Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Izo ni video za you tube.mtu anaunga unga video ili apate views wengi apige pesa.izo ndo kama zile wanakwambia MAGUFULI hakufa alikuwa kachificha,kaagiza mama samia akamatwe"[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ukiifungua tu watu wanaingiza ela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa kuna wajinga kibao anawapata humu wanamuamini sana
 
Rafiki baslav kanitumia hiyo picha akiwa front line
 
Tazama kishanuka huko Ammunition depot habari kamili inakuja muda si mrefu

 
Naikumbuka hii siku I was there
 
Tazama kishanuka huko Ammunition depot habari kamili inakuja muda si mrefu

Hii ni Chornobaivka bridge i.epigwa kitu kizito inawaka moto leo hii.Kipigo cha mbwa koko kinaendelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Takataka ya mrusi anayoita drone zimepukutishwa [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakirudi Kiev awamu hii na mm naenda nao
 
Tazama kishanuka huko Ammunition depot habari kamili inakuja muda si mrefu

Ni kuwapelekea moto kwa kwenda mbele [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123][emoji120][emoji120]
 
This war is ISIDINGO
 
Tazama haya makuruta ya kirusi yalivyo majinga yana kaa kikundi kwani hayana mafunzo ya kuachana distance ona sasa yalivyoshambuliwa jana hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni wajinga saana kwa kweli
 
Kwa Mwendo huu. Huyo msanii atoroke tu. Kyiv ina enda Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…