Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani ya himiza raia wake wa ondoke haraka kabla hawajapakatwa na Russia[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635 ]
Screenshot_20220824-114154.jpg

Washington — The U.S. State Department on Monday issued a security alert warning that Russia is stepping up efforts to launch strikes against Ukraine’s civilian infrastructure and government facilities in the coming days and urging U.S. citizens still in Ukraine to depart the country immediately.

“The U.S. Embassy urges U.S. citizens to depart Ukraine now using privately available ground transportation options if it is safe to do so,” the alert said.

“If you hear a loud explosion or if sirens are activated, immediately seek cover,” the State Department said in its alert. “If in a…

Continue Reading

News Source: U.S. Embassy in Ukraine urges Americans who can to flee the country immediately
 
Maeneo yenyewe Sasa,utasikia wanatangaza Kijiji flani..,mara wameteka makazi..wakati wenzao wanalipua maghala ya silaha, wanalipua radar.., wanalipua air base..nk,nk,huyu akiteka Kijiji tu ni kelele nyingi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
Kherson nzima SASA hivi tunaelekea Odessa.mlisema warusi wamekimbia Kherson, Kherson ipi hiyo?
 
Ngoja winter ianze ndio mtamjua mrusi vizuri
Warusi wa Bongo mnaosema hela haipigani vita - haya sasa !! malizeni vita.

Germany pledges 500m euros more in military aid to Ukraine

Germany will supply Ukraine with a further 500 million euros ($500m) in military aid, most of it earmarked for delivery next year, a government spokesman has said.
The equipment will include three IRIS-T anti-aircraft systems, “around a dozen armed recovery vehicles, 20 rocket-launchers mounted on pick-ups … precision munition and anti-drone equipment,” the spokesman told AFP news agency.

View attachment 2333299
 
Hamjaona warnings zimeshaanza kutolewa na watu wa West kuwa Kyiv hali inaweza kubadilika!US wamewaambia Raia wao waondoke!
Zele amezuiwa mikusanyiko na kutaka watu wabaki ndani!Wanajua what awaits them!
Hizo warning zinatolewa baada ya kudedishwa Kwa huyo Binti wa mshirika wa Putin,
Alafu urusi bila aibu eti anamlalamikia Ukraine kuwa ndiye muhusika wa hilo tukio

Ina maana hapa urusi wanakiri hadharani kuwa intelligence ya Ukraine imewazidi ujanja[emoji2][emoji2]
Ukweli ni kwamba kipigo kimewachanganya Hawa jamaa [emoji1787][emoji1787]
 
Kherson nzima SASA hivi tunaelekea Odessa.mlisema warusi wamekimbia Kherson, Kherson ipi hiyo?
Hebu weka kumbukumbu sawa kwanza.., hiyo Odessa ni muda gani tangu imeanza kushambuliwa na urusi
Bado mlikuwa hamjaiteka tu[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo warning zinatolewa baada ya kudedishwa Kwa huyo Binti wa mshirika wa Putin,
Alafu urusi bila aibu eti anamlalamikia Ukraine kuwa ndiye muhusika wa hilo tukio

Ina maana hapa urusi wanakiri hadharani kuwa intelligence ya Ukraine imewazidi ujanja[emoji2][emoji2]
Ukweli ni kwamba kipigo kimewachanganya Hawa jamaa [emoji1787][emoji1787]
We akili Yako Ina walakini,hili tulirudie mara ngapi?Osama aliua wamarekani zaidi ya 2000 Kwa siku Moja!Unashangaa Nini Kwa mtu kutoka Ukraine kwenda Urusi na kumuua mwananchi wa kawaida anayeishi maisha ya kawaida?Aisee kwenye hili Wala hata siwezi kupoteza muda kukujibu Tena!
 
Tukubaliane tu inlijensia ya urusi imeziwa na Ukraine,acha kuhamisha magori [emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Simple...mwambie babako amalize vita !! tatizo lipo wapi wakati yeye ni supa pawa !!

Warusi wenzako wanasema ati anavuta vuta asionekane rooo mbaya !! 😀 😀
Waukrein wanashinda hii vita 😂😂😂
A supposedly “leaked document” has appeared on the internet which claims to show an internal report from the Ukrainian side which speaks of the losses for the armed forces of Ukraine.

