Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Super power anashambulia makazi tu na raia walishahama humo daa amechanganyikiwa huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220829-195024_Chrome.jpg
 
Tazameni wadau hawa jamaa wanavyo uliwa kwenye mahandaki kama kititmoto aisee wanatia huruma hawa jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Aisee kila nikiangalia hii video nacheka yani wanauliwa kizembe sana kwanini wanatembea group hivi wamepata wapi mafunzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Tazameni wadau hawa jamaa wanavyo uliwa kwenye mahandaki kama kititmoto aisee wanatia huruma hawa jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maamuzi ya kipuuzi ya dikiteta mmoja yanawatesa watoto wa watu kiasi hiki[emoji848]
 
Mkianza kuzungukwa msikimbie humu....naona mariupol ya pili inanyemelea....
Kuzungukwa kivipi tumevunja madaraja yote tunawaua kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunasonga mbele huku tukiwaua kama kuku broiler [emoji38][emoji38][emoji38]
Screenshot_20220829-204210_Samsung Internet.jpg
 
Tazama tunavyowaua kama kenge wakitoka kwenye mashimo tunapiga

 
Military base Beryslav Imeshambuliwa leo kipigo cha mbwa koko

 
Tunapiga Military base wao wanapiga nyumba kijijini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220829-204919_Samsung Internet.jpg
 
Endeleeni kupiga public toilets [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220829-205011_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom