Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mrusi alijiandaa karibu mwaka mzima na kutaba operation itachukua siku 30 tu kuimaliza Ukraine.Leo ni miezi sita wanajivunia kuua raia na askari kweli kweli .Zelensky na serikali yake inapeta tu.
hadi sasa lengo la Putin halijulikani.
 
Happy Ukraine's Independence Day!
#StandWithUkraine
Kifaru cha Urusi kilivyolazwa flat🤔
FB_IMG_1661339864429.jpg
 
"Tayyip Erdogan key ally of Putin "
Ashauri Urusi kuirudisha Crimea [emoji848]
View attachment 2333461
Kitu ambacho hakiwezekani Crimea ilikuwa sehemu ya urusi,Ukraine akazawadiwa sasa wenye sehemu Yao washachukua na Tena sasa hivi wanaongeza kina Kherson.
 
Kitu ambacho hakiwezekani Crimea ilikuwa sehemu ya urusi,Ukraine akazawadiwa sasa wenye sehemu Yao washachukua na Tena sasa hivi wanaongeza kina Kherson.
Niamini mimi vita hii at the end looser atakuwa mrusi. ogopa mno umoja wa watu wa magharibi US na Canada Sheikh hawajawahi kushindwa kitu.

Mkakati ni lazima Mrusi apunguzwe nguvu - na njia pekee ya kufanya hivyo ni ku prolong vita !! na washafanikisha kwenye hilo.
 
Mkuu,ni kwamba, Sasa hivi kibao kimegeuka.., urusi kakimbiza ndege zote kwenye anga la Ukraine,hanusi hata pua ,

Na taharifa mpya ni kwamba zelensiky kasema kwamba hatoweka silaha chini mpaka ukombozi wa Crimea utakapokakamilika

Hiyo ni Kwa ufupi tu [emoji41][emoji41]
Mkuu umesahau Pia mataifa 30 yanachezeshwa kwata na mtu mmojaasilimia 30 ya ardhi ya Uikrane ipo kwa wanaume.
Vifurushi vya siraha vinatumwa Uikrane mpaka vinaisha vinaagizwa vingine havileti mabadiliko.
 
Afu kwenye shamba la ngano.... 😀 😀 😀 😀
Kipigo kilichotembea Leo Ukrein habari wanayo mpaka wamekili wenyewe.
🇷🇺🇺🇦 “Mirgorod was hit by a group of Russian air-to-surface missile attack on military infrastructure, the number of casualties and destruction is being specified,” the 831 tactical aviation brigade of the Ukrainian Air Force said in a statement.
 
Niamini mimi vita hii at the end looser atakuwa mrusi. ogopa mno umoja wa watu wa magharibi US na Canada Sheikh hawajawahi kushindwa kitu.

Mkakati ni lazima Mrusi apunguzwe nguvu - na njia pekee ya kufanya hivyo ni ku prolong vita !! na washafanikisha kwenye hilo.
Wameshashindwa mara nyingi angalia Syria walitaka kumuondoa raisi wakashindwa pia hapohapo Ukraine wameshashindwa angalia Russia anaendelea kuteka maeneo.acha kukaza kichwa hao NATO watawasumbua nyie nchi masikini lakini siyo Russia.shtuka Acha kuamini kitu ambacho hakiwezekani.
 
Huu ni mwisho wa Dunia umeifikia ukrein. Angalia kazi iliyofanyika dhidi Yao mpaka leo asubuhi.

⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

▫️As a result of Allied Forces offensive, 68th Jager Infantry, 66th Mechanized and 56th Motorized Infantry Brigades of AFU operating in Donetsk direction lost over 600 servicemen. In addition, some 160 servicemen of 66th Mechanized Brigade refused to take part in further combat operations. Command of AFU's Donetsk tactical group decided to withdraw these formations from their positions to the rear areas due to their loss of combat effectiveness.

💥Russian Aerospace Force's operational-tactical aviation strikes has destroyed more than 50 per cent of the personnel of 20th Battalion of 93rd Mechanized Brigade of AFU near Artemovsk. Due to high losses, battalion's soldiers voluntarily abandoned their positions and fled to an unknown destination.

▫️18th Battalion of 35th Marine Brigade of AFU has been defeated near Lozovoye, Kherson Region, while attempting to stealthily cross the Ingulets River. More than 80 nationalists and 6 vehicles have been destroyed.

💥High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have hit temporary deployment point of 72nd Mechanized Brigade of AFU near Konstantinovka, Donetsk People's Republic. More than 80 nationalists and 8 vehicles have been destroyed.

💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.

▫️7 command posts have been hit, including those of 66th Mechanized Brigade near Novomikhailovka, 15th Rocket Artillery Regiment near Kurdyumovka in Donetsk People's Republic, 102nd Territorial Defence Brigade near Gulyaipole in Zaporozhye Region, and 47 artillery units in firing positions, as well as 212 areas of AFU manpower and military equipment concentration.

▫️5 ammunition depots near Il'inka, Krasnaya Gora in Donetsk People's Republic, Novoalexandrovka in Zaporozhye Region, Shirokoye in Dnepropetrovsk Region, Snigirevka in Nikolaev Region, and combined logistics support facility of AFU near Orekhov in Zaporozhye Region.

💥As part of counter-battery warfare, 1 Uragan multiple-launch rocket battery near Dzerzhinsk in Donetsk People's Republic and 1 Smerch MLRS platoon near Rogan' in Kharkov Region have been hit.

▫️In addition, 4 platoons of Grad multiple-launch rocket systems near Seversk, Artemovsk, Orlovka in Donetsk People's Republic and Barmashovo in Nikolaev Region, as well as 3 platoons of D-30 howitzers at firing positions near Soledar, Opytnoye and Antonovka in Donetsk People's Republic have been suppressed.

💥Russian air defence means have shot down 7 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Chernyanka, Belaya Krinitsa in Kherson Region, Nikol'skoye, Volnovakha and Trudovoye in Donetsk People's Republic.

▫️Also, 2 shells of Ukrainian multiple rocket launchers have been intercepted near Kamenka in Kharkov Region.

📊In total, 268 Ukrainian airplanes and 148 helicopters, 1,803 unmanned aerial vehicles, 369 anti-aircraft missile systems, 4,382 tanks and other armored combat vehicles, 819 multiple launch rocket systems, 3,339 field artillery and mortars, as well as 5,034 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Lengo la NATO ni Russia asiendelee kusonga mbele na warudishe maeneo yaliyochukuliwa na warusi huoni yote hayo wameshindwa?huoni NATO ni weak Kwa Warusi?Acha kukaa gizani oneni ukweli
Mrusi hawezi kushindana na NATO, NATO ni kubwa mara mia ya Mrusi kijana jielewe.
 
Back
Top Bottom