At the beginning of July, the armed forces include:

dead - 76640
wounded - 42704;
prisoners - 7244;
missing - 2816; non-combat losses - 1610.

Total - 131014 people.

Losses in other law enforcement agencies (SBU, NGU, GPSU, etc.) are not included in these numbers.

This is obviously unconfirmed and can easily be disinformation, but it is what’s circulating at the moment.

t.me/asbmil
 
Putin ni wa kusubiri winter kweli ???
Sasa hivi matumaini pekee waliyobaki nayo Ili kukamilisha hii wanayoita special epereshen ni msimu wa winter [emoji2][emoji2]

Husishangae mkuu hiyo ndo urusi tuliaminishwa ni super pawer [emoji41][emoji41]
 
Bulgaria yaipigia magoti Urusi iwaunganishe tena kwenye mgao wa gesi ili kuokoa maisha ya raia kipindi cha winter pia kuokoa viwanda vya Bulgaria. Waziri wa nishati wa mpito ailaumu serikali iliyovunjika ya waziri mkuu Kiril Petkov kuharibu mahusiano ya Bulgaria na Urusi kwa sababu tu ya Ukraine!

SmartSelect_20220824-114822_Chrome.jpg

SmartSelect_20220824-114951_Chrome.jpg
Screenshot_20220824-115103_Chrome.jpg
 
Warusi wa Bongo mnaosema hela haipigani vita - haya sasa !! malizeni vita.

Germany pledges 500m euros more in military aid to Ukraine

Germany will supply Ukraine with a further 500 million euros ($500m) in military aid, most of it earmarked for delivery next year, a government spokesman has said.
The equipment will include three IRIS-T anti-aircraft systems, “around a dozen armed recovery vehicles, 20 rocket-launchers mounted on pick-ups … precision munition and anti-drone equipment,” the spokesman told AFP news agency.

View attachment 2333299
Misaada mingine ni geresha na ku symphyize uongo tu, watu wanaliwa vichwa 100 mpaka 200 kila siku hiyo nxt year mitambo itatumiwa na ma ghost au? Kwa nin wasipeleke leo na waingie vitan ili wamwokoe mwenzao chap
 
Kwenye Hilo Wala sipotezi muda na wewe!
Kweli kabisa mkuu,Haina haja kupoteza mda kumtetea super pawer aliyeziwa mbinu na ukraine,
Yahani jasusi wa ukraine anaingia kwenye mipaka ya Russia Tena karibu na Moscow na kufanya mauaji [emoji2][emoji2]
Hii ni aibu kubwa kwa super pawer wa mchongo
 
Misaada mingine ni geresha na ku symphyize uongo tu, watu wanaliwa vichwa 100 mpaka 200 kila siku hiyo nxt year mitambo itatumiwa na ma ghost au? Kwa nin wasipeleke leo na waingie vitan ili wamwokoe mwenzao chap
Tulieni dawa iwaingie vyema pro-Russia [emoji1787][emoji12].., si mlisema hii ni special epereshen

Sasa tumetenga bajeti ya miaka 5 kwa hiyo special epereshen..,huu mchezo hauitaji hasira [emoji12][emoji12]
 
Kweli kabisa mkuu,Haina haja kupoteza mda kumtetea super pawer aliyeziwa mbinu na ukraine,
Yahani jasusi wa ukraine anaingia kwenye mipaka ya Russia Tena karibu na Moscow na kufanya mauaji [emoji2][emoji2]
Hii ni aibu kubwa kwa super pawer wa mchongo
Nilishasema Wala siwezi kupoteza muda na wewe kwenye Hilo!
 
Misaada mingine ni geresha na ku symphyize uongo tu, watu wanaliwa vichwa 100 mpaka 200 kila siku hiyo nxt year mitambo itatumiwa na ma ghost au? Kwa nin wasipeleke leo na waingie vitan ili wamwokoe mwenzao chap
kama geresha kwa nini Putin asimalize vita sheikh? Ukraine ni wa kupigana na Mrusi kwa miezi 6 kweli ? Warusi wenzako wa Dar wanasema anavuta vuta muda ili asionekane ni Madonga aka mtu kazi... je ya kweli hayo ?
 
Back
Top Bottom