Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zipo sababu nyingi za kwa nini Urusi inataka kuisambaratisha Ukraine mkuu,hii issue ya Ukraine kujiunga na NATO isingekuwa shida sana kama Ukraine inge-behave.Tatizo Ni kwamba Ukraine inatumiwa kama agent or proxy of the West a.k.a Khazarian Mafia kuisambaratisha Urusi,na ndio maana unaona Urusi haina shida saana na nchi zingine za NATO.

Kwa nini nimetaja Khazarian Mafia,nimewataja hawa kwa kuwa kizazi chao ndicho kimsingi kinachoitawala US, Ulaya na kwa ujumla nchi zote za dunia.

Kwa nini Khazarian Mafia wanataka kuisambaratisha Urusi?Basically ni swala la Kihistoria,Soviets waliwa-sambaratisha wao zamani,na wao wanalipiza kisasi!

Kwa nini Urusi waliwa-sambaratisha Khazarians huko nyuma.Ni kwamba huko nyuma,Khazarians ambao walikuwa wanaikalia inayoitwa Ukraine leo na some other areas around Ukraine,walikuwa wanafanyia uovu sana majirani zao,ikiwa pamoja na Urusi.Urusi na allies wao wakaona isiwe shida,wakawasambaratisha kabisa wakasambaa Dunia mzima,na tangu hapo wakawa wanapanga mikakati ya kurudi Ukraine,lakini pamoja na kulipiza kisasi kwa Urusi.Matatizo mengi ya Urusi huko nyuma ikiwa ni pamoja na kugeuzwa kwa nchi yao Urusi kuwa ya Kikomunisti,ilikuwa ni kuwakomesha Warusi!Putin kushika Madaraka Urusi kwa Khazarians inaonekana kama hatua ya kuwarudisha nyuma katika harakati zao za kuiadhibu Urusi na kuisambaratisha.Hii ndiyo sababu hasa kwa nini Urusi inachukiwa sana na nchi za Magharibi,wanao chagiza ni the Khazarian Mafia!

Kwa nini Khazarians wamekuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho duniani.Ni kwa sababu wame-weza kujipenyeza kwenye serikali,Kingships na Queeships zote za dunia.Wapo kwenye mamlaka za juu kabisa za kiutawala,wao ndio walioishika Dunia kibiashara:makampuni makubwa duniani yote ni yao,Bank zote duniani kubwa ni zao,vyombo vya habari vyote vikubwa ni vyao.IMF na World Bank ni zao!Simply put it,it is the largest Criminal Cartel in the World.

Mauaji ya Warusi wa Donesky na Luhansk,almost 14 million yamefanywa kwa shinikizo la Khazarians,wanawachukia Warusi kupindukia. Infact hawa watu ni waovu kiasi kwamba, wanataka kurudi Ukraine by all means possible,ili waishughulie Urusi,and the Russians know it,kwa hiyo they are fighting back.Biolabs ambazo Urusi wameziharibu Ukraine ni zao hawa watu,na zilikuwa na nia moja tu,kuisambaratisha Urusi na Dunia kwa ujumla.

Lakini naomba ikumbukwe pia kwamba watu hawa waovu kabisa kuwahi kuishi katika Historia ya Wanadamu,wanataka kuitawala pia Dunia na kuwalazimisha wanadamu wote wamuabudu Shetani kama wanavyo-fanya wao,and they will succeed in this in due course.Underground societies zote unazozijua,including the Freemasons,wao ndio waanzilishi.

Nimalizie kwa kusema kwamba the Russians are doing a good job on their own behalf,but also on our behalf,kwa hiyo hatuna budi kuwa-unga mkono.
 
Bado kipigo cha mbwa koko kinaendelea silaha ya kihistoria Himars bado inagawa dozi heavy kwa wavamizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeleta source zaidi ya 5 ya tukio la jana wanajeshi 200 wamepiga kitu kizito Himars hawataisahai hii silaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanachofanya nikuwasaidia misaada ya silaha lakni hawapigani huko.

Kwa vile wazo hilo limeshajengeka akilini mwako kulitoa ni vigumu.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wanachofanya nikuwasaidia misaada ya silaha lakni hawapigani huko.

Kwa vile wazo hilo limeshajengeka akilini mwako kulitoa ni vigumu.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe una-bisha nini,mbona ushahidi ulishaletwa hapa.They are there,and many have been captured,tena officers wa ngazi za juu kabisa.
 
Mkuu lete hiyo video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…