Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa tuulizane na kusaidia hapa. Ikiwa lengo la Russia ni kutaka Ukraine isijiunge na NATO. Ili NATO isipakane na Russia. Halafu Russia akawa ameishinda hii vita na kuchukua eneo lote la ukraine. Maana yake Russia atakua amepakana kabisa NATO kwa mpaka mkubwa sana.

Je Russia atapata aman kama lengo ni kusogelewa na NATO?

Lakin tumeona kule Finland inaenda kujiunga soon na NATO inaongeza ukaribu Zaid na Russia.

Je lengo kuu la Putin ni kuzuia Ukraine kujiunga na NATO au kulikua na jingine nyuma ya pazia
Ukiachana na swala la kijiografia kati ya Urusi, Ukraine na NATO.. Urusi na Ukraine wana uhusiano wa kijamii,kiuchumi na kibaolojia wa ndani kabisa.

Vile viwanda vikubwa na vinu vya nyuklia unavyoviona Ukraine Urusi ana jasho lake kubwa mle hivyo hayuko tayari kuona vikiwa mikononi mwa wamagharibi.

Na wamagharibi wanaitamani sana Ukraine maana ina ardhi yenye ya kilimo na madini mengi ambayo Urusi anayo...
 
Macron kakili kuwa enzi ya neema kwa ulaya imekwisha na Sasa wataishi kwa msoto mkali.



◾ EMMANUEL MACRON: «WE ARE LIVING THE END OF ABUNDANCE»

◾ « We are living the end of what could appear as an abundance. That of liquidity without costs, of the abundance of earth or matter, and of water too. And we will have to take measures to draw all the consequences...»

◾In other words. The Western powers won't be able to exploit and loot the global south any longer.

◾The Western public won't have cheap and abundant fuel, technology and food while the rest of the world struggles and starve any longer.

◾The colonial powers are finally crumbling, and if we look at the history of our nations, and how France is acting today in Africa, the measures he is talking about are scary for the workers of both the north and the south.
Hakuna namna, wacha waishi tu kama 'mashetani'....Putin aliwadekeza mno kuwauzia wese na gas kwa bei ya dezodezo...wataendelea kulia kilio cha kusaga meno!

Magufuli angekuwa hai angeshuhudia namna mabeberu yaliyozoea kuishi kama malaika kupitia mafuta/gesi ya dezo sasa yakiishi kama mashetani.
 
Macron kakili kuwa enzi ya neema kwa ulaya imekwisha na Sasa wataishi kwa msoto mkali.



◾ EMMANUEL MACRON: «WE ARE LIVING THE END OF ABUNDANCE»

◾ « We are living the end of what could appear as an abundance. That of liquidity without costs, of the abundance of earth or matter, and of water too. And we will have to take measures to draw all the consequences...»

◾In other words. The Western powers won't be able to exploit and loot the global south any longer.

◾The Western public won't have cheap and abundant fuel, technology and food while the rest of the world struggles and starve any longer.

◾The colonial powers are finally crumbling, and if we look at the history of our nations, and how France is acting today in Africa, the measures he is talking about are scary for the workers of both the north and the south.
Viva Vladimir
 
Wanachofanya nikuwasaidia misaada ya silaha lakni hawapigani huko.

Kwa vile wazo hilo limeshajengeka akilini mwako kulitoa ni vigumu.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Masaa kadhaa yaliyopita Marekani imethibitisha kuuawa kwa mwanajeshi wa kimarekani aliyekuwa akipigana vita Ukraine dhidi ya Urusi....Warusi wamemla kichwa
SmartSelect_20220827-200019_Chrome.jpg


Na hapa kuna habari lukuki zikiripoti kuliwa vichwa raia wa Marekani, Canada, Sweden n.k. Au hawa ni raia wa Tanzania?!
SmartSelect_20220827-200453_Chrome.jpg
 
Zipo sababu nyingi za kwa nini Urusi inataka kuisambaratisha Ukraine mkuu,hii issue ya Ukraine kujiunga na NATO isingekuwa shida sana kama Ukraine inge-behave.Tatizo Ni kwamba Ukraine inatumiwa kama agent or proxy of the West a.k.a Khazarian Mafia kuisambaratisha Urusi,na ndio maana unaona Urusi haina shida saana na nchi zingine za NATO.

