Lengo lake lipi kwisha?Putin vita hii hataiweza, hadi sasa lengo lake kwisha !!
Ninachosema ni kuwa Russia ni kama maji,usipoyaoga,utayanywa!Kwa hiyo Ile vita anayopigana Ukraine Wala hakuna ghalama yoyote anayotumia.., anatumia rasilimali zilizopo kwenye maeneo aliyoyateka Ili kughalamia vita
Si ndo mnapenda kujifariji hivyo [emoji12]
Aaah,ni vizuri mnajua kuwa bila Ukraine kupata misaada ya silaha,mafunzo na intelejensia kutoka mataifa zaida ya 30 basi angekuwa amekwisha!Bila hii ajenda ya US ya kutaka vita ichukue muda mrefu Ili yeye azidi kufanya biashara ya siraha.., urusi angekuwa ameshamaliza tayari hii vita kwa kuupindua utawala wa zelensiky ..,huu mpango wa US unamuumiza dikiteta Putin,kwa hiyo Bora aendelee tu
Ngoja waje wale wazee wa video game [emoji2]Tazama live makuruta wa kirusi wamedondoshewa bomu limelipuka pembeni lakini majeruhi tayari hawawezi kuendelea na vita hawa.Haya ni yale mabomu wanaitabya mabox tazama uone.
Watu wanapiga sehemu za kimkamkati kama hizi, upande wa pili wakisonga mbele hatua 2 tu,wanakuja huku kujaza server za jamiiforum [emoji2]Tazama hii usiku wa leo Nova kakhovka bridge ilimepigwa kitu kizito na Air defense system nayo imeshambuliwa hakuna kuvuka panya hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2334116View attachment 2334117
Sasa mkuu unataka kusema Russia keshashindwa au? Maana kusema bila NATO Russia angeshinda kwa hiyo NATO wamempiga siyo?Aaah,ni vizuri mnajua kuwa bila Ukraine kupata misaada ya silaha,mafunzo na intelejensia kutoka mataifa zaida ya 30 basi angekuwa amekwisha!
Russia apewe heshima yake,na hii vita Russia kajiandaa kweli kweli!Yaani anapiga mizinga sawa na stock yote ya UK Kwa wiki mbili!
Hatari sana!
Hayo ya kwako,Mimi nimesema,bila NATO,Russia angekuwa ameshashinda!Sasa hapo huelewi Nini,au kiswahili kigumu?Sasa mkuu unataka kusema Russia keshashindwa au? Maana kusema bila NATO Russia angeshinda kwa hiyo NATO wamempiga siyo?
Hebu yataje hayo mataifa 30 uku ukiambatanisha kila taifa limetoa msaada gani angalau kwa ufupi tu.., ukishindwa kuyataja nitakuona kama unapiga porojo tuAaah,ni vizuri mnajua kuwa bila Ukraine kupata misaada ya silaha,mafunzo na intelejensia kutoka mataifa zaida ya 30 basi angekuwa amekwisha!
Russia apewe heshima yake,na hii vita Russia kajiandaa kweli kweli!Yaani anapiga mizinga sawa na stock yote ya UK Kwa wiki mbili!
Hatari sana!
Polepole bwashee ,kwa hiyo unamanisha NATO kafanikiwa kukwamisha mipango ya Russian? Twende taratibu bila hasira mkuu maana wote tuna mitazamo tofautiHayo ya kwako,Mimi nimesema,bila NATO,Russia angekuwa ameshashinda!Sasa hapo huelewi Nini,au kiswahili kigumu?
[emoji12][emoji12]Polepole bwashee ,kwa hiyo unamanisha NATO kafanikiwa kukwamisha mipango ya Russian? Twende taratibu bila hasira mkuu maana wote tuna mitazamo tofauti
Austria, Belgium, Bulgaria, Croatia, Republic of Cyprus, Czech Republic, Denmark, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Hungary, Ireland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Malta, Netherlands, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain and Sweden!Hebu yataje hayo mataifa 30 uku ukiambatanisha kila taifa limetoa msaada gani angalau kwa ufupi tu.., ukishindwa kuyataja nitakuona kama unapiga porojo tu
Usitake ku justify performance mbaya ya jeshi la urusi Kwa maneno yasiyo na uhalisia
Hayo mataifa unayosema yanamsaidia Ukraine yametoa meli za kisasa za kivita kama anazotumia Russia??Austria, Belgium, Bulgaria, Croatia, Republic of Cyprus, Czech Republic, Denmark, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Hungary, Ireland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Malta, Netherlands, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain and Sweden!
Hao ni EU Kwa ujumla,mpaka Sasa wametoa Euro bil 2.2, kati ya Euro bil 9!
Humo humo Bado Kuna mataifa ambayo Yako NATO,nayo yametoa silaha na fedha!
Jumlisha US ambaye ndiye kinara!
Details zaidi,tafuta mwenyewe!
Na ni bahati tu Russia hii kaifanya kama operation,anapunguza casualties ndio maana kaenda taratibu!
Angefanya kama afanyavyo US,anamwagilia mabomu na Kisha majeshi ya ardhi ni kwenda kufanya usafi basi kusingekuwa na kitu Ukraine!
Putin mstaarabu sana!
Russia sio Zimbabwe,umesikia Leo kwenye news tokea embargo on Russian oil,Kwa mara ya kwanza UK kaagiza mzigo Toka Russia![emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Kelele za nini ?? Tunamfukuza mwizi kimyakimya.,hujamsikia zelensiky alivyosema?HIMARS sizisikii sikuhizi nini kimetokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wanajeshi wa Ukraine walio kufa karibu 250,000 Usha ona Russia iki post picha zao? Ni summary tu ya Operation kwa Ground. Ila maumivu mnayasikia vzr.Kelele za nini ?? Tunamfukuza mwizi kimyakimya.,hujamsikia zelensiky alivyosema?
Kama hazisikiki basi leteni ushaidi usio na shaka kwamba mmeharibu hata Moja[emoji12]