kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hawa jamaa watakuchosha tu comred,wewe endelea kutuletea tu facts, hizo article za kubumba achana nazo,Habari za kuokota za vijiwe vya kahawa tupa kule lete source
Hawa jamaa watakuchosha tu comred,wewe endelea kutuletea tu facts, hizo article za kubumba achana nazo,Habari za kuokota za vijiwe vya kahawa tupa kule lete source
Unajitekenya alafu unachekaBREAKING: Ukraine reportedly lost 560 personnel, 26 tanks, 23 infantry fighting vehicles and two Su-25 planes in their Kherson offensive efforts yesterday.
Urusi kafa huko ,mambo magumuNgapi ngapi huko?
Mwez huu mtalikimbia jukwaa ,mrud FacebookPro- NATO someni magazeti yenu😂😂😂View attachment 2339370
Maskini unaongea kwa uchungu sanaMwez huu mtalikimbia jukwaa ,mrud Facebook
Tatizo hufuatilii mambo ,unasubir kupokea kwenye vijiwe ,huko hali mbaya ,wiki hii sidhan kama ntakuona humuMaskini unaongea kwa uchungu sana
Kinachofurahisha Hawa jamaa hawakati tamaa aisee,nadhani hata wakiletewa habari kwamba kheson yote imekombolewa bado wataendelea kuleta article,kuonyesha jeshi la urusi lipo maeneo hayo..,Hawa jamaa ni kama kupe, vigang'anizi kweli kweli [emoji2]Mwez huu mtalikimbia jukwaa ,mrud Facebook
Hapa mwenye uchungu ni wewe au yeyeMaskini unaongea kwa uchungu sana
ProcesedBaada ya counterattack
[emoji837] Today, the long-announced offensive of the AFU against Kherson began. And in three places at once. According to Yuri Podolyaka, when trying to encircle the grouping of Russian troops on the northern flank of the Nikolaev Front, the AFU were defeated and suffered heavy losses of about 500-600 people wounded and 200-300 killed. On the southern flank, they advanced 2-3 km, after that they were stopped by the reserves of the Airborne Forces of the Russian Federation and now they are being processed by Russian artillery.
Ndugu zetu wa Ukraine jitahidini mlete mafanikio kwa Km gained sio matukio madogo madogo ya kulipua kifaru gari au kuchoma matairi . KUPOTEZA askari 300 na 600 wakajeruhiwa kisha unaita counteroffensive una gain Km mbili unapoteza askari 800 kusha unavurumishwa Km 40Procesed
DuhMnaanza kutimuana na bado kipigo kinaendelea mnatafuta mchawi nani mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2338890
Hii haiwezi tokeaUrusi kafa huko ,mambo magumu
Wewe wasemaHii haiwezi tokea
Wanajeshi wengi wanakimbia Kherson wanaacha silaha, hivyo ukraine wanajipatia silaha za bureTazama video wanajeshi wa Ukraine wameingia kwenye maeneo yaliyokaliwa na warusi Kherson wameacha silaha
Ukiwaambia tuonesheni hata video au picha hawataki...Unajitekenya alafu unacheka
Unaleta habari haina source kama umetoka kulaa nenda kwenye media kubwa usikie baba yenu anavyofanyiziwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]