ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Ongea kutokana na ulichokotiwa.Kwani uwanja wa vita unasemaje?.msharudisha KHERSON?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ongea kutokana na ulichokotiwa.Kwani uwanja wa vita unasemaje?.msharudisha KHERSON?
Lakini Ukraine anapewa silaha,mafunzo,mbinu na mercenaries kutoka NATO.yaani kuna maafisa wakubwa wa NATO wanasaidia Ukraine lakini bado wanafeli.Urusi anapigana na Ukraine,acha kujisahaurisha .., urusi apambane na Ukraine kwanza kabla ya kumuwaza NATO [emoji12][emoji12]
Tuliaminishwa kuwa urusi Ina jeshi lenye wapiganaji zaidi ya million 2 ..,Sasa sijui ni I kimemsibu mpaka anaomba colabo ya wapiganaji kutoka north Korea na Syria [emoji2][emoji2]Basi watakuwa hawatumii akili Kwa sababu urusi anaendelea kufanya biashara na haohao wenyewe yaani nchi za ulaya na anaingiza faida mara nyingi zaidi huku pia akiendeleza mahusiano ya kibiashara na nchi rafiki mfano China,India NK.na sasa hivi nasikia mabenki yashaanza kurudi urusi.
Wewe umetuambia urusi imekimbia kharkiv sasa lete ushaidi wa ramani ya vita maana eneo kubwa la kharkiv lipo mikononi mwa urusiHiyo ni kweli Yuko kilometers 40 kutoka mpakani mwake,maana mji wa khakivu unapakana na urusi,[emoji12][emoji12]
Kipigo Gani unayoongelea pale ni vitani hasara zipo tu.lakini Ukraine wangewazuia warusi wasisonge mbele wasiendelee kuchukua maeneo huku pia wangerudisha maeneo yaliyochukuliwa na warusi lakini wameshindwa kufanya hivyo.unaweza kusema kuwa warusi wanapata shinda kwa Hali hiyo?Baada ya kuona urusi anapigishwa danadana huko Ukraine..,mmeona mtafte mfano wa NATO Ili kuharalisha kipigo anachokipata urusi Sio?
[emoji2][emoji2]
Bidhaa anazouza ni mafuta na gas tu hakuna kingine anachouza kwani anavikwazo na product ya gas na mafuta imeshuka sana ndio maana analilia na middle east wanunue mafuna na gas na ameshusha na bei.In a long run ,Europe watapata solution kama walivyopata kwa middle east kutoitegemea .Wazungu sio waafrica mkuu.Watasota for two years but they are looking for a solutionBasi watakuwa hawatumii akili Kwa sababu urusi anaendelea kufanya biashara na haohao wenyewe yaani nchi za ulaya na anaingiza faida mara nyingi zaidi huku pia akiendeleza mahusiano ya kibiashara na nchi rafiki mfano China,India NK.na sasa hivi nasikia mabenki yashaanza kurudi urusi.
Hayo ni maneno yako ya kijiweni,sisi tunachojua ni kwamba Kuna mataifa mawili yanapigana hambayo niLakini Ukraine anapewa silaha,mafunzo,mbinu na mercenaries kutoka NATO.yaani kuna maafisa wakubwa wa NATO wanasaidia Ukraine lakini bado wanafeli.
Hajaomba ila hao wamesema wakihitaji wanaweza kumsaidia.Tuliaminishwa kuwa urusi Ina jeshi lenye wapiganaji zaidi ya million 2 ..,Sasa sijui ni I kimemsibu mpaka anaomba colabo ya wapiganaji kutoka north Korea na Syria [emoji2][emoji2]
Acha uongo ,Khakiv haiko mkononi mwa UkraineWewe umetuambia urusi imekimbia kharkiv sasa lete ushaidi wa ramani ya vita maana eneo kubwa la kharkiv lipo mikononi mwa urusi
Ujaacha tu uongo wako??Wewe umetuambia urusi imekimbia kharkiv sasa lete ushaidi wa ramani ya vita maana eneo kubwa la kharkiv lipo mikononi mwa urusi
Wanauza pia madini mengine,vyakula na technologia pia.waarabu hawawezi kukidhi mahitaji ya ulaya washasema hili.Bidhaa anazouza ni mafuta na gas tu hakuna kingine anachouza kwani anavikwazo na product ya gas na mafuta imeshuka sana ndio maana analilia na middle east wanunue mafuna na gas na ameshusha na bei.In a long run ,Europe watapata solution kama walivyopata kwa middle east kutoitegemea .Wazungu sio waafrica mkuu.Watasota for two years but they are looking for a solution
Icho kifaru kipo hapo zaidi ya miezi 5 acheni kujitoa akiliDah i'la mwanangu una akili kichizi. Mi sijanotes chochote.
