pori.walisema majeshi ya URUSI yamekimbia KHERSON ila cha ajabu sasa ivi yapo MYKOLAYIV.
Jiongezeni URUSI sio ZIMBAMBWE
Kwahiyo hapo mkuu ndio umemaliza wala huna support evidence [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tu22,Tu95 zote lilikuwa zinakunya mabomu jana usiku almost all over the Ukraine was under air raid
Putin ni Mjinga sana, alifikiri ataipiga Ukraine kwa masaaa tu na ndiyo maana hakuita vita bali aliita eti operation...... sasa na CRIMEA inaondoka - ajue hii vita anapambana na Dunia.... atawaacha warusi wenzake maskini mno kwa karne nyingi zijazo.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kwahiyo hakuna chombo chochote kilichitangaza habari yako hata cha warusi wenyewe umeamua kuokota picha na kuleta huku [emoji28][emoji28][emoji28]Tu22M , Tu 95 zote Jana zilkuwa zinafanya kazi kuanzia saa 00.00 View attachment 2333143View attachment 2333144
achana nao hao kaka, Putin hawezi kupigana vita hii zaidi ya miezi 6 mingine ijayo, nchi yake itakufa kiuchumi.... sasa hivi na CRIMEA wanaitaka.......ha ha ha ha KAYAKANYAGA MABICHIIII 😀 😀 watoto wa mjini wanasema ya LEO LEO.Urusi kusonga mbele Wala isikupe tabu comred,,
Kuna bajeti ya miaka 5 tayari imetengwa kwa ajili ya hii vita
Uliitegemea urusi wangekimbia Kyiv?
Uliitegemea urusi wangekimbia snake island?
Uliitegemea urusi wangekimbia khakivu?
Uliitegemea urusi wangeondoa meli zao huko crimea??
Tulieni dawa iwaingie vyema pro-Russia [emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]
Super pawer wa mchongo anahenyeshwa tu
Dunia nzima IPO inamshangaa jinsi anavyopelekewa moto na kataifa kadogo [emoji2][emoji2]
Russia anasonga mbele ninyi mnapiga kifaru KIMOJA mnafanya shereheachana nao hao kaka, Putin hawezi kupigana vita hii zaidi ya miezi 6 mingine ijayo, nchi yake itakufa kiuchumi.... sasa hivi na CRIMEA wanaitaka.......ha ha ha ha KAYAKANYAGA MABICHIIII 😀 😀
Kweli mkuu Hawa watu wakipiga kifaru kimoja, ammunition depot..,air base..,command post.., vituo vya rada ..,wanashabikia kweli kama hawana akili vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia anasonga mbele ninyi mnapiga kifaru KIMOJA mnafanya sherehe
Jamaa wanaokoteza habari yoyote wanayoiona machoni Ili kupoza machungu ya kipigo aisee [emoji1787][emoji12]Kwahiyo hapo mkuu ndio umemaliza wala huna support evidence [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu twasherehekea uhuru wetu, wewe waongelea mabomu...Tu22,Tu95 zote lilikuwa zinakunya mabomu jana usiku almost all over the Ukraine was under air raid
Hili ndo taifa lililoaminiwa kuwa air defense system Bora kabisa dunian [emoji2][emoji2][emoji2]Tazama hii ammunition depot imeshambuliwa tena usiku huu huko Donetsk kazi ya Himars.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea source za kutosha hatuleti story za vijiweni ni matukio ya uhakika
View attachment 2333097View attachment 2333098
Zelensky inaonekana anatapatapa coz anaongea Sana warusi wanazidi kuingia ndani zaidi.. say hizi nikolaev na mykolaiv zinakwenda na maji..CRIMEA lazima irudi dadadeq....... Putin kayakanyaga !!
Ukraine’s President Volodymyr Zelenskyy, in an address to the Crimea Platform summit, has promised to do all he can to win back the Crimean peninsula, annexed by Russia eight years ago, and urged international allies to support the effort.