Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

COUNTER- OFFENSIVE (UKRAINE GAIN 0 KM TODAY)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Mkajipange tena upya
UKRAINE watakuwa wanavuta bangi kabisa...hivi mtu anakuzidi kila kitu..yuko anakushambulia wewe unasema unaanza counteroffensive....tena unaenda kwa mtu aliyekuwa anakusubiri kwa muda mrefu anakusuburi ujae....
 
COUNTER- OFFENSIVE (UKRAINE GAIN 0 KM TODAY)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Mkajipange tena upya
wadau nataka nipeleke silaha ukrain nikawauzie silaha zangu zpo kisasa zaid kama mishale mikuki pnde na manati ztawasaidia ktk mshe zao
 
Huwenda kweli alikuwa Estonia Ila alitangaza makusudi ili kuichafua NATO kuwa inafadhili magaidi, sasa NATO kuepuka hilo wakampeleka Australia wakijua wamemficha kumbe wamewarahisishia kazi urusi wameweza kumuangamiza mlengwa bila kuingia mgogoro na NATO
Hivi hi habari mbona sijaiona popote kwingine zaidi ya jf? Mmeitoa wapi
 
warusi wanendeleza maendeleo tu kila kona.
🇷🇺
Russia builds new houses in Mariupol for those who lost their homes- it will be free
View attachment 2336212
Safi sana Urusi
Z
 
Tayari huko vijiji kadhaa visharudi kudadeki tuliwaambia sasa kazi ndio imeanza ya kurudisha maeneo.Hatujamalizaaa mlete mzuungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220830-012736_Samsung Internet.jpg
 
Tayari huko vijiji kadhaa visharudi kudadeki tuliwaambia sasa kazi ndio imeanza ya kurudisha maeneo.Hatujamalizaaa mlete mzuungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2339216
Endeleeni kuleta ma articles ya kubumba kutoka kwenye magroup ya warusi huko telegram wakipeana moyo wakati mizoga imezagaa mnawachoma ndugu zenu badala ya kuzika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
COUNTER- OFFENSIVE (UKRAINE GAIN 0 KM TODAY)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Mkajipange tena upya
Unaleta habari haina source kama umetoka kulaa nenda kwenye media kubwa usikie baba yenu anavyofanyiziwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom