Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


ALJAZEERA.
Russia: Syria air defence intercepted 71 missiles
Reports say US Tomahawk missiles used to target Syria, as UK and France deploy Tornado, Mirage and Rafale jets.


Published On 14 Apr 2018
14 Apr 2018
A senior Russian military official has said that Syrian air defence had intercepted at least 71 cruise missiles fired by US, UK and French forces.

At a news conference in Moscow on Saturday, Lieutenant General Sergey Rudskoy said at least 103 cruise missiles, including Tomahawks, were fired into a number of targets in Syria.

“Russia has fully restored the air defence system of Syria, and it continues to improve it over the last six months,” Rudskoy said.
 
Nakumbusha tu,hii vita imetengwa bajeti ya miaka 5 kwa hiyo kuweni wapole.. urusi ata akiamua kuteka maeneo yote Ukraine na kufika karibu na mpaka wa Poland huko Wala sioni tatizo, maana aliyetenga hii bajeti Wala si Ukraine

Kikubwa ni kwamba sisi tuna kifurushi chetu Cha " halichachi" tunatumia tu taratibu Wala Haina haja ya kukimbizana sana muda,
 
Hawana mbadala wa mafuta Wala ges EU,Nchi ambayo ingewapa mbadala ni Qatar,na Ili uisafirishe kiulaini lazima uipitishie Syria.
Huko Syria nako hapatoshi Putin aliwaotea kawavuruga kitaambo.
 
Sikiza we Kipanya...

Ushindi wa vita haupo kwenye kutenga bajeti ya vita. Tetea ardhi yako/yenu dhidi ya uvamizi/kutwaliwa na adui. Fanikiwa kumtoa mvamizi nje ya ardhi yako. Pigania uhuru wa taifa lako na heshima yake kisha ushinde, nini bajeti!?

Ukraine hatojiunga tena NATO
Hakuna Azov tena mariupol
Ardhi yote ya faida ya Ukr iko mikononi mwa Urusi
Vikwazo vimebuma
Ruble inazidi kuimarika
Ardhi zaidi inazidi kutwaliwa
Na Magharibi mpk ss hakuna wana(li)choweza kufanya

Alafu usisahau the winter is coming...
 
Ndio maana nakwambia kuwa bado ni mapema sana kujivunia hayo mafanikio unayodhani urusi wameshapata..,watu wamedhamilia kuipigania ardhi Yao kwa miaka 5 ikibidi

Nakumbusha tu hata dikiteta Hitler alikuwa ameshakaribia kabisa katika viunga vya mji wa Moscow.. lakini unajua kilichofuatia?
Hivyo hata dikiteta Putin kuchukua miji miwili mitatu,usione kama amewin saana,
 
Ndio maana nakwambia kuwa bado ni mapema sana kujivunia hayo mafanikio unayodhani urusi wameshapata..,watu wamedhamilia kuipigania ardhi Yao kwa miaka 5 ikibidi

Nakumbusha tu hata dikiteta Hitler alikuwa ameshakaribia kabisa katika viunga vya mji wa Moscow.. lakini unajua kilichofuatia?
Hivyo hata dikiteta Putin kuchukua miji miwili mitatu,usione kama amewin saana,
 
Bajeti sio peke yake inayopigana vita.lazima upate watu wa kuingia front kwenye uwanja wa mapambano.Urusi yeye anachukua watu kutoka SYRIA,LIBYA,NORTH KOREA,IRAN,IRAQ,LEBANON,YEMEN, na mataifa mengine rafiki.Je! UKRAINE atachukua wapiganaji kutoka wapi ili afike iyo miaka mitano akiwa hata na nusu ya nchi yake.

Haya mataifa ndo yana watu wa kazi,tofauti ukienda ulaya kuwatafuta watu wa kuingia front unaweza usipate mtu
 
Treni ya kivita ya Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine Zelensk atoa mlio wa maumivu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635]
(Reuters) – Russia has launched missiles at a railroad station in Ukraine’s central Dnipropetrovsk region, Ukrainian President Volodymyr Zelenskiy told a Ukraine-focused meeting of the United Nations Security Council on Wednesday.

“This is our life every day. This is how Russia got prepared for this U.N. session,” Zelenskiy said over video link. There were deaths and injuries in the missile strikes, Zelenskiy said, warning that the death toll could rise.

(Reporting by Rami Ayyub and Arshad Mohammed)

Copyright 2022 Thomson Reuters.

Political Cartoons on World Leaders

Continue Reading


News Source: https://www.usnews.com/news/world/a...tation-in-central-ukraine-zelenskiy-tells-u-n

 
Kama mmeshindwa kupiga Kyiv leo Independence day nyie Russia ni mbuzi tu yani adui anafanya maonesho ya equipments za kivita alizokupora na wewe unaangalia tu Russia kama kashindwa kurusha hata fataki leo Kyiv basi hii vita hatoboi hata kwa dawa ni Mafamba tu pro Russia wote
 
Urusi ni nyoko sana,
Governor wa Bank of England katoa tahadhari kuwa Nchi inaweza ikakubwa na recession,aidha wame predict inflation Ku hit 18% kwa mwaka kesho kama hali itaendelea hivi kwa sasa inflation ni 8%.

Vilevile,Euro imeshuka thamani dhidi ya USD kitu ambacho hakijatokea miaka 20 iliyopita sasa wananua 1$ kwa 0.9€.Nchi ya Germany ambayo ndio inaongoza kwa uchumi mkubwa katika umoja huo inategemea kupoteza $225B kwa mwaka kutokana na kutopata gas ya kutosha kutoka Urusi na Italy Nchi ya 2 kubwa kiuchumi katika umoja huo inakumbana na kiwango kikubwa na inflation na ukosefu wa ajira.

Nchi za Ulaya zaidi ya 27+ kiujumla zinakubwa na hali mbaya ya kiuchumi kutokana inflation wastani wa 8%.Matatizo hata yote yanachangiwa na kiasi kidogo cha gas wanachopata kutoka Urusi.

Hawa Mbwa wamejaa viburi,wanatudharau sisi Waafrika kumbe nao wanalishwa na Mwaname mmoja tu Russia.Russia amebeba waisha ya wazungu wa ummoja wa Ulaya.
 
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Na kweli EUR imekuwa kolo kwa USD dollar, kwa sie trader tunaona hali ilivyo , imekuwa sarafu ya kisengeeerr kwelu
 
Ni kweli kaka, watu wana bajeti ya miaka mitano, kila eneo russia aloteka hatoweza kukaa kwa amani sababu muda wowote kitanuka.
 
Tazama video ammunition warehouse explosion in Zaporizhia.Kipigo bado ni heavy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaka unaupiga mwingi saaana, mimi kazi yangu kukupa LIKE tu.
 
Tazama Loss hiyo sio mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2333674
Bado ni pesa ndogo kwao, nafikiri ndo maana US ameamua kutenga bajet ya miaka mitano, akiamini ndani ya miaka hiyo mitano loss itakuwa kubwa zaidi kwake.

Assume ni kama trilion 45 mpaka sasa walotumia, hii kwa miezi 6, ndani ya mwaka assume ni 100trilion. So ndani ya miaka mitano ofkoz loss yake si ya kitoto, sioni nguvu ya Russia kuendelea na hii vita muda mrefu zaidi kama vile wenzake walivyojipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…