Finland haikuwa Rusophobic kama ilivyokuwa UKRAINE...anti-Russia sentiments ndani ya Ukraine zilikuwa na nguvu sana mpaka kutishia usalama...Sasa tuulizane na kusaidia hapa. Ikiwa lengo la Russia ni kutaka Ukraine isijiunge na NATO. Ili NATO isipakane na Russia. Halafu Russia akawa ameishinda hii vita na kuchukua eneo lote la ukraine. Maana yake Russia atakua amepakana kabisa NATO kwa mpaka mkubwa sana.
Je Russia atapata aman kama lengo ni kusogelewa na NATO?
Lakin tumeona kule Finland inaenda kujiunga soon na NATO inaongeza ukaribu Zaid na Russia.
Je lengo kuu la Putin ni kuzuia Ukraine kujiunga na NATO au kulikua na jingine nyuma ya pazia
Kwa mujibu wa bwana Putin mwenyewe. (Ma)Lengo kuu la military operation yake hapo Ukraine ni;-Sasa tuulizane na kusaidia hapa. Ikiwa lengo la Russia ni kutaka Ukraine isijiunge na NATO. Ili NATO isipakane na Russia. Halafu Russia akawa ameishinda hii vita na kuchukua eneo lote la ukraine. Maana yake Russia atakua amepakana kabisa NATO kwa mpaka mkubwa sana.
Je Russia atapata aman kama lengo ni kusogelewa na NATO?
Lakin tumeona kule Finland inaenda kujiunga soon na NATO inaongeza ukaribu Zaid na Russia.
Je lengo kuu la Putin ni kuzuia Ukraine kujiunga na NATO au kulikua na jingine nyuma ya pazia
Mkuu lete hiyo video
Umeelezeq hoja nyingi sana za kuunga dots sasa naomba unipe ufafanuzi kidogo hapo.Zipo sababu nyingi za kwa nini Urusi inataka kuisambaratisha Ukraine mkuu,hii issue ya Ukraine kujiunga na NATO isingekuwa shida sana kama Ukraine inge-behave.Tatizo Ni kwamba Ukraine inatumiwa kama agent or proxy of the West a.k.a Khazarian Mafia kuisambaratisha Urusi,na ndio maana unaona Urusi haina shida saana na nchi zingine za NATO.
Kwa nini nimetaja Khazarian Mafia,nimewataja hawa kwa kuwa kizazi chao ndicho kimsingi kinachoitawala US, Ulaya na kwa ujumla nchi zote za dunia.
Kwa nini Khazarian Mafia wanataka kuisambaratisha Urusi?Basically ni swala la Kihistoria,Soviets waliwa-sambaratisha wao zamani,na wao wanalipiza kisasi!
Kwa nini Urusi waliwa-sambaratisha Khazarians huko nyuma.Ni kwamba huko nyuma,Khazarians ambao walikuwa wanaikalia inayoitwa Ukraine leo,walikuwa wanafanyia uovu sana jirani zao,ikiwa pamoja na Urusi.Urusi wakaona isiwe shida,wakawasambaratisha kabisa wakasambaa Dunia mzima,na tangu hapo wakawa wanapanga mikakati ya kurudi Ukraine,lakini pamoja na kulipiza kisasi kwa Urusi.Matatizo mengi ya Urusi huko nyuma ikiwa ni pamoja na kugeuzwa kwa nchi yao Urusi kuwa ya Kikomunisti,ilikuwa ni kuwakomesha Warusi!Putin kushika Madaraka Urusi kwa Khazarians inaonekana kama hatua ya kuwarudisha nyuma katika harakati zao za kuiadhibu Urusi na kuisambaratisha.Hii ndiyo sababu hasa kwa nini Urusi inachukiwa sana na nchi za Magharibi,wanao chagiza ni the Khazarian Mafia.
Kwa nini Khazarians wamekuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho.Ni kwa sababu wame-weza kujipenyeza kwenye serikali,Kingships na Queeships zote za dunia.Wapo kwenye mamlaka za juu kabisa za kiutawala,wao ndio walioishika Dunia kibiashara:makampuni makubwa duniani yote ni yao,Bank zote duniani kubwa ni zao,vyombo vya habari vyote vikubwa ni vyao.IMF na World Bank ni zao!Simply put it,it is the largest Cartel in the World.
Mauaji ya Warusi wa Donesky na Luhansk,almost 14 million yamefanywa kwa shinikizo la Khazarians,wanawachukia Warusi kupindukia. Infact hawa watu ni waovu kiasi kwamba, wanataka kurudi Ukraine by all means possible,ili waishughulie Urusi,and the Russians know it,kwa hiyo they are fighting back.Biolabs ambazo Urusi wameziharibu Ukraine ni zao hawa watu,na zilikuwa na nia moja tu,kuisambaratisha Urusi na Dunia kwa ujumla.
Lakini naomba ikumbukwe pia kwamba watu hawa waovu kabisa kuwahi kuishi katika Historia ya Wanadamu,wanataka kuitawala pia Dunia na kuwalazimisha wanadamu wote wamuabudu Shetani kama wanavyo-fanya wao,and they will succeed in this.Underground societies zote unazozijua,including the Freemasons,wao ndio waanzilishi.
Nimalizie kwa kusema kwamba the Russians are doing a good job on their own behalf,but also on our behalf,kwa hiyo hatuna budi kuwa-unga mkono.
Unajua tofauti ya volunteer fighters na US soldiers???Masaa kadhaa yaliyopita Marekani imethibitisha kuuawa kwa mwanajeshi wa kimarekani aliyekuwa akipigana vita Ukraine dhidi ya Urusi....Warusi wamemla kichwa
View attachment 2336618
Na hapa kuna habari lukuki zikiripoti kuliwa vichwa raia wa Marekani, Canada, Sweden n.k. Au hawa ni raia wa Tanzania?!
View attachment 2336627
Urusi joka la kibisa tu, hamna kitu paleMnarusha hovyo bila target mnaharibu makazi na mashuleView attachment 2336743
Hawa andunje ni kuwabonda tu hakuna namna [emoji848]Tunalipua madaraja mnajaribu kuvuka kwa pantoon tutawamaliza aisee cheki hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2336723
Sio kisingizio, ni kweli Ukraine ilitaka kujiunga NATO.Ok. So tukubaliane hapa kwamba Putin alitumia kisingizio tu kua ukraine anataka kujiunga NATO. Lakin sababu ilikua nyingine kabisa
CNN leo yasema kuna mabaki hapa ya mwili wa mwanajeshi wa Marekani aliyeliwa kichwa huko Ukraine, yanataka kurejeshwa Marekani na Jamuhuri ya Watu wa DonetskUnajua tofauti ya volunteer fighters na US soldiers???
Tangu zaman nimegundua Pro Russia hawajielewi
Ok. Shukran. Lakni nakumbuka mwanzon Putin aliwahi toa onyo. Akizionya Finland na swiden zikijiunga na NATO zitakiona Cha moto... Ebu nisaidie hapa.Kwa mujibu wa bwana Putin mwenyewe. (Ma)Lengo kuu la military operation yake hapo Ukraine ni;-
1. Demilitarization of Ukraine
2. Denazification of Ukraine
3. Russian speaking Ukrainians in Donbass
Haya aliyasema kwa kinywa chake mwenyewe siku anatangaza kuanza kwa operesheni hiyo ya kijeshi.
Kuhusu Ukraine kujiunga NATO na swala la mipaka naweza kusema ili uelewe inabidi ujue ishu sio kupakana kimipaka kati ya NATO na Urusi (yaani sio kwamba Urusi anaogopa kupakana kimipaka na NATO). Juzi (wakati Finland na Sweden zimetangaza kujiunga na NATO) Putin amesema hawaoni tatizo nchi hizo kujiunga na umoja huo kwa sababu hawana territorial issues nazo wala disputes zozote na hivyo hawaoni shida sana nchi hizo kujiunga na NATO. Na pia akaongeza kuwa hizo nchi zitakubaliwa kujiunga na NATO ila hazitakubaliwa endapo zikitaka kudeploy silaha za NATO kwenye nchi zao na endapo zitafanya hivyo Moscow itarespond.
Msikilize mwenyewe putin "We do not have such problems with Sweden and Finland, which, unfortunately, we have with Ukraine. We have no territorial issues… no disputes…"
"Only they should plainly and clearly realize that there were no threats before, now, if military contingents and infrastructure are deployed there, we will have to respond in a mirror manner and create the same threats to the territories from which threats are created to us,"
Hoja kwamba Urusi kwa kuanzisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya nchi jirani ili kuzuia nchi hiyo isijuinge na NATO ilisemwa na katibu mkuu wa NATO bwana Stoltenberg ili kuonesha kwamba lengo la Urusi kutaka kuzuia kusogelewa zaidi na NATO halijafikiwa na badala yake ndio kazidi kuzungukwa zaidi kwa nchi jirani nyingine kujiunga na NATO. Putin alijibu hoja hii kwa kusema Ukraine kujiunga na NATO ni tofauti na Finland au Sweden kujiunga na NATO au nchi nyingine. Hata hao NATO wenyewe wanaelewa;
"These are completely different things. They understand this perfectly, and they just throw this thesis into public opinion to show that Russia did not achieve the desired outcomes," alisema Putin
Kutokana na hayo yote naweza kufupisha malengo ya Urusi ni kuikomboa donbass na kulinda raia wake walioko huko na kutengeneza mazingira yatakayohakikisha usalama wao ikiwemo kuizuiq Ukraine kujiunga NATO. Ni kwa bahati mbaya sisi inakuwa vigumu kuelewa ni vipi Ukraine kujiunga NATO kuwe ni hatari kwa Urusi na sio kwa nchi nyingine zilizopakana na Urusi. Wao Urusi wanajua ni kwa vipi ndio maana hawataki na NATO wanajua ni kwa vipi ndio maana walikuwa wanalazimisha sana Ukraine ijiunga na si nchi hizo nyinginezo.
I agree with him on this though to most people basic fact that coming from the bad man becomes conspiracy theory.
Myklaov inaondoka kisha Oddessa MoldovaMnarusha hovyo bila target mnaharibu makazi na mashuleView attachment 2336743