Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama zinaripuliwa na bado tunaendelea kusonga mbele uwoni kuwa unalishwa matango pori.walisema majeshi ya URUSI yamekimbia KHERSON ila cha ajabu sasa ivi yapo MYKOLAYIV.

Jiongezeni URUSI sio ZIMBAMBWE
Wanatumia fomeshen ya kufungwa twafungwa lkn chenga twawala[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin wiki sasa na ushee anahangaika na vi- Drones kule CRIMEA inamtoa mshipa !! šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€

Vinapenya bila kuwa detected na mifumo yake ya kiulinzi na vinatwanga vibaya mno !!
Kwa sababu vidrone sio silaha
 
[emoji1787][emoji1787]URUSI AKITOKA KWENYE IYO MIKOA NJOO UNIKATE KICHWA.IZO ARDHI NDK ZISHAONDOKA NA ZELENSK ASIPOKUBALI MATAKWA YA MRUSI LAMANI ITAZIDI KUPANUKA.
Urusi kusonga mbele Wala isikupe tabu comred,,
Kuna bajeti ya miaka 5 tayari imetengwa kwa ajili ya hii vita

Uliitegemea urusi wangekimbia Kyiv?

Uliitegemea urusi wangekimbia snake island?

Uliitegemea urusi wangekimbia khakivu?

Uliitegemea urusi wangeondoa meli zao huko crimea??
Tulieni dawa iwaingie vyema pro-Russia [emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]

Super pawer wa mchongo anahenyeshwa tu

Dunia nzima IPO inamshangaa jinsi anavyopelekewa moto na kataifa kadogo [emoji2][emoji2]
 
CRIMEA ITAONDOKA LABDQ NDOTONI.DOMBASS TU MMESHINDWA KUILINDA,LEO HII MJE KUCHUKUA CRIMEA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin ni Mjinga sana, alifikiri ataipiga Ukraine kwa masaaa tu na ndiyo maana hakuita vita bali aliita eti operation...... sasa na CRIMEA inaondoka - ajue hii vita anapambana na Dunia.... atawaacha warusi wenzake maskini mno kwa karne nyingi zijazo.

Huwezi kupambana na Mataifa ya Magharibi, US na Canada ukabakia salama wewe.... utakufwaaa vibaya weweeee !!
 
MANENO YANGEKUWA TANAJENGA,SISI WOTE HUMU TUNGEKUWA NA MAGHOROFA
Putin ni Mjinga sana, alifikiri ataipiga Ukraine kwa masaaa tu na ndiyo maana hakuita vita bali aliita eti operation...... sasa na CRIMEA inaondoka - ajue hii vita anapambana na Dunia.... atawaacha warusi wenzake maskini mno kwa karne nyingi zijazo.

Huwezi kupambana na Mataifa ya Magharibi, US na Canada ukabakia salama wewe.... utakufwaaa vibaya weweeee !!
 
[emoji1787][emoji1787]URUSI AKITOKA KWENYE IYO MIKOA NJOO UNIKATE KICHWA.IZO ARDHI NDK ZISHAONDOKA NA ZELENSK ASIPOKUBALI MATAKWA YA MRUSI LAMANI ITAZIDI KUPANUKA.
Operesheni ya kuondoa utawala wa wanazi imegeuka malengo yake sio?. , Ngoja zelensiky aendelee kuwapigisha danadana tu hakuna namna [emoji2][emoji2]
 
Acha upumbavu wewe.iyo Aircraft carrier ina cost bei gani mpaka WARUSI washindwe kutengeneza.Aircraft carrier ni uwanja wa ndege wa baharini,wala hakuna tena kazi nyingine tofauti na iyo.ni uwanja kama viwanja vingine vya ndege.iyo sio Silaha
Mnaosema aircraft carriers ni ujinga ndio maana Russia hazijengi. Nawajulisha kuwa Russia mwaka huu alikuwa na concept models tatu za carriers kwenye maonyesho ya Army20222. Kabla ya hapo ana model nyingine aliwahi zitoa. Lengo lipo ila bajeti na teknolojia hamnaView attachment 2333194
 
Warusi wa Bongo mnaosema hela haipigani vita - haya sasa !! malizeni vita.

Germany pledges 500m euros more in military aid to Ukraine

Germany will supply Ukraine with a further 500 million euros ($500m) in military aid, most of it earmarked for delivery next year, a government spokesman has said.
The equipment will include three IRIS-T anti-aircraft systems, ā€œaround a dozen armed recovery vehicles, 20 rocket-launchers mounted on pick-ups … precision munition and anti-drone equipment,ā€ the spokesman told AFP news agency.

1661329320131.png
 
Back
Top Bottom