Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Yaani vijidrone viwili vitatu kuangusha mabomu ndio imekuwa kipigo?Na Russia naye asemeje Sasa?Maana jinsi alivyoigeuza Ukraine kuwa magofu sio mchezo!Maneno ya kwenye kanga sio? Huoni kipigo kinavyotembezwa huko crimea, mpaka super pawer wa mchongo akaona isiwe kesi,akaondoa meli vita zote[emoji2][emoji2]
Pro NATO mnachekesha sana,mkipigwa ngumu 100,halafu ninyi mkarusha ngumi Moja basi hizo kelele ni balaa🤣🤣🤣