Big upp br
Ukraine wanalopokalopoka tu..hamna watakachoweza kufanya....Ni kama Iran inavyobweka kwa Israel kila siku..au Palestina inavyokuwa inaahidi kuichakaza Israel lkn hamna kinachofanyika....Ukraine walisema wataikomboa Kherson...mpaka sasa hivi hamna walichofanya. Ukraine wanafanya guellira war sasa hivi..kuvizia na kupiga, kulipua etc..huwezi ukateka maeneo kwa stahili hiyo.....kwa akili zako unafikiri jeuri ya Ukraine kusema anaitaka na CRIMEA inatoka wapi ?
Drone zinazunguka Crimea kama hakuna any Air defense system [emoji848]Ukraine wanalopokalopoka tu..hamna watakachoweza kufanya....Ni kama Iran inavyobweka kwa Israel kila siku..au Palestina inavyokuwa inaahidi kuichakaza Israel lkn hamna kinachofanyika....Ukraine walisema wataikomboa Kherson...mpaka sasa hivi hamna walichofanya. Ukraine wanafanya guellira war sasa hivi..kuvizia na kupiga, kulipua etc..huwezi ukateka maeneo kwa stahili hiyo.....
Kama kweli Ukraine imedhamiria kuchukua maeneo..ipigane vita sio MANENO mengi..na kutafuta huruma
Check export yao ilivyoshuka sana ,yaani wakiendelea na vita watakuwa na shida in a long runWanauza pia madini mengine,vyakula na technologia pia.waarabu hawawezi kukidhi mahitaji ya ulaya washasema hili.
kamuulize CRIMEA anachokipata kule !!Ukraine wanalopokalopoka tu..hamna watakachoweza kufanya....Ni kama Iran inavyobweka kwa Israel kila siku..au Palestina inavyokuwa inaahidi kuichakaza Israel lkn hamna kinachofanyika....Ukraine walisema wataikomboa Kherson...mpaka sasa hivi hamna walichofanya. Ukraine wanafanya guellira war sasa hivi..kuvizia na kupiga, kulipua etc..huwezi ukateka maeneo kwa stahili hiyo.....
Kama kweli Ukraine imedhamiria kuchukua maeneo..ipigane vita sio MANENO mengi..na kutafuta huruma
Unajua ngano, mafuta ya kupikia, mbolea, silaha, teknolojia ya kuiendesha mitambo ya umeme wa nyukilia utakuwa umeharibiwa na tozoBidhaa anazouza ni mafuta na gas tu hakuna kingine anachouza kwani anavikwazo na product ya gas na mafuta imeshuka sana ndio maana analilia na middle east wanunue mafuna na gas na ameshusha na bei.In a long run ,Europe watapata solution kama walivyopata kwa middle east kutoitegemea .Wazungu sio waafrica mkuu.Watasota for two years but they are looking for a solution
Urusi tambo nyingii technologia enzi za kisoviet. watampiga yulee.... !!Drone zinazunguka Crimea kama hakuna any Air defense system [emoji848]Ur
Urusi alikuwa anakuzwa sana aisee
Kwa ufupi urusi ni joka la kibisa [emoji1787][emoji12]
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]Ni msako, nyumba kwa nyumba dadadeq.... Putin lazima achuchumae
HIMARS the Game Changer !!
View attachment 2333562
![]()
Six months of war in Ukraine: Five key military takeaways
Russia’s military ineptitude, Ukraine's energetic defence, HIMARS, and now - the focus on the south.www.aljazeera.com