kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Kumaliza tutamaliza lakini sio kwa namna unayotaka acha tuoneshane makali kwanzamwambie babako amalize vita !!
Kumaliza tutamaliza lakini sio kwa namna unayotaka acha tuoneshane makali kwanzamwambie babako amalize vita !!
Kwakweli huku tunabishana na vichwa maji[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] vitu vinaandikwa vingine we unajibu vingine uwe unasoma kabla ya kunyanyua vidole ku type ujingakama geresha kwa nini Putin asimalize vita sheikh? Ukraine ni wa kupigana na Mrusi kwa miezi 6 kweli ? Warusi wenzako wa Dar wanasema anavuta vuta muda ili asionekane ni Madonga aka mtu kazi... je ya kweli hayo ?
[emoji2][emoji2][emoji2]Leo twasherehekea Uhuru....
Kuna mtu kavimba huko
Na mfano mzuri wa hao watu ni weweKwakweli huku tunabishana na vichwa maji[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] vitu vinaandikwa vingine we unajibu vingine uwe unasoma kabla ya kunyanyua vidole ku type ujinga
Hahahah ni wakongoman hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ushahidi kuwa hao ni warusi uko wapi?Mtaliwa sana mb kutafuta video za michongo!
Ningeanza kupost Mimi na nikasema tazama wa Ukraine wakiwa hoi!
Mrusi alijiandaa karibu mwaka mzima na kutaba operation itachukua siku 30 tu kuimaliza Ukraine.Leo ni miezi sita wanajivunia kuua raia na askari kweli kweli .Zelensky na serikali yake inapeta tu.kama geresha kwa nini Putin asimalize vita sheikh? Ukraine ni wa kupigana na Mrusi kwa miezi 6 kweli ? Warusi wenzako wa Dar wanasema anavuta vuta muda ili asionekane ni Madonga aka mtu kazi... je ya kweli hayo ?
Ndio hoja hizo na kuita watu wapumbavu kisa mtu hakubaliani na maandishi yako/yenu.
Andikani kwa maandishi ya kirusi ili kukuza lugha yenu pendwa
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Wewe hujui Vita unashambulia ili kupunguza nguvu then vikosi vya nchi Kavu ndo wanakujaHebu weka kumbukumbu sawa kwanza.., hiyo Odessa ni muda gani tangu imeanza kushambuliwa na urusi
Bado mlikuwa hamjaiteka tu[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
Mwisho wa mwezi huu mjomba 😂Kp kipanya. Vunjo. Fuso na pro nato wengne naomba MTUME SALAMU KWA WATU WATATU
mana kazi mnaifanya vizuri
😂😂😂Kwakweli huku tunabishana na vichwa maji[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] vitu vinaandikwa vingine we unajibu vingine uwe unasoma kabla ya kunyanyua vidole ku type ujinga
Hizo mnazoleta nyinyi hamwongezi view?mbona pilipili usioila inakuwasha sana?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hiyo Odessa ilianza kushambuliwa tangu February.., lakini mpaka Leo hii urusi hajaiteka,[emoji2][emoji2]Wewe hujui Vita unashambulia ili kupunguza nguvu then vikosi vya nchi Kavu ndo wanakuja
Fashisti dikiteta alikurupuka aisee [emoji848][emoji848]Russia anapumulia machine hii vita haiwezi akubali yaishe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2333424View attachment 2333425
Hiyo Odessa ilianza kushambuliwa tangu February.., lakini mpaka Leo hii urusi hajaiteka,[emoji2][emoji2]
Huyu Scott Ritter sio mtu Mzuri kabisa ,anawavua nguo kila siku Hawa NATO.Wasikilize mabosi wako wanavozungumzia kipigo kitakatifu kwa NATO .
🇷🇺🇺🇦 "Moscow has successfully demilitarized NATO" - Scott Ritter.
Former American intelligence officer Scott Ritter said that the North Atlantic Alliance, trying to provide military assistance to Ukraine, significantly weakened itself, and that now it will not be able to quickly restore its defense capability.
"Russia destroyed the arsenal of Ukraine, which was at the disposal of the second army of Europe even before the start of NATO deliveries, and then destroyed everything that the alliance transferred to Kiev, thereby completely destroying its supplies," he said.
🔺 According to Ritter, NATO support did not help the Ukrainian army - it is still in a depressed state, while Western weapons were simply destroyed.
🔺 Ritter also noted that some alliance countries have completely stopped deliveries, as they ran out of supplies that could be sent to the Ukrainian military.
🔺 He also reminded that the bloc cannot quickly regain its former level of defense capability due to a weak industrial base that requires serious modernization.
Pole sana...nakuelewa.Hakuna maarifa zaidi ya conspiracy utazipata huko, hakuna mambo yoyote yaliyojificha gizani. Porojo zote za conspiracy ambazo huwa wanakuletea hapa zipo zimezagaa huko mtandaoni, kama na wewe unazihitaji jifunze lugha ya Malkia hata kwa kuunga unga.
Maarifa yapo kwenye vitabu vilivyoandikiwa na waandishi nguli kwenye field zao, yatafute huko.