Tunaleta na video kinachoendelea sio articles za kukopi kwenye magroup na emoji za moto kututisha hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tazama video wanajeshi wa Ukraine wameingia kwenye maeneo yaliyokaliwa na warusi Kherson wameacha silaha
SaTayari huko vijiji kadhaa visharudi kudadeki tuliwaambia sasa kazi ndio imeanza ya kurudisha maeneo.Hatujamalizaaa mlete mzuungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2339216
Safi sana.Andunje aachane na misimamo isiyo na maana arudi meza ya mazumgumzoTayari huko vijiji kadhaa visharudi kudadeki tuliwaambia sasa kazi ndio imeanza ya kurudisha maeneo.Hatujamalizaaa mlete mzuungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2339216
“The operation began at night with massive shelling of Russian positions and the rear,” the source, who CNN is not naming for security reasons, said.
Mkuu j2 njoo pale sinza kona bar tusherekee ushind wetu ,maana kichapo wanachopewa super power wa magumashi ,kesho Kherson itakua mkonon kwa Ukraine, had naongea sasa mkono unatembezwa kinoma ,sijalalaTazama video ikionesha maeneo yaliyokaliwa na warusi wameacha silaha zao za mwaka 47[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Moto gan sasa?
Habari za kuokota za vijiwe vya kahawa tupa kule lete sourceKherson-Nikolaev direction [emoji298]️
Allied Aviation is extremely active, locals report massive use of both Assault and Army Aviation of the Allied Forces. Grinding Ukrainians[emoji3575][emoji573][emoji576]
[emoji91][emoji91][emoji91]Haya Sky News hawa hapa mtuletee habari za kuelewea sio kukopi magroup ya telegram
We jamaa nimetokea kukupenda Bure tu,si kwa nondo hiziTazama video ikionesha maeneo yaliyokaliwa na warusi wameacha silaha zao za mwaka 47[emoji1787][emoji1787][emoji1787]