mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Ni vita ya wapi iyo ambayo nchi zilipigana alafu mji mkuu ukawa wa kwanza kuchukulia.mji mkuu ndo kila kitu ndugu silaa zote uwekwa pale sasa usitegemee kiwepesi tu uchukue mji mkuu.Ndugu zangu warusi wa Katerero vip mmeshaa fanikiwa kuingi kiev ama bado tuendelee kusikilizia maan siku zimekwenda kweli kweli ndugu zangu team Putin mbona kama mmelala mbele sion tena zile hoja zenu zenye tambo za ajabu vip mpaka sasa katika hii vita mliyoianzisha mmefanikiwa kuteka nini caha maana kwa Ukrain?
Ivi bado kuna mRusi wa Namtumbi aanayemuamini yule jamaa muongo muongo bwana Putin na Russia yake ivi kuna mtu kweli anaamini kuwa Urusi ina nguvu za kijeshi kama alivyokuwa akijatapa apo awali
Aisee nawahitaji sawa warusi wa kongwa mje apa ntupe update ya miji mlioyteka mpaka sasa toka Ukrain
Urusi ni taifa kubwa sana tena zaidi ya sana.angekuwa USA angekuja na full suport kutoka kila sehem kwa jinsi alivyokuwa muoga.angeomba jeshi la Nato, canada,mexico, finland, na mataifa mengine mpaka africa angeomba suport.