Kwa nini nimetaja Khazarian Mafia,nimewataja hawa kwa kuwa kizazi chao ndicho kimsingi kinachoitawala US, Ulaya na kwa ujumla nchi zote za dunia.

Kwa nini Khazarian Mafia wanataka kuisambaratisha Urusi?Basically ni swala la Kihistoria,Soviets waliwa-sambaratisha wao zamani,na wao wanalipiza kisasi!

Kwa nini Urusi waliwa-sambaratisha Khazarians huko nyuma.Ni kwamba huko nyuma,Khazarians ambao walikuwa wanaikalia inayoitwa Ukraine leo,walikuwa wanafanyia uovu sana jirani zao,ikiwa pamoja na Urusi.Urusi wakaona isiwe shida,wakawasambaratisha kabisa wakasambaa Dunia mzima,na tangu hapo wakawa wanapanga mikakati ya kurudi Ukraine,lakini pamoja na kulipiza kisasi kwa Urusi.Matatizo mengi ya Urusi huko nyuma ikiwa ni pamoja na kugeza nchi ya Urusi kuwa ya Kikomunisti,ilikuwa ni kuwakomesha Warusi!Putin kushika Madaraka Urusi kwa Khazarians inaonekana kama hatua ya kuwarudisha nyuma katika harakati zao za kuiadhibu Urusi na kuisambaratisha.Hii ndiyo sababu hasa kwa nini Urusi inachukiwa sana na nchi za Magharibi,wanao chagiza ni the Khazarian Mafia.

Kwa nini wamekuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho.Ni kwa sababu wameweza kujipenyeza kwenye serikali,Kingships na Queeships zote za dunia.Wapo kwenye mamlaka za juu kabisa za kisiasa,wao ndio walioishika Dunia kibiashara:makampuni makubwa duniani yote ni yao,Bank zote duniani kubwa ni zao,vyombo vya habari vyote vikubwa ni vyao.IMF na World Bank ni zao!Simply put it,it is the largest Cartel in the World.

Mauaji ya Warusi wa Donesky na Luhansk,almost 14 million yamefanywa kwa shinikizo la Khazarians,wanawachukia Warusi kupindukia. Infact hawa watu ni waovu kiasi kwamba, wanataka kurudi Ukraine by all means possible,ili waishughulie Urusi,and the Russians know it,kwa hiyo they are fighting back.Biolabs ambazo Urusi wameziharibu Ukraine ni zao hawa watu,na zilikuwa na nia moja tu,kuisambaratisha Urusi na Dunia kwa ujumla.

Lakini naomba ikumbukwe pia kwamba watu hawa waovu kabisa kuwahi kuishi katika Historia ya Wanadamu,wanataka kuitawala pia Dunia na kuwalazimisha wanadamu wote wamuabudu Shetani kama wanavyo-fanya wao,and they will succeed in this.Underground societies zote unazozijua,including the Freemasons,wao ndio waanzilishi.

Nimalizie kwa kusema kwamba the Russians are doing a good job on their own behalf,but also on our behalf,kwa hiyo hatuna budi kuwa-unga mkono.
Ok. Shukran sana mkuu nimejifunza kitu hapa.
 
Ukiachana na swala la kijiografia kati ya Urusi, Ukraine na NATO.. Urusi na Ukraine wana uhusiano wa kijamii,kiuchumi na kibaolojia wa ndani kabisa.

Vile viwanda vikubwa na vinu vya nyuklia unavyoviona Ukraine Urusi ana jasho lake kubwa mle hivyo hayuko tayari kuona vikiwa mikononi mwa wamagharibi.

Na wamagharibi wanaitamani sana Ukraine maana ina ardhi yenye ya kilimo na madini mengi ambayo Urusi anayo...
Ok. So tukubaliane hapa kwamba Putin alitumia kisingizio tu kua ukraine anataka kujiunga NATO. Lakin sababu ilikua nyingine kabisa
 
Back
Top Bottom