Kwamba "Qsiby" 😎😎😎.... Bro bn ha ha!
Huh binafs yangu nipo wala sijatoroka uzi labda kwa wengine. Kilichopo ni vile tu huwa sijadiliani na hao ambao text zao zimetamalaki kwa wingi hivi sasa hapa kwenye uzi huu of course hata mda huo pia sina.
Mfano kama hapo umejionea mtu kitu kidogo tu kama mamlaka ya malkia wa uingereza hayajui, utajadiliana nae nini wa namna hiyo kuhusu geopolitics? Ok kutokujua sio dhambi, but swali... Yuko tayari kujifunza?
Kitendo cha kumpiga chizi sio ushujaa bali unaonekana chizi pia hata kama ugonvi kauanzisha yeye kwasababu wote wanajua opponent wako hana akili timamu. Kwenda battle nae ni kujitoa utimamu vile vile.
The best someone can offers kwa asiejielewa ni ukimya kwa kukupuuza kwani huezi shindana na mjinga kufanya ujinga. NEVER ever, hapa tunaweza tumia hata century kubishana (yes kubishana coz sio majadiliano tena hayo) uhalali au uharam wa Russia kumchapa Ukraine as long as emotions zinahusika kufikiri na kufanya au kutoa maamuzi.
For that case watu tunaamua kua wasomaji tu au kuzungumza kidogo inapobidi.
Kwangu haipiti siku huwa nahudhuria hapa kusoma yaliyojiri kama yanayovyoletwa na wadau wetu wa nguvu to mention but few kama
Sikirimimimasikini,
green rajab Champagnee manning Nkuba25 Daemushin na wengineo.
That's why hujan-tag/mention ila text yako nimeiona kwenye msururu wa post nyinginezo.
Ila tupo pa1 bro!