Sahih huo ni mtazamo wetu tuKwa jinsi nilivyofatilia hili tukio la kigaidi la binti Darya nimeona kama urusi iliacha hili tukio litokee Kwa mkakati maalumu Kwa sababu
Kwa uwezo wa intelligence ya Russia ilivyo basi alijua kila kitu Kwa sababu, Russia ana jua kila kitu kinachoendelea, lini Ukraine wanapata silaha, zinatolewa na nchi gani, zinapitia wapi, zinafikia wapi na nini NATO wanatarajia kufanya juu yake
Hapa ndipo ninapohisi kuwa aliacha litokee????
Kuna kitu kinaendelea Russia sasa hivi ni kuwapatia wa Ukraine passport za urusi ili wawe raia wa urusi, Kwa kuwa raia ni wengi wanaotakiwa kupewa uraia wa kirusi kunapunguza umakini Kwa vyombo vya kirusi kufatilia kila raia anayepewa passport kujihakikishia kuwa ni raia kutoka Ukraine kweli au ni raia kutoka nchi nyingine, pia kuna ingizo la watu wengi wanaoingia urusi kwenda kufanya kazi kwenye maeneo ambayo urusi imeshayateka, kupiti utaratibu huu NATO wanapanga kuwa baada ya Vita au wakati Vita inaendelea basi yaanze mashambulizi ya kigaidi ili kuleta machafuko kwenye maeneo yaliyochukuliwa na Russia pamoja na Russia penyewe pasiwe na Amani na ndiyo maana kuna matukio madogo madogo yaliyotokea Crimea hii yote ni maelekezo ya NATO kupima nini reaction ya Russia, wamekuta hakuna majibu makali Sana, sasa wameanza kuadvance Kwa kufanya ugaidi ndani ya Russia
Nasema huwenda Russia alijua ni kile kitendo cha Alexander dugin kubadili gari dakika za mwishoni ni kama FSB walijua nini kinaenda kutokea sasa wakamuacha mtoto afe Baba abaki maana ni muhimu Kwa taifa la Russia,
Kufanya ugaidi Russia Siyo tatizo Ila kitakachofata baada ya tukio la kigaidi ndiyo jehanamu yenyewe ulipo, Russia inaenda kuangamiza aliyefanya,aliyeratibu na aliyesaidia kufanya ugaidi na kutoa somo Kwa magaidi Wote waliojipenyeza ndani ya Russia na maeneo ambayo Russia ameyakalia pamoja na Wote walio nje ya Russia ambao wanampango WA kwenda au kusaidia matukio ya kigaidi Russia wajifikirie mara mbili kabla ya kufanya tukio hilo, kwamba utafanya tukio la kigaidi na utafanikiwa lakini what next?????
Ndiyo Yale ya Natalya kukimbia kila nchi lakini mwisho wa siku watu wamefanya Yao, kibaya zaidi wakati unakimbia ili kunusuru uhai wako zile nchi zilizokushawishi haziwezi kukulinda si wewe wala jamaa zako
Kiufupi kupitia tukio la kigaidi la Darya dugin urusi inaenda kutoa onyo Kwa vitendo nini kitawafika magaidi pindi watakapofanya ugaidi urusi
ILA WAKUU HUU NI MTIZAMO WANGU TU [emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahahaha😂😂😂😂🤣🤣🤣😁😁 simple analysis but to the point and logicalKinachofurahisha zaidi sijui na nyie mmekiona?
Kila shambulio la Urusi kwa Ukraine linadaiwa ni Raia wamepigwa, kila shambulio la Ukraine kwa Urusi ladaiwa kua wanajeshi wavamizi wamepigwa.
Hapo kunazuka maswali kadhaa kwa wenye akili timamu lakini.
1. Kama Urusi wanashambulia Raia na makazi yao, so military facilities za Ukraine bado zipo kama awali kabla ya Operation kuanza au?
2. Lel say it's true, so Ukraine jeshi lake pia lipo kama awali halijapungua si ndivyo? Since wanaopigwa ni Raia sio wao.
3. Wale wanaopambana na jeshi la Urusi kama ni raia sio wajeda, inakuaje sasa hawa west wanawapa silaha Raia wa kawaida wasio kua na mafunzo wakapigane?
4. Kama hao tunaowaona wakiwa ndani ya gwanda na silaha ni Raia tu sio wapiganaji hao wajeda haswa wakoje? Au ni aliens 😂.
5.
6.
7.
8.
9.
10. Kwa mujibu wa data za UN, tangu February Russia inaongoza kwa kua na wakimbizi wengi kutoka Ukraine kuliko nchi zote za EU. Kama Russia inashambulia Raia je, hao zaidi ya Mil 2 waliolekea Urusi kutoka Ukraine inakuaje wapo hai hadi leo.
Wewe waache hao pro-nato wajifariji na mashambulize hewa, hata aliyeyatangaza Kisha yafuta kwenye akaunti yake.Majeshi ya urusi yana likaribia jiji la mykolaiv kwa speed kubwa
Inafurahisha sana kusikia habari kama hizi, udhalim ulikuwa unakuja kwa Kasi sana kwa lengo la kulimeza taifa letu pendwa la Ukraine,Muda huu timu NAFO tunaendelea kupokea habari njema kutoka Kherson. Wazee wa denazification mkae kwa kutulia na Waziri wa Ulinzi wenu yule civil engineer wa kiraia
Hata Ile KERCH BRIDGE?Hadi jana madaraja yote yanayoelekea Crimea yalikuwa yamevunjwa...
Muda huu Warusi wenyewe wamekiri kuwa Ukraine inawapelekea moto Kherson kwa pande zote...
Russians watasalimu amri
Kerch iko Crimea..Hata Ile KERCH BRIDGE?
Shukrani sana kwa maelezo..,wale walioshangilia ya Azov battalion wakae kwa kutulia,malipo ni hapahapaKerch iko Crimea..
Wamevunja daraja zote zinazoelekea uelekeo wa Crimea, hivyo kwa sasa warusi inabidi waogelee mto dnipro au waweke silaha wawe mateka
Huyo ni mchambuzi uchwara anajikutaga anajua kumbe ni mahaba yamemjaa katika uchambuzi wake.
Kerch iko nyuma kabisa uko Crimea. Inabidi iachwe kwanza ikiwa Kherson itarudishwa then counteroffensive inahamia maeneo ya kati kama pale Zaporizhzhia. Inapendekezwa kwamba Crimea sio lazima kwa sasa na hata Donetsk na Luhansk ziko very fortified. Ukraine haina wapiganaji wengi hawatakiwi kuwa stretched sana. Ukifanya counter offensive unahitaji wapiganaji wa kwenda mbele kufanya hatua nyingine na hapo nyuma kuacha ulinzi in case walioenda mbele wameshindwa basi wakirudi mstari wa umiliki unakuwepoHata Ile KERCH BRIDGE?
Wale wa kubeba vijiji mje hapa muone[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukraine imeanza counter offensive kherson
Baada ya kuteketeza maghala mengi, sasa boots on the ground kuwaondoa wavamizi
[emoji1666][emoji1666][emoji2935][emoji2935]Kerch iko nyuma kabisa uko Crimea. Inabidi iachwe kwanza ikiwa Kherson itarudishwa then counteroffensive inahamia maeneo ya kati kama pale Zaporizhzhia. Inapendekezwa kwamba Crimea sio lazima kwa sasa na hata Donetsk na Luhansk ziko very fortified. Ukraine haina wapiganaji wengi hawatakiwi kuwa stretched sana. Ukifanya counter offensive unahitaji wapiganaji wa kwenda mbele kufanya hatua nyingine na hapo nyuma kuacha ulinzi in case walioenda mbele wameshindwa basi wakirudi mstari wa umiliki unakuwepo
Ya Urusi ni ya muda na last time kutoka Syria ilitembea na tug boat. Bado iko matengenezoni ambapo hata dry dock ya kuitengeneza pale haijakamilika kwahiyo itakaa sana
Warusi wa buza huwezi kuwaona hapa, mpaka waende kupoza maumivu kwanza,Wale waliopiga kelele Himars imeshindwa kubomoa madaraja mje muine hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaambia sasa kazi ndio inaanza hakuna kuvuka inzi walio ndani ni mali yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2338889