Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiachana na swala la kijiografia kati ya Urusi, Ukraine na NATO.. Urusi na Ukraine wana uhusiano wa kijamii,kiuchumi na kibaolojia wa ndani kabisa.

Vile viwanda vikubwa na vinu vya nyuklia unavyoviona Ukraine Urusi ana jasho lake kubwa mle hivyo hayuko tayari kuona vikiwa mikononi mwa wamagharibi.

Na wamagharibi wanaitamani sana Ukraine maana ina ardhi yenye ya kilimo na madini mengi ambayo Urusi anayo...
 
Hakuna namna, wacha waishi tu kama 'mashetani'....Putin aliwadekeza mno kuwauzia wese na gas kwa bei ya dezodezo...wataendelea kulia kilio cha kusaga meno!

Magufuli angekuwa hai angeshuhudia namna mabeberu yaliyozoea kuishi kama malaika kupitia mafuta/gesi ya dezo sasa yakiishi kama mashetani.
 
Viva Vladimir
 
Wanachofanya nikuwasaidia misaada ya silaha lakni hawapigani huko.

Kwa vile wazo hilo limeshajengeka akilini mwako kulitoa ni vigumu.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Masaa kadhaa yaliyopita Marekani imethibitisha kuuawa kwa mwanajeshi wa kimarekani aliyekuwa akipigana vita Ukraine dhidi ya Urusi....Warusi wamemla kichwa


Na hapa kuna habari lukuki zikiripoti kuliwa vichwa raia wa Marekani, Canada, Sweden n.k. Au hawa ni raia wa Tanzania?!
 
Finnish toilet paper company MetsΓ€ Tissue has warned of a toilet paper shortage, writes Yle.

The reason is a sharp reduction in production due to the energy crisis.
Kuna ulazima kuwaaambia wakulima wetu kutunza magunzi ya mahindi huwenda yakawa suluhisho la muda ulaya 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ok. Shukran sana mkuu nimejifunza kitu hapa.
 
Ok. So tukubaliane hapa kwamba Putin alitumia kisingizio tu kua ukraine anataka kujiunga NATO. Lakin sababu ilikua nyingine